ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania ushauri wa kozi za chuoni

    Wakuu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita mwaka huu PCM nikiwa na BBA naombeni mawazo mazuri kuhusu kozi kwangu mm napendelea electrical engineering
  2. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu wana JF katika hili

    Naomba kuuliza hili WAKUU Mimi ni mwalimu wa sayansi masomo biology na geography, kwasasa nataka kuomba kufanya postgraduate diploma ya procurements and logistics management pale TIA, sasa kitu ambacho sielewi ni kuwa kwamfano kwenye maombi ya kazi utumishi naweza kuomba kazi ambazo vigezo ni...
  3. Full charge

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuhamia Tanga

    Habari wakuu na wadau wa jf,hope mko fine. Mimi ni kijana mwenye miaka 38+ naishi mkoa wa Shinyanga kunakosifiwa kwa wingi wa madini japo mimi pesa ya madini siifaidi kabisa pamoja na kujihusisha kwa muda wa miaka mwingi. Nina familia ya mke na watoto 3,sasa nimekaa nikafikiri nakuona nihamie...
  4. PSL god

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

    Wajumbe hamjambo. Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6 Kapata as follows Gs - E Phy - S Chem - E Bio - D B/math - F Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni ushauri Bora au ni ushauri TAKATAKA hasa kutoka kwa Mzazi / Wazazi kwenda kwa Watoto?

  6. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatupendi kuwaomba ushauri watu masikini?

    Katika ukuaji wangu huu sijawahi kuona mtu yeyote yule akienda kuomba ushauri kwa maiskini. Sababu kuu itakuwa ni nini? Tunawadharau, Hawana mawazo, Hawana dira, Ubongo wao haufanyi kazi au Sababu inaweza kuwa ipi?
  7. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Vijana mjini

    Nawasalimu, Leo nimeona niwape Tip ya Kijanja kuhusu life la mjini, sio kubwa sana ila nzuri na tamu mnoo. Ukiwa na uwezo walau jenga kibanda kijijini,Sio ulikozaliwa. Iwe sehemu mpya ambayo hata rafiki yako wala mkeo hapajui, Room moja tu inatosha kuanzia. Huko wakujue kwa jina tofauti, na...
  8. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kabla sijachimba shimo la choo la kisasa?

    Mambo vipi wakuu, Nipeni ushauri nimefikia hatua ya kujenga karo la choo. Je ni Shimo lipi linafaa kwenye ardhi ya Udongo wa kichanga (SAND SOIL) kati ya Lile la kisasa lisilojaa ama yaja yetu ya kawaida. Kuna Uzi humu (MODERATORS NAOMBA MUUSHUKIZE) Ulikua inaongelea hasara za mashimo ya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu alilazimishwa kuachana na mpenzi wake sasa anafululiza kuota wamerudiana. Nilitaka kupeleka mahari lakini nataka kughairi

    Ndugu zangu naombeni ushauri Mimi ni baba wa mtoto mmoja na nilioa mke wangu mwaka 2023. Kabla ya kuoa mke wangu alikuwa kwenye mausiano na kijana mmoja ambaye kwa maelezo ya mke wangu kijana huyo ndiye aliyemtoa usichana wake na walikaa kwenye mausiano kitu cha miaka 5 lakini kwa bahati mbaya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Biashara ya club

    Nimepata eneo nzuri jirani na barabara ya Dodoma. ukarabati utachukua kariba m8. Kuna eneo ĺa baa, jiko, chips, store na kwa kukaa hadi 100 wanakaa. Kodi lak7 je nauliza waziefu itajilipa au nitapoteza hela
  11. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ushauri , Sisi watu weusi mambo ya uongozi hatuyawezi tukubali nafasi kama Rais , mawaziri na makatibu wawe ni wazungu .

    Wakuu . Mimi nimetembea duniani kote USA UK France German N.k Tukubali tu kuwa sisi watu weusi mambo ya kutawala nchi hatuyawezi Ila tunachoweza ni kuwa chini ya utawala wa MTU Fulani . We are not organized Angalia nchi Kama Venezuela haina , Gas , haina mafuta Ila ni moja ya richest...
  12. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ombi la ushauri: Biashara ya nyama choma – nje ya baa

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba ushauri kutoka kwa wenye uzoefu na biashara ya nyama choma hapa jijini Dar es Salaam. Nina mpango wa kuanzisha biashara ya nyama choma, lakini sitaki kabisa kuifanya sehemu ya baa. Nia yangu ni kuifikisha huduma hii kwa watu wa kawaida – wale wanaotafuta...
  13. Daraja2

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watia nia wote wa ubunge -2025

    Habari za jioni wapendwa, Huu ni ushauri wa bure kwa wale (waliokwisha chukua & wanaotarajia kuchukua fomu na kuzirudisha). 1. Andaa "press conference" Moja matata sana nyumbani kwako chinja ng'ombe,pika chips,ndizi za kurosti na vinywaji vya kutosha ukiunganisha na pira biriani. Wote...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Halima Mdee

    Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua...
  15. cacutee

    JamiiForums Tanzania Ushauri wapi patanifaa

    Habari zenu wapendwa. Mimi Niko salama. Ninakuja kwenu nikiwaomba wote wenye uzoefu wanisaidie ushauri. Ninatamani kuhamia maeneo ya migodini nikafanyie biashara huko. Nimechoka pia Kuishi ukanda wa pwani ninatamani maisha mapya na watu wapya. Hata kama nitaajiriwa pia huko sio mbaya...
  16. monotheist

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni ushauri wenu nichukue hii simu au imekaa kishamba

    Infinix hot 50 pro+ Sifa zake; Display, Amoled Resolution, 1080x2436 pixels OS, Android 14 Chipset, mediatek helio G100 (6nm) CPU, (2x2.2 GHz Cortex-A76 & 6x2.0 GHz Cortex-A55) GPU, Mali G57-MC2 Memory, 16GB RAM - 256GB ROM BETTERY Type, 5000mAh Charging, 33 wired 50% in 26min Sijawahi kutumia...
  17. Michael Amon

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Programu nzuri ya usimamizi wa biashara

    Nawasalimu wadau wote wa biashara humu ndani. Naomba ushauri wenu kwa yoyote anayejua programu nzuri ya usimamizi wa biashara (business management software). Programu hiyo nataka iwe na sifa zifuatazo: Accounting Invoicing Support for Mobile and bank payments Payroll Track stocks, sales...
  18. Revolution

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wenye mabasi ya mikoani

    Ninapenda kuwaeleza watoa huduma za usafiri wa mabasi ya mikoani kwamba sisi abiria tunapenda kusafiri kwa raha na kufika salama. 1. Hatujawahi kuwaambia kwamba tuna haraka ya kufika hivyo acheni speed zisizokuwa na ulazima. 2. Kutokana na sisi kutokuwa na haraka huu mtindo wa kusimama dakika...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Sitaki ushauri, namuomba radhi mpenzi wangu

    Wakuu kwa sasa naona napoteza na sitaki ushauri. Mpenzi wangu ameniblock everywhere sijui nampataje. Nimemtumia email hajibu kitu kwa hiyo niko hovyo sana. Tayari nimespend some milion TZS ili kujiweka sawa ila bado namkumbuka mama yenu aisee. She was my manager, nikitumia hela hovyo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Niende PhD au niendelee na mapambano

    Wakuu naomba msaada wa mawazo kidogo; nilikua na kazi kwenye taasisi moja hapa nchini lakini nikiwa pale, kipato changu kikubwa kilikua kinatokea kwenye side hustles zangu sana japo na mshahara haukuwa sio mdogo sana (take home $1,200). Hizi side hustles nilikua nafanya kazi km expert kwenye...
Back
Top Bottom