ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwachiluwi

    Naombeni ushauri

    Good morng Ase hii kitu ina ni kwaza sana since nipo mdogo up now tena kipindi nipo mdogo nilikuwa sitamani usiku ufike kabisa ipo hivi Usiku nikiwa nimelala naweza amka katikati ya usiku nikawa macho up saa kumi au saa kumi na moja na hapo unakuja usingizi ule mzito sana then na muona mtu...
  2. K

    Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami kwa mabeberu!

    Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami, Florida kwa mabeberu!. Kama kweli walikuwa wanakupenda wakati wa Magu watakupa hifadhi huko. Maama kumbukumbu zinaonyesha ulikuwa kinara wa kupiga kelele na kusema USA ni kwa mabeberu na wakati tukipigania mifumo wewe ulikuwa busy...
  3. DR HAYA LAND

    Niliwapa ushauri kwa chama kikongwe mgeufata msingefika hapa leo.

    Niliwaambia ili mfanikiwe mnabidi kufanya tathimini kuhusu bidhaa yenu iliyopo sokoni. Watalaamu wa biashara wanaelewa kuwa kuna bidhaa ambazo ni fast moving product na slow moving product. Hauwezi kuwa a good entrepreneur ukapeleka sokoni bidhaa mbili ambazo zote ni slow moving products...
  4. M

    Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 na kubahatika kupata 1.9, naombeni ushauri

    Habari zenu wakuu Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 Na kubahatika kupata 1.9 Katika process ya kuomba vyuo, nikaja kupata round ya 3 ambayo ndo ya mwisho kabisa chuo cha kampala, kozi MD. Sasa ndugu zangu, mm kwetu hoehae,uchumi ni mdogo sana kuweza kumudu hizo garama za ada ambayo ni...
  5. Tlaatlaah

    GE2025 Maoni na ushauri binafsi wa Bishop Gwajima kuhusu Nonsense ya CHADEMA ya 'No Reforms No Election' upuuzwe

    Leo anawatetea waropokaji, ving'ang'anizi na wasusaji wa michakato ya kidemokrasia wa chadema kuhusu reforms ambazo tayari zimeshafanyika. Vipi kesho ACT, LND, UDP au CHAUMMA nao wakaja na madai ya reforms kadiri ya mapenzi ya vyama vyao au mashinikizo ya mabwenyenye ya magharibi yanayofadhili...
  6. Moto wa volcano

    Ushauri wa bure bila tozo kwa dada zangu mlioolewa

    Kwa dada yangu uliyeolewa au unayeishi kwa muda mrefu na huyo mpenzi wako, usifanye makosa ya kujiunga na mume wako / mpenzi wako akigombana na ndg zake itakuja kukugharimu zaidi wewe mwenyewe. Mume wako na ndg zako watapatana watayamaliza wataasahameana maana hakuna ugomvi wa wana ndg unaodumu...
  7. E

    Ushauri kati ya biashara ya hardware au pharmacy wholesale

    Habari wandugu Je kwa mtaji wa 50-65 ml ni biashara gani nzuri kufanya kati ya pharmacy na hardware. Natakuliza shukrani
  8. evangelical

    Ushauri posa ikubaliwe au ikataliwe

     Ushauri unahitajika. Kuna jamaa yangu aliwahi kuzaa anabinti mwezi wa 9 mwaka huu anafikisha miaka 18 huyo binti alimaliza form 4 mwaka 2024. Hakufaulu yupo nyumbani. Sasa juzi kuna jamaa walikuja nyumbani kwake wakaleta post kwamba kuna kijana wao anataka kumuoa huyo binti wake wakaeleta...
  9. W

    Ushauri kuhusu kuweka milango ya nje ya chuma

    Wadau nimeona kuweka mlango wa mbao na grill kwa milango ya nje kwenye nyumba ya kuishi haipendezi kama kuweka milango ya chuma hasa ya Uturuki na China. Naona kujua ni milango ipi imara ya chuma na naweza kuipata wapi. Ahsante.
  10. Nyamwage

    Wadau nataka kujiweka humu mwenye ushauri naomba nisije nikaingia mkenge

    Nauliza hiki kifaa aliewahi kukitumia anipe uzoefu wake je unlimited yake ni ya kweli tofauti na airtel ambao wanabana speed ukizidisha matumizi
  11. HOST NOT FOUND

    Nahitaji Scholarship ya kusoma SHAHADA YA SHERIA (LL.B) Nje ya Nchi -Naomba Ushauri wa Wadau

    Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa, Natumaini wote mko salama. Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo) zinazopatikana kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sheria (Bachelor of Laws – LL.B) nje ya nchi. Nina...
  12. Kitimoto

    Ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Young Africans SC (Yanga) Kuanzisha Tiketi za Kidigitali

    Napenda kutoa ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Klabu ya Yanga kuhusu fursa ya kuongeza mapato ya klabu na kuimarisha ushirikiano na mashabiki walioko ndani na nje ya nchi kupitia Tiketi za Kidigitali (Digital Support Tickets). Maelezo ya Wazo: Katika siku maalum kama vile Yanga...
  13. C

    Naombeni ushauri wakuu

    Wadau wa elimu, naombeni ushauri. Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma muajiriwa. Nahitaji kufanya program nyingine tofauti na ualimu ili nifanyiwe recategorization. Ni ipi program kwa halmashauri ninayoweza kupata recategorization kwa urahisi kati ya hizi. 1.Bachelor of social work(OUT)...
  14. C

    Naombeni ushauri

    Wadau wa elimu, naombeni ushauri. Mimi ni mwalimu ngazi ya diploma muajiriwa. Nahitaji kufanya program nyingine tofauti na ualimu ili nifanyiwe recategorization. Ni ipi program kwa halmashauri ninayoweza kupate recate kwa urahisi kati ya hizi. 1.Bachelor of social work(OUT) 2.Bachelor of...
  15. B

    Rafiki angu anaomba ushauri analipwa 1.5M, mchumba wake 4M anamwambia ndogo kwa matumizi ya mtoto wao?

    Dah majuzi kwenye mida yetu ya kupiga yetu ya kupiga bia mbili tatu mshikaji wangu akaanza kulia Mara paap akatoa Funda moja la chozi 🥶akapiga na yowe huku akisema Ila "hawa wanawake watatuua" Kuna kauli jamaa aliongea "Yani mwanamke ana mshahara mkubwa kuliko mimi lakini hajawahi changia...
  16. I

    ushauri wa kozi za chuoni

    Wakuu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita mwaka huu PCM nikiwa na BBA naombeni mawazo mazuri kuhusu kozi kwangu mm napendelea electrical engineering
  17. Munch wa Annabelle

    Naomba ushauri wenu wana JF katika hili

    Naomba kuuliza hili WAKUU Mimi ni mwalimu wa sayansi masomo biology na geography, kwasasa nataka kuomba kufanya postgraduate diploma ya procurements and logistics management pale TIA, sasa kitu ambacho sielewi ni kuwa kwamfano kwenye maombi ya kazi utumishi naweza kuomba kazi ambazo vigezo ni...
  18. Full charge

    Ushauri: Nataka kuhamia Tanga

    Habari wakuu na wadau wa jf,hope mko fine. Mimi ni kijana mwenye miaka 38+ naishi mkoa wa Shinyanga kunakosifiwa kwa wingi wa madini japo mimi pesa ya madini siifaidi kabisa pamoja na kujihusisha kwa muda wa miaka mwingi. Nina familia ya mke na watoto 3,sasa nimekaa nikafikiri nakuona nihamie...
  19. PSL god

    Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

    Wajumbe hamjambo. Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6 Kapata as follows Gs - E Phy - S Chem - E Bio - D B/math - F Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni...
  20. GENTAMYCINE

    Je, huu ni ushauri Bora au ni ushauri TAKATAKA hasa kutoka kwa Mzazi / Wazazi kwenda kwa Watoto?

Back
Top Bottom