ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali yangu uchukue ushauri huu, ambao tayari upo

    Kwa heshima kuu Nci yangu ni ya watu waelewa, viongozi watukufu. Mh Raisi na mamlaka yake achuur ushauri huu kuinua ari, hadhi na afya Ujenzi wa nyumba kwa utaratibu wa aina ya nyumba na hata mapambo yanayowekwa na wananchi. Ikumbukwe hii sio biashara ni Nchi na hadhi ya watu na afya zao Kwa...
  2. Ushauri kwa Serikali na Watanzania kuhusu uzalendo wa kweli

    Habari wakuu, leo nimeona si vibaya nikiwasilisha hoja zangu kwa watanzania na serikali kwa ujumla, kwanza kabisa ifahamike kuwa corona virus haikuja accidentally ilikuja kimkakati na nyuma ya huo mkakati kuna agenda mbaya sana ya kumtawala mwanadamu kidigitali, watanzania tunatakiwa kujuwa sisi...
  3. USHAURI: Kwa mdada ambae mama yake mzazi hamtaki Boyfriend wake

    Kuna mdada mmoja yuko Arusha aliniomba ushauri kuwa mama yake mzazi hampendi na hamtaki Boyfriend wake. Na sababu kubwa ni kuwa huyo boyfriend alimpromise mama mkwe kumnunulia simu ya dhaman kubwa sana na hakutekeleza sasa mama anataka bint yake aachane na huyo kijana kwa njia yoyote ile so...
  4. Pongezi Mhe. Spika Kuliongoza Vyema Bunge Letu, ila Sio Busara Kutumia Bunge Kujibu Trivia Issues za Mitandaoni, Zina Downplay Hoja Rasmi za Msingi!.

    Wanabodi, Naendelea kusisitiza kwenye mazuri tupongeze, kwenye mabaya tukosea na kwenye mapungufu tushauri, katika uendeshaji wa Bunge la safari hii, kiukweli wa dhati ya moyo wangu, safari hii Mhe. Spika anajitahidi sana kuliendesha vyema Bunge letu kiasi cha kustahili pongezi Hivyo hili ni...
  5. Ushauri mpya kuhusu uvaaji wa Barakoa (Masks) kujikinga na maambukizi ya Covid-19: Tujielimishe ili tuamue vema

    Ushauri wa barakoa na mkanganyiko wake Jana Marekani na Uingereza, ambazo ni nchi zenye nguvu kiuchumi na kuongoza katika ugunduzi na tafiti za kisayansi, zimetoa kauli zinazokinzana kuhusu uvaaji wa barakoa (masks) kama njia ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa mtu ambaye...
  6. Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto #COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu. - Tunaona Nchi nyengine kukiwa...
  7. N

    Ushauri kwa Serikali; Walimu wa kike waajiriwe kuanzia miaka 35

    habarini!! wazo hili linakuja baada ya utafiti wa muda mrefu wa shule kadhaa ZA SEKONDARI! hawa walimu wa kike walio katika umri wa makumi na ishirini wana tabu sana huko mashuleni....... 1. Hawatulii vituoni kwani wengi wao wanakuwa kwenye kuhangaika na maisha ya kutafuta wenza na kula...
  8. M

    Ushauri kwa vyama vya upinzani: Msirudie Makosa, atakayekatwa CCM asipewe nafasi yoyote ya kugombea upinzani

    Bila Shaka mtakuwa mmejifunza kutokana na makosa. Mwaka 2015 mliwapokea wanaccm wengi waliokatwa kwenye kinyanganyiro Cha Urais, ubunge na udiwani na wengi wao walifanikiwa kushinda kwenye uchaguzi. Cha kushangaza karibia wote Hawa wamerudi Chama cha Mapinduzi. Napenda kuvishauri vyama vya...
  9. B

    Covid-19: Ugonjwa wa Corona ushauri wa bure kwako Rais Magufuli

    Moja kwa moja kwako kwenye mada. Hatimaye ninakundikia wewe ushauri huu wa bure nikifahamu fika kuwa hujapungukiwa na washauri, na kuwa uko nao washauri walio mahiri kabisa, wenye kulipwa vilivyo kutokana na kazi hiyo. Hata hivyo kumbuka mheshimiwa, Goliath lilikuwa jitu la kutisha (lenye...
  10. Naombeni ushauri hapa ipi nichukue kati ya volkswagen up na passo?

    Habari wakuu, nilikua napenda kuchukua hii german car , volkswagen up ya 2012- coz ina cc ndogo(1000) pia nimependa muonekano. wasiwasi sijawahi ziona bongo kwahiyo sinahakika kama mafundi wako vizuri kweny hivi vigari. Naomba ushauri wenu au nipambane na Passo tu?
  11. C

    OMBI: Serikali idhibiti bei kwenye vifaa vya kujikinga na kupambana dhidi ya Virusi vya Corona

    Tatizo kubwa hapa nchini ni kwamba pale inapotokea janga, mlipuko wa ugonjwa basi wafanya biashara hutumia nafasi hiyo kujinufaisha. Kuna vifaa kama hand sanitizer, medical face masks vimekuwa katika uhitaji mkubwa sana kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona. Serikali kupitia waziri wa...
  12. Naomba ushauri katika kuagiza gari. Je, nitumie mitandao mikubwa au niende kwa dealers

    Habari zenu, Nataka kuagiza gari naona hata hao makampuni ya kuagiza wanacwanachukua picha za beforwad na Japanese autocom. Sasa si heri ninunue tu huko beforwad au autocom! Ushauri wenu experts na experience zenu zitanisaidia
  13. B

    Corona virus: Tunajifunza nini toka kwa wengine?

    Moja kwa moja kwenye mada: Majirani zetu Kenya, Rwanda na DRC tayari wamesha ripoti kuwapo kwa wagonjwa wa corona katika nchi zao.Kwa hali hii ni wazi kuwa hapa kwetu ni suala la muda tu sasa. Wenzetu, katika nchi nyingi kutegemeana na ukubwa wa tatizo wame kuwa wakichukua hatua kadhaa katika...
  14. R

    Ushauri kuhusu biashara yangu

    Habari zenu wanabodi. Bila kupoteza muda wanabodi. Ni kwamba mwaka 2018 nilifungua duka la vipodozi, nywele bandia za kila aina pale Ubungo. Nilianza na mtaji wa 2M mbali na hela niliyolipa kodi, kutafuta leseni, n.k. Baada ya kuanza biashara, kila baada ya miezi 2 nilikuwa naongeza 2M ili...
  15. Ushauri : Viongozi wa Chadema waliofungwa Segerea wakapimwe kama wamewekewa Sumu

    Mjumbe hauawi na huu ni ushauri kutokana na mashaka juu ya usalama wa wahusika ambao walinusurika kwenye mauaji ya kupangwa na baadaye kugeuziwa kibao na kuhukumiwa mahakamani , katika hukumu iliyojaa dhuluma. Mungu ibariki Chadema
  16. Unaombwa kutoa Ushauri kwa huyu ndugu yetu. Je, amuoe huyu binti?

    Wakuu Salam, Kijana mmoja alikuwa anataka kuoa binti mmoja kutoka kabila...lakini Wazazi wakakataa. Baada ya Wazazi kuona speed ya kijana wao kutaka kumuoa huyo binti wasiemtaka inashika Kasi, wakatafuta binti wanae mtaka Kwaajili ya kijana wao, wakatuma barua ya posa na Sasa maandalizi ya...
  17. Ushauri: Kuhusu mama chui na watoto wake

    Mama Chui akizaa watoto wake anawalea wakishakua anawaacha anaenda porini anakaa kama juma hivi akirudi anawatisha watoto wake. Yale watoto walioshtuka wakakimbia hawawi chui tena ila wale watoto waliomtambua mama yao wanabaki na mama yao na wanakuwa chui (katika uhalisia wake). Kwa sisi wachaga...
  18. USHAURI: Kama umehitimu shahada na huna kazi, fanya mambo haya matano

    Karibu rafiki kwenye makala yetu ya ushauri wa changamoto inayokuzuia kufikia mafanikio makubwa uliyopanga kufikia. Hakuna mtu asiye na changamoto, wale unaowaona wamefanikiwa sana, siyo kwamba hawana changamoto, ila wanakabiliana nazo na kuzivuka. Hivyo usiombe kutokuwa na changamoto, bali...
  19. Nahitaji ushauri katika hili

    Habari ndugu wanajukwaa, Mwaka jana nilikuwa nafanya biashara ya M-Pesa mara baada ya makadirio ya kodi kutoka TRA.Kwa mwaka huu sitaki kuendelea na hii biashara. Swali langu:- Je, nikienda TRA kufunga biashara na ile line ya M-Pesa (Till) nayo itafungiwa kufanya kazi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…