Ukatibu mkuu wa chama ni nafasi nyeti na ya juu sana katika uongozi wa chama, kwa nafasi hiyo, katibu mkuu huzifahamu siri nyingi na nyeti za chama, mwenyekiti pamoja na viongozi wengine.
Kuenguliwa kwenye uongozi katika chama katika umri ambao bado una nguvu, nia na uwezo wa kuendelea...