ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali kupunguza aya mateso ya UDART waruhusu njia hizo kuwe na daladala

    Ushauri kwa serikali kuhusu mfumo wa biashara hii ya mabus uwepo ushindani na mabasi ya daladala yawepo alafu mwananchi ataamua mwenyewe apande lipi tofauti na sasa
  2. Mzee wa Hekaheka

    JamiiForums Tanzania Nimeanika mahindi nje nimekuta hali hii, Naombeni ushauri wenu

  3. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA fanyieni kazi taarifa za kiinteligensia mnazopenyezewa, sio kulalamika mitandaoni tu

    Mtu wenu ametekwa, jeshi la polisi limekana kuwa hawahusiki. Mpaka hapo ina maana yeyote anayemshikilia mtu wenu ni jambazi kama jambazi mwingine yoyote, mnayo haki ya kumdhibiti mkimpata. Mmepenyezewa intel kuwa mtu wenu anashikiliwa 'safehouse' ndani ndani huko wilayani Chunya sijui...
  4. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tabibu bingwa wa Vidonda vya Kisukari

    Habari ya uzima wakuu ! Naomba msaada wa haraka, kwa ajili ya ndugu yangu, sawa kichwa cha habari hapo juu. Ndugu yangu, amepatwa na changamoto kubwa ya ugonjwa wa kisukari, unaombatana na vidonda vikubwa hasa miguu yote! Hivyo, naomba ushauri wenu wakuu mahali hapa, hasa kwa wenye ushuhuda wa...
  5. Smart Finance

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa ushauri wa kifedha bila kumfadhaisha mtu

    Imeandaliwa na Smart Finance SW Nimekuwa nikifuatilia ushauri wa watu mbali mbali kwenye hii platform na platform zengine huko zinazohusiana na mswala ya fedha. Nilichogundua watu wengi au washauri wengi wanapenda sana kutumia nyakati zilizopita wanapotoa ushauri au kuelezea juu ya fursa...
  6. Livanga

    JamiiForums Tanzania Je napotaka kuagiza gari ni sawa kupata ushauri wa Fundi? Nini kifanyike kushawishi mafundi kuongeza ujuzi zaidi?

    Kutokana na uzoefu na kwa kuzingatia changamoto tunazopitia sasa kadri muda unavyogea tutakuwa tuna uhaba mkubwa wa mafundi wajuzi wa kutatua matatizo ya magari kwa ufasaha ni kutokana na ukweli kwamba mafundi wengi hawana tabia ya kupenda kuongeza ujuzi wao na wanaamini kile wanachokijua...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Prof Ndakidemi badala ushauri itungwe Sheria wazee wahudumiwe na serikali kwani walilipa Kodi serikalini. Watoto waliwatuma muwazae?

    PROF NDAKIDEMI BADALA USHAURI ITUNGWE SHERIA WAZEE WAHUDUMIWE NA SERIKALI KWANI WALILIPA KODI. WATOTO WALIWATUMA MUWAZAE? Anaandika, Robert Heriel. Kila mtu ni Mzee wa baadae kama akipata nafasi hiyo. Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa Mtoto Hana jukumu wala wajibu wa kumtunza mzazi wake. Hiyo...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

    Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi. Pia, Soma: Rais Samia amchana Mpina: Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Dogo kawa offered kazi private mshahara tsh 650,000. Ana degree kamaliza chuo mwaka jana. Vp achukue hio fursa au mshahara unafinya?

    Kwa sasa amejishikiza sehemu kam intern wanamlipa 300,000 Degree yake ni ya finance/banking
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa masheikh

    Msijiingize ktk siasa na kuchagua chama cha kufanyia siasa kama mwanachama. Mkitaka kuingia ktk siasa basi msibase sehemu moja ya siasa. Mkiingia ktk siasa kama sheikh Ponda wa Act wazalendo na sheikh Kadogoo wa Chadema heshima itaondoka na itapotea inamaana mtazungumza kwa maslahi ya vyama na...
  11. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Niko na familia ambayo tunahitaji kucheza vikoba online tufanyeje jamani? Mana tupo mikoa tofauti tofauti !!! Vipi tukifungua account tutatofautishaje fedha ya Kila mmoja mana Kila mtu aki deposit haitaeleweka ipi ni ipi na viongozi wawe wangapi au tuifanye kama Ile m koba lakini lengo letu ni...
  12. Bepari la Kinyambo

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kilimo na ufugaji

    Wakuu nilikua naomba ushauri nina shamba mkoa wa pwani. Mradi gani wa kuwekeza kati ya hii kilimo cha muda mfupi na aina, kilimo cha muda mrefu na aina na ufugaji upi.
  13. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dokezo la Ushauri kwa Viongozi wa CCM

    Kwa Ndugu, Stephen Wasira, na CPA Amos Makala. Kwa heshima na taadhima, naomba kutoa ushauri huu wa bure kwa viongozi wawili muhimu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Stephen Wasira (Makamu Mwenyekiti wa CCM) na CPA Amos Makala (Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM): Katika mikutano yenu...
  14. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Secretarybird nahitaji ushauri nasaha, no reforms no election imenitia matatani

    Asalamaleku wakuu! Wakuu naombeni mnipe ushauri Kwa hili lililonitokea maana yaonekana nimejichanganya na masikitiko pamoja na majuto yamenijaa hadi pomoni. Kama mnavyojua sasa hivi Kuna vuguvugu la "no reforms no election" na mimi ni mmoja wa mtu ninayeunga mkono hii movement na katika...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Kwa niliyoyaona leo Dodoma na yanayoendelea Mitandaoni, Kama wewe ni Fisadi wa CCM fanya haya haraka sana

    Jiji la Dodoma leo limenishangaza hakika. Sijawahi ona watu wanaoipenda Chadema kama watu wa Dodoma. Mwanzo nilidhani Mwanza na Kanda ya Ziwa, Kuna wakati nilidhani Kanda ya Nyasa na Kanda ya Kaskazini. Ila kwa hakika leo naweza kusema, Dodoma ni ngome mpya ya Chadema. Hata Tone Tone ya leo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Msiwazomee viongozi wa CHAUMMA

    Mnawazea vibaya sana kana kwamba wamejinyea. Wameenda Chaumma kwa njaa zao waacheni. Nimeona video nyingi zikisambaa mitandaoni mkiwazomea. Najua hamutawataki lakini hakuna haja ya kuwazomea.
  17. Kitchener

    JamiiForums Tanzania USHAURI! Wakifuta kanisa lako ufanyeje?

    Sisi wakristo huwa hatupigani kwa nguvu za mwili na nyama, Biblia hasa Yesu anaagiza kwanza tuwaombee mema wale wanaotuudhi na kuacha kisasi kiwe cha Mungu, sio chetu, vita vyetu ni kwa njia ya maombi kwa sababu anayepigana sio sisi, ni Mungu hivyo omba kwa Mungu apigane mwenyewe. UFANYAJE...
  18. Registered_jf

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri, upendo wangu kwa mke wangu unashuka

    Nina jambo ambalo ningependa mnishauri, linanisumbua sana. Nisaidie kufanya maamuzi. Nina miaka 29 ni baba wa watoto wawili. Nimeishi na mke wangu toka 2020 nilipomaliza chuo. Tumepishana umri kidogo yeye ana 34. Wakati tunakutana alikuwa ameajiriwa na immediately tukawa tumeclick maana...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Naamini muda sio mwingi Israel ataishambukia Iran ni baada ya kukataa ushauri wa US, Sababu , Nia na uwezo wanao

    Wadau hamjamboni nyote? It's a matter of time before things starts Happening in Iran. Israel await us greenlight before it launches attack
  20. Dodo86

    JamiiForums Tanzania Ushauri na msaada

    Habari wana JF. niende straight kwenye mada. Nina kiwanja kina ukubwa wa sqmtr 405 maeneo ya mbezi beach goig upande wa juu. Ndani ya kiwanja kuna nyumba la zamani au niseme ni gofu sasa nilikua nataka kupaendeleza na pesa hiyo sina nafikiria niingie bank sababu ni sehemu ukipafanyia planning...
Back
Top Bottom