Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,732
Katika ukuaji wangu huu sijawahi kuona mtu yeyote yule akienda kuomba ushauri kwa maiskini.
Sababu kuu itakuwa ni nini?
Sababu kuu itakuwa ni nini?
- Tunawadharau,
- Hawana mawazo,
- Hawana dira,
- Ubongo wao haufanyi kazi au
- Sababu inaweza kuwa ipi?