ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa chama cha ACT- Wazalendo na Maalim Seif Shariff Hamad

    Salaam kwenu wakuu, Mimi sijihusishi na siasa za Tanzania kidhati ya moyo, nimekuwa ni mfuatiliaji tu wa namna mambo yanavyokwenda/yanavyoendeshwa ndani ya nchi yetu. Niliwahi kuwa mwanachama wa CUF Habari mwanzoni mwa miaka ya 2010 na kadi yangu nilipewa na Julius Mtatiro, hata hivyo nilihamia...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara na mafunzo ya ujasiriamali kwa gharama nafuu

    Mshauri wa biashara, Mjasiriamali na Mkurugenzi wa Kampuni ya ushauri Wa biashara ya CPM Business consultants, anatoa Ushauri Wa biashara kwa Mkampuni, vikundi na watu binafsi kwa gharama nafuu ya sh. 20,000 tu. Pia ukitaka kupata huduma zetu tutakupa mafunzo ya ujasiriamali kwa mwaka mzima...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa msajili wa Vyama vya Siasa Nchini

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana siasa za zitto na chama chake cha ACT tangia mwaka 2018. Nimejiridhisha pasina shaka yoyote yakuwa, siasa za zzk siyo zile siasa alizokuwa akizifanya akiwa chadema na baada ya kuanzisha chama. Zzk alipoanzisha chama cha ACT alipata wakati mgumu kupata...
  4. JamiiForums Tanzania Nimepata kazi hapa Jijini Dar, wenyeji naombeni ushauri kwa hili

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka jana (2019) baada ya kukaa nyumbani kwa muda mrefu niliamua kuja kutafuta maisha hapa Dar, kwakweli niliteseka mno kwa muda zaidi ya miezi 8 nipo tu nakula na kulala kwa aunt, sina hili wala lile,, kiukweli nilikuwa naumia sana...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mamlaka ya uteuzi kuhusu atakayepeperusha bendera ya CCM jimbo la Rorya

    Zaidi ya wana CCM 40 wametia nia na kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi wa Oktoba, 2020. Mmojawapo wa watia nia na aliyechukua fomu leo ni Ndugu Lameck Okambo Airo ambaye mwaka jana alielezea umma kuwa hatagombea tena katika uchaguzi unaokuja mwaka huu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia Noah (Dar au Pwani)

    Wasalaam ndugu zangu. Kijana mwenzenu nimejichanga nina kiasi kama cha mil. 16, nimefikiria nimeona ninunue Noah ili nifanye biashara ya kubeba abiria walau nami nijiajiri maana nimechoka purukushani za kuajiriwa. Hivyo basi nilikua naomba mwongozo kuhusu maeneo ambayo biashara hii inafanya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri tafadhali kwa matokeo haya akasome kozi gani?

    Habari za muda ndugu Wana jamvi, Kama tunavozidi kushauriana kuhusiana na maswala mbalimbali ya kielimu kijana uyu anahitaji ushauri wa hali na mali ukizingatia ndo tunaelekea kwa kufunguliwa kwa dirisha la kuomba mikopo na vyuo vikuu kijana alihitimu kidato cha sita mwaka 2019/2020 katika...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iitazame vizuri taasisi ya Brela haiko karibu na Wananchi

    Members natumaini hamjambo. Kuhusu ushauri wangu taasisi hii kwa siku za karibuni ni kweli wanajitahidi kuboresha huduma zao, kama vile kuhamishia huduma zote mtandaoni na kadhalika. Lakini kutokana na mapungufu yaliokuwepo, na mahitaji halisi ya wadau/wateja/wananchi kwa sasa bado sana...
  9. JamiiForums Tanzania Course gani nzuri katika Utumishi wa Umma upande wa ajira?

    ...
  10. JamiiForums Tanzania Nashauriwa niitoe 14B niweke 1hz engine Coaster. Ushauri wenu

    Samahani sio mtalaam sana wa engine za magari, lakini nina Coaster boksi ilikua imepata hitlafu kidogo kwenye engine, wakati nafanya mchakato wa matengenezo kuna watu wanasema engine hizo ni za muda mrefu sana inabidi nitafute 1hz. Lakini wakati huo huo kuna fundi ana nimabia hakuna engine...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Upinzani- Membe asiingizwe kwenye mikakati yenu

    Naomba mods msiuunganishe huu uzi! Huu ni ushauri wangu kwa vyama vya upinzani! Mmesikia Membe amejitoa CCM, Huu ni mkakati wa chama Tawale kuhakikisha, 1. kwanza kupunguza kura zenu. Hii ni pale Act na Chadema wasipoungana 2. kuhakikisha CCM wanakuwa na taarifa zote za mipango na mikakati...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuwe na mbadala wa kufunga line za ziada kwa kupiga *106#

    Naona mwamko umekuwa mdogo kwa watu kwenda kufunga line za ziada katika ofisi za mitandao, sio kwamba hatuwezi kwenda ila mambo yametinga jamani maana awamu hii ni kazi kazi kitu kinachonyima wengi muda wa kwenda hizo ofisi. Ningependa kuwasilisha maoni yangu kwamba tunavyopiga *106# kuwe na...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Kambi ya Upinzani

    Kambi ya upinzani ni nguzo muhimu sana kwenye bunge na kweny siasa za nchi kwa jumla. Sina uhakika kama CCM itaondolewa madarakani mwaka huu, ila ningependa kambi ya upinzani bungeni iimarike zaidi. Sasa ili kuiimarisha ni muhimu wagombea wa upinzania wateuliwa kwa makini sana ili wawe ni watu...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa makampuni ya simu nchini na TCRA jambo hili

    Baada ya sheria ya mitandao nchini kuanza kazi, na makampuni ya simu kuweka no 106 kama njia ya kuhakiki namba uliyosajiri kwa mfumo wa finger print. Basi nashauri hivi: ingekuwa vyema makampuni pamoja na TCRA wangeweka option ya mtu kuikataa namba ambayo anataka iondolewe ili kukidhi takwa la...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mtoto tangu afanyiwe tohara mfumo wa utokaji wa mkojo umebadilika

    Natumai hamjambo wakuu wakuu kuna Mtoto wa mwaka mmoja na sehem, sasa tangu afanyiwe tohara amepona lakini akikojoa hakojoi direct yaani mkojo unatoka kidogo then baada ya mda unatoka tena. Je, hali hii ni kawaida au kuna tatizo nikapeleke hospitali?
  16. JamiiForums Tanzania Kama mnajua hamna chaji, ya nini kututia shombo?

    Hivi kwanini mnajidhalilisha? Iko hivi, kuna mkaka mmoja alinitoa..anaonekana dume six pack ila hamna kitu kwenye gemu. Eti dakika 5 kashamaliza anahema ka mjusi hata hajielewi, akazima kabisa nikampepea akazinduka hawezi round nyingine. Kama mnajua hamna chaji ya nini kututia shombo?
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Kwanini siku ya kupiga kura kusiwe na daftari kusajili waliopiga kura kulinganisha na idadi ya kura zilizopigwa vituoni?

    Kujiandikisha kupiga kura ni jambo moja na kupiga kura ni jambo la pili na siku ya kura ni wazi sio wote wanakuwa eneo waliojiandikisha au watakaokwenda kupiga kura. Naona kuna haja ya siku ya kura kuwe na dafrari la kuhakiki/kuandikisha wanaokuja kupiga kura ili idadi ije ioane na kura zilizo...
  18. JamiiForums Tanzania Kilimo kipi kitafaa mtaji kwa mtaji wa Tsh. Milioni 7.5?

    Wataaalam na wanazengoo kilimo kipi kinalipa mtajii milon 7.5 isiwe tuu perishable fruit na maanisha vyakula vya kuoza hapana sitaweza kulima nataka mazao yenye life span kubwa nakaribisha ushauri.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu: Kuna umuhimu kuridhisha wakwe wa siku hizi?

    Salam sana, naandika hapa nikiwa sina ujuzi wowote wa kiuandishi, kwenye makosa mtanisamehe. Ninachotaka kuelezea hapa na kuomba ushauri wenu ni experience yangu binafsi ambayo nadhani sijapata mtu sahihi bado wa kuongea nae vizuri akanielewa. Mimi ni kijana fulani wa makamo, katika miaka ya...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Singida Magaribi CCM tunaweza kulipoteza kwenda CHADEMA 2020

    Naomba nilizungumze hili kwa moyo wa dhati kabisa na kwa mapenzi makubwa kabisa ya chama changu. Bado tunaamini kwamba chama chetu hakijapata mbadala wake na bado hakuna dalili hizo kwa maneno ya mzee wangu makamu mkuu wa chuo cha UDSM Prof Mukandara. CCM chama changu pendwa, kuna malalamiko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…