ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kati ya kilimo na kuuza mazao kipi kina faida?

    Habari ya leo ndungu zanguni, Jackson hapa. Naitaji ushauli ndugu zangu Hivi kati ya kujikita kwenye kilimo au kujikita kwenye kununua mazao kipi kinafaida kubwa? Na kipi kina risk kubwa? Kwa maoni yako wewe kama wewe let’s say una mtaji wa 20M TZshillings unaweza kuwekeza kwenye kilimo au...
  2. Utak

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Ukweli kwa Vijana Kuhusu Maisha

    1. Jifunze Kujijua Kabla Ya Kujitangaza Usijaribu kuwa mtu mwingine ili ukubalike – jua wewe ni nani, unataka nini, na thamani yako iko wapi. Ukiwa original, huna ushindani. 2. Pesa ni Muhimu – Lakini Tabia ni Zaidi Unaweza kupata pesa leo na kupoteza kesho. Lakini ukiwa na nidhamu, heshima...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya biashara za minadani

    Habari zenu wana JF. Naombeni mnisaidie ushauri kwa wale mliowahi kufanya biashara katika minada mbali mbali hasa kwa Dsm mpaka Kibaha. Nataka kuanza kuzungusha bidhaa kwenye minada je inalipa? Au ni bora nitafute meza tu sokoni?! Na vipi kwenye minada utaratibu upoje pengine kuna kulipia...
  4. Now and then

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru wakazi wa Sikonge kwa kufanyia kazi ushauri wangu na kumuondoa Joseph Kakunda katika kura za maoni

    Here we go ! Tunahitaji viongozi wanofikika wasomi na ambao Elimu yao haina utata. Asanteni wanaSikonge kwa kumpuunzisha Bwana Joseph Kakunda. Cc Pascal Mayalla.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kijana anaomba ushauri kwenye hii changamoto yake

    Habari wana JFs, Nina rafiki angu wa miaka mingi ambae tumekua karibu kama ndugu ameniomba ushauri kama mtu wake wa karibu, lakini nimepata mtihani kidogo katika kumpa majibu kutokana na uzito wa jambo lake. Nilimshauri kulileta humu kwa kutotaja majina yake ilimradi tu aone ushauri na busara...
  6. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI USHAURI

    Naombeni ushauri Mimi ni kijana wa miaka 23 nipo na uhusiano na mdada wa miaka 32 ananionesha ananipenda ila mbaba wake Mimi ni mtumishi wa JWTZ yeye ni Askari police Nataka kumuacha ila nashindwa sijui Ananifanyia dawa
  7. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Wanasheria na Wataalamu wa Miliki (mali) Njooni mnipe ushauri Kuhusu hii Kampuni yangu na Warithi wangu.

    INTRODUCTION:- Salam sanaaa? HUU NI UKWELI WA MAISHA YANGU, KUHUSU MAHUSIANO NA MALI. Naitwa Mr. Liverpool ni kijana wa kiume mwenye Diploma, Degree, Masters, na PhD Candidate dropout (Nilipata Scholarship ila biashara ikanipenda zaidi kuliko shule..!!) Ni mtumishi wa umma mwenye miaka 35...
  8. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Uzi wa ushauri, mapendekezo, maoni, ujumbe, changamoto, masuali, na duku duku kuhusu siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu.

    Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kampuni inayotoa huduma ya mortgage hapa nchini

    Naomba kujua huduma ya mortgage hapa nchini Hali ikoje,ni wapi watoa huduma wazuri kwa mtu mwenye uzoefu. Najua JF ni kisima cha Taarifa. Nawasilisha!
  10. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nina Tsh. Milioni 25, nifanye biashara gani?

    Ndugu zangu naitaji ushauli wenu. Nina 25 million TZshillings naitaji kuanzisha biashara ambayo inaweza ikanipa faida kubwa ndani ya mwaka mmoja. Yani biashara yoyote ambayo inatembea kwa kasi zaidi. inaweza ikawa mkoa wowote ule. Asanteni.
  11. Acehood

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kupandikiza mmea wa chainizi (Chinese cabbage)

    Habari wakuu. Naomba kujua kama ni sahihi kupandikiza mimea miwili ya chainizi kwa shimo Moja, endapo nitaweka mbolea nyingi zaidi ya sehemu niliyopandikiza mmea mmoja.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Wa Upendo Mkuu Kwa Rais Samia, Kama Mwanadamu Mwenzangu.

    Ushauri huu ni wa upendo mkuu. Na upendo ndiyo amri kuu tuliyopewa na Mungu wetu. Tena tunaulizwa, utawezaje kusema unampenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia ndugu yako? Ninaamini Rais Samia ni muumini wa Mungu, mtu anayeamini katika maisha baada ya kifo, hukumu ya Mungu, na ufufuo wa wao...
  13. Fanfa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Samia asipogombea CCM itapata hasara kubwa haijawahi kutokea tangu kiundwe

    Chama cha mapinduzi (CCM) kitapata hasara kubwa sana kama Samia hatagombea Urais kwa sababu zifuatazo; 1. CCM imewekeza kwenye matangazo nchi zima kwa takribani miaka minne sasa kumtangaza Samia. Bill Boards kila kona ya nchi zimejaa. Barabara zimejaa matangazo ya Samia. Huu ni uwekezaji mkubwa...
  14. John kirua

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri ndg zangu

    Habari ndg zangu samahan naomba ushauri nilikuwa kazin shift ya usiku nimeamka asubui nimeona uvimbe kwenye shingo yangu itakuwa ni nn maana leo siku 4 uvimbe unakuja na kupotea baada ya dk unarudi tena?
  15. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri WA haraka

    B
  16. nbayoungboy never broken

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa vijana kwa nchi yao

    Mimi kama kijana mzalendo wa nchi yangu tanzania ningependelea mawazo tofauti tofauti kuishauri selikali yetu Mfano Ungekuwa rais wa tanzania ungeifanyia nini nchi kuiepusha kwenye kundi la nchi za africa 🌍 zisizo jitambua.????¿?? Kwa mimi binafsi ..Rushwa ni kunyongwa hadi kufa ..kilimo...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watakiwa kuwalea Watoto kwa kuzingatia ushauri na maelekezo ya wataalam

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, ametoa wito kwa wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kuzingatia ushauri na maelekezo ya wataalam wa afya na malezi ili kuwalea watoto, kwa kuweka mkazo maalum wa lishe bora, malezi yenye upendo na mazingira salama kwa ajili ya ustawi wao...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Vijana Kutumia Akili Unde (AI) kwa Ushauri wa Mahusiano na Urafiki

    Tafiti iliyofanyika nchini Marekani ionyesha kwa asilimia kubwa Vijana wanatumia akili Unde ( Artificial Intelligence AI) Kwa ushauri wa Mahusiano, kama rafiki wa karibu zaidi ya Uhalisia na msaada kitaaluma Ripoti mpya kutoka shirika la Common Sense Media inaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 70...
  19. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Taaluma Gani Hapa Inalipa?. Mdogo Wenu Anaomba Ushauri

    1. Server. 2. Programming. 3. Networking. 4. Maintenance.
  20. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Hatimaye, leo mimi ndio nahitaji ushauri kwenu wanajamii

    Iko hivi, 1. Leo nimegundua kuwa mwanamke ninaempenda sana ana ugonjwa ambao ni mtihani kwa watu wengi sana. 2. Ndugu zake wamekuwa wakiniharakisha nimuoe huyu binti tangu mwezi ule wa kwanza wa kukutana kwetu. Hiki ni kitu kilinitisha sana nikachagua kuvuta subira kwanza mpaka nijue ni nini...
Back
Top Bottom