Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,528
- 6,258
Kwa dada yangu uliyeolewa au unayeishi kwa muda mrefu na huyo mpenzi wako, usifanye makosa ya kujiunga na mume wako / mpenzi wako akigombana na ndg zake itakuja kukugharimu zaidi wewe mwenyewe. Mume wako na ndg zako watapatana watayamaliza wataasahameana maana hakuna ugomvi wa wana ndg unaodumu, lakini kwa upande wako hautasamehewa, kama hauna maelewano na ukweni usitegemee hiyo ndoa itafika mbali