Naona vibwebwe vimefungwa viunoni watu (wamakonde wanaita 'vanu') wakifurahia ugomvi wa jirani...........wanagongeana mikono Huku wakishusha vijineno chochezi ("ndo alivyo huyo!", "apigwe huyo!" n.k) na vicheko (wera wera weraaaaa!!) kama vyote.
Katikati ya 'raha' hii ya kushuhudia ugomvi wa...
Mtakapotoka hadharani kabla kwanza ya kueleza malalamiko yenu na kutokuridhishwa kwa yanayotokea sasa ni vyema kwanza mkatubu na kuomba radhi wote walioteseka na wanaondelea kuuguza maumivu na vidonda kutokana na ukatili waliopitishwa katika awamu yenu.
Wahanga watafarijika sana wakisikia...
Habari wanajukwaa,
Nipo kwenye eneo ambalo maji ni changamoto kubwa sana, tatizo kubwa ni kwamba maji yanayopatikana hapa ni ya chumvi (hayafai kunywa moja kwa moja, pengine hata kuoga wala kufulia).
Kutokana na hali hiyo, nimekuwa na wazo la kuanzisha huduma ya kusafisha maji kwa kutumia...
Good morng
Ase hii kitu ina ni kwaza sana since nipo mdogo up now tena kipindi nipo mdogo nilikuwa sitamani usiku ufike kabisa ipo hivi
Usiku nikiwa nimelala naweza amka katikati ya usiku nikawa macho up saa kumi au saa kumi na moja na hapo unakuja usingizi ule mzito sana then na muona mtu...
Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami, Florida kwa mabeberu!. Kama kweli walikuwa wanakupenda wakati wa Magu watakupa hifadhi huko.
Maama kumbukumbu zinaonyesha ulikuwa kinara wa kupiga kelele na kusema USA ni kwa mabeberu na wakati tukipigania mifumo wewe ulikuwa busy...
Niliwaambia ili mfanikiwe mnabidi kufanya tathimini kuhusu bidhaa yenu iliyopo sokoni.
Watalaamu wa biashara wanaelewa kuwa kuna bidhaa ambazo ni fast moving product na slow moving product.
Hauwezi kuwa a good entrepreneur ukapeleka sokoni bidhaa mbili ambazo zote ni slow moving products...
Habari zenu wakuu
Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 Na kubahatika kupata 1.9
Katika process ya kuomba vyuo, nikaja kupata round ya 3 ambayo ndo ya mwisho kabisa chuo cha kampala, kozi MD.
Sasa ndugu zangu, mm kwetu hoehae,uchumi ni mdogo sana kuweza kumudu hizo garama za ada ambayo ni...
Leo anawatetea waropokaji, ving'ang'anizi na wasusaji wa michakato ya kidemokrasia wa chadema kuhusu reforms ambazo tayari zimeshafanyika.
Vipi kesho ACT, LND, UDP au CHAUMMA nao wakaja na madai ya reforms kadiri ya mapenzi ya vyama vyao au mashinikizo ya mabwenyenye ya magharibi yanayofadhili...
Kwa dada yangu uliyeolewa au unayeishi kwa muda mrefu na huyo mpenzi wako, usifanye makosa ya kujiunga na mume wako / mpenzi wako akigombana na ndg zake itakuja kukugharimu zaidi wewe mwenyewe. Mume wako na ndg zako watapatana watayamaliza wataasahameana maana hakuna ugomvi wa wana ndg unaodumu...
Ushauri unahitajika.
Kuna jamaa yangu aliwahi kuzaa anabinti mwezi wa 9 mwaka huu anafikisha miaka 18 huyo binti alimaliza form 4 mwaka 2024. Hakufaulu yupo nyumbani.
Sasa juzi kuna jamaa walikuja nyumbani kwake wakaleta post kwamba kuna kijana wao anataka kumuoa huyo binti wake wakaeleta...
Wadau nimeona kuweka mlango wa mbao na grill kwa milango ya nje kwenye nyumba ya kuishi haipendezi kama kuweka milango ya chuma hasa ya Uturuki na China.
Naona kujua ni milango ipi imara ya chuma na naweza kuipata wapi.
Ahsante.
Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa,
Natumaini wote mko salama.
Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo) zinazopatikana kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sheria (Bachelor of Laws – LL.B) nje ya nchi.
Nina...
Napenda kutoa ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Klabu ya Yanga kuhusu fursa ya kuongeza mapato ya klabu na kuimarisha ushirikiano na mashabiki walioko ndani na nje ya nchi kupitia Tiketi za Kidigitali (Digital Support Tickets).
Maelezo ya Wazo:
Katika siku maalum kama vile Yanga...
Wadau wa elimu, naombeni ushauri.
Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma muajiriwa.
Nahitaji kufanya program nyingine tofauti na ualimu ili nifanyiwe recategorization.
Ni ipi program kwa halmashauri ninayoweza kupata recategorization kwa urahisi kati ya hizi.
1.Bachelor of social work(OUT)...
Wadau wa elimu, naombeni ushauri.
Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma muajiriwa.
Nahitaji kufanya program nyingine tofauti na ualimu ili nifanyiwe recategorization.
Ni ipi program kwa halmashauri ninayoweza kupate recate kwa urahisi kati ya hizi.
1.Bachelor of social work(OUT)
2.Bachelor of...
Dah majuzi kwenye mida yetu ya kupiga yetu ya kupiga bia mbili tatu mshikaji wangu akaanza kulia
Mara paap akatoa Funda moja la chozi 🥶akapiga na yowe huku akisema Ila "hawa wanawake watatuua"
Kuna kauli jamaa aliongea "Yani mwanamke ana mshahara mkubwa kuliko mimi lakini hajawahi changia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.