ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali; Walimu wa kike waajiriwe kuanzia miaka 35

    habarini!! wazo hili linakuja baada ya utafiti wa muda mrefu wa shule kadhaa ZA SEKONDARI! hawa walimu wa kike walio katika umri wa makumi na ishirini wana tabu sana huko mashuleni....... 1. Hawatulii vituoni kwani wengi wao wanakuwa kwenye kuhangaika na maisha ya kutafuta wenza na kula...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyama vya upinzani: Msirudie Makosa, atakayekatwa CCM asipewe nafasi yoyote ya kugombea upinzani

    Bila Shaka mtakuwa mmejifunza kutokana na makosa. Mwaka 2015 mliwapokea wanaccm wengi waliokatwa kwenye kinyanganyiro Cha Urais, ubunge na udiwani na wengi wao walifanikiwa kushinda kwenye uchaguzi. Cha kushangaza karibia wote Hawa wamerudi Chama cha Mapinduzi. Napenda kuvishauri vyama vya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Covid-19: Ugonjwa wa Corona ushauri wa bure kwako Rais Magufuli

    Moja kwa moja kwako kwenye mada. Hatimaye ninakundikia wewe ushauri huu wa bure nikifahamu fika kuwa hujapungukiwa na washauri, na kuwa uko nao washauri walio mahiri kabisa, wenye kulipwa vilivyo kutokana na kazi hiyo. Hata hivyo kumbuka mheshimiwa, Goliath lilikuwa jitu la kutisha (lenye...
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri hapa ipi nichukue kati ya volkswagen up na passo?

    Habari wakuu, nilikua napenda kuchukua hii german car , volkswagen up ya 2012- coz ina cc ndogo(1000) pia nimependa muonekano. wasiwasi sijawahi ziona bongo kwahiyo sinahakika kama mafundi wako vizuri kweny hivi vigari. Naomba ushauri wenu au nipambane na Passo tu?
  5. JamiiForums Tanzania Nataka Nioe Mwanamke kama huyu, ushauri na maoni yenu tafadhari..

  6. C

    JamiiForums Tanzania OMBI: Serikali idhibiti bei kwenye vifaa vya kujikinga na kupambana dhidi ya Virusi vya Corona

    Tatizo kubwa hapa nchini ni kwamba pale inapotokea janga, mlipuko wa ugonjwa basi wafanya biashara hutumia nafasi hiyo kujinufaisha. Kuna vifaa kama hand sanitizer, medical face masks vimekuwa katika uhitaji mkubwa sana kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona. Serikali kupitia waziri wa...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri katika kuagiza gari. Je, nitumie mitandao mikubwa au niende kwa dealers

    Habari zenu, Nataka kuagiza gari naona hata hao makampuni ya kuagiza wanacwanachukua picha za beforwad na Japanese autocom. Sasa si heri ninunue tu huko beforwad au autocom! Ushauri wenu experts na experience zenu zitanisaidia
  8. B

    JamiiForums Tanzania Corona virus: Tunajifunza nini toka kwa wengine?

    Moja kwa moja kwenye mada: Majirani zetu Kenya, Rwanda na DRC tayari wamesha ripoti kuwapo kwa wagonjwa wa corona katika nchi zao.Kwa hali hii ni wazi kuwa hapa kwetu ni suala la muda tu sasa. Wenzetu, katika nchi nyingi kutegemeana na ukubwa wa tatizo wame kuwa wakichukua hatua kadhaa katika...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu biashara yangu

    Habari zenu wanabodi. Bila kupoteza muda wanabodi. Ni kwamba mwaka 2018 nilifungua duka la vipodozi, nywele bandia za kila aina pale Ubungo. Nilianza na mtaji wa 2M mbali na hela niliyolipa kodi, kutafuta leseni, n.k. Baada ya kuanza biashara, kila baada ya miezi 2 nilikuwa naongeza 2M ili...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri : Viongozi wa Chadema waliofungwa Segerea wakapimwe kama wamewekewa Sumu

    Mjumbe hauawi na huu ni ushauri kutokana na mashaka juu ya usalama wa wahusika ambao walinusurika kwenye mauaji ya kupangwa na baadaye kugeuziwa kibao na kuhukumiwa mahakamani , katika hukumu iliyojaa dhuluma. Mungu ibariki Chadema
  11. JamiiForums Tanzania Unaombwa kutoa Ushauri kwa huyu ndugu yetu. Je, amuoe huyu binti?

    Wakuu Salam, Kijana mmoja alikuwa anataka kuoa binti mmoja kutoka kabila...lakini Wazazi wakakataa. Baada ya Wazazi kuona speed ya kijana wao kutaka kumuoa huyo binti wasiemtaka inashika Kasi, wakatafuta binti wanae mtaka Kwaajili ya kijana wao, wakatuma barua ya posa na Sasa maandalizi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuhusu mama chui na watoto wake

    Mama Chui akizaa watoto wake anawalea wakishakua anawaacha anaenda porini anakaa kama juma hivi akirudi anawatisha watoto wake. Yale watoto walioshtuka wakakimbia hawawi chui tena ila wale watoto waliomtambua mama yao wanabaki na mama yao na wanakuwa chui (katika uhalisia wake). Kwa sisi wachaga...
  13. JamiiForums Tanzania USHAURI: Kama umehitimu shahada na huna kazi, fanya mambo haya matano

    Karibu rafiki kwenye makala yetu ya ushauri wa changamoto inayokuzuia kufikia mafanikio makubwa uliyopanga kufikia. Hakuna mtu asiye na changamoto, wale unaowaona wamefanikiwa sana, siyo kwamba hawana changamoto, ila wanakabiliana nazo na kuzivuka. Hivyo usiombe kutokuwa na changamoto, bali...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri katika hili

    Habari ndugu wanajukwaa, Mwaka jana nilikuwa nafanya biashara ya M-Pesa mara baada ya makadirio ya kodi kutoka TRA.Kwa mwaka huu sitaki kuendelea na hii biashara. Swali langu:- Je, nikienda TRA kufunga biashara na ile line ya M-Pesa (Till) nayo itafungiwa kufanya kazi?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Upinzani Tanzania: Epukeni kujibizana hadharani, wapuuzeni wapambe

    Mada inahusika. Katika kipindi hiki kwenu kilichojaa fitina na majungu na nia ya dhati ya kutaka kusambaratishwa na watawala, umakini unahitajika sana. Kwanza ukomavu wenu ni muhimu na mapitio yenu yawaunganishe kama kundi moja lenye common intrest Tumieni uzoefu mlioupata kwenye UKAWA 2015...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bashiru kwa Membe na maana yake

    Hii tuanze tu hata bila kusalimiana wala kuzingatia itifaki maana sasa kila mwananchi ana maswali mengi kuliko majibu hivyo salamu na itifaki hazisaidii kutafuta majibu ya maswali vichwani wa wananchi. Tujiulize; Bashiru anashauri Membe ajiunge na upinzani na huko akagombee urais. Sasa kwa...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Agizo la Rais juu ya taasisi za Serikali kupewa kazi za ushauri liliishia wapi?

    Rais anaposonga mbele, aliyoagiza nyuma yanasahaulika. Muongozo ulitolewa na serikali ya awamu hii ikiwa ni pamoja na ofisi za serikali kuhamia majumba ya serikali, mikutano kufanyika nyumba za serikali, kazi za ushauri kufanywa na taasisi za serikakali. Nionacho ni mapambano kati ya tabia za...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, maoni au maelezo kuhusu hii kozi

    Habari wana JF, Mimi ni kijana na nina Stashahada ya Afya ya wanyama na Uzalishaji ( Diploma in Animal health and production). Matamanio yangu mwaka 2020 ni kusoma kozi ya Wildlife tourism management pale MWEKA, naomba mwenye ujuzi na hii kozi au field ya utalii anijuze, atoe maoni au taarifa...
  19. JamiiForums Tanzania Membe, Japo Umeonewa, Usifanye Kosa la Lowassa!, Ila CCM ya Ajabu!, Uamuzi based on Illegal Evidence ni Void Ab Initial!.

    Wanabodi, Naomba kulianza bandiko hili kwa kutoa pongezi kwa Kamati Kuu ya CCM kufanya maamuzi magumu. Hata kama mimi binafsi sikubaliani na maamuzi hayo, lakini kitendo tuu cha CCM kufanya maamuzi magumu, hii ni plus traits kwa chama cha Mapinduzi, just being decisive, kwasababu CCM ndio...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure tu kwa aliyefurumushwa

    1. Usiwajibu kwa haraka kama ambavyo nimeanza kuona unataka Kufanya hivyo 2. Acha Mihemuko ya Kuwaambia neno Umma ambao wengi Wao ni Wanafiki watupu 3. Jitafakari huku ukikikumbuka sana kile Kiapo chako cha Fani yako Kuu ya Njiwa / Chawa 4. Kuanzia sasa usiwaamini wote wanaokuzunguka kwani hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…