ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri wangu kwa Magufuli na CCM: IKiwa Magufuli ataacha kupiga kampeni atapata kura nyingi kuliko anavyoendelea kupiga kampeni

    Huu ni ushauri wangu wa dhati na wa kweli kwa Rais Magufuli na CCM wote. Magufuli aache kupiga kampeni. Nasema hivyo kwa sababu naamini kuwa kadiri anavyozidi kupiga kampeni wapo wapiga kura lukuki anawapoteza kirahisi kabisa. Nasema ukweli na ndivyo ulivyo. Aidha kama atalazimika kuendelea...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kamata kamata na kile kinachoendelea Pemba, IGP Sirro sikiliza ushauri huu

    Mada inahusika. Nadhani wote tunaelewa kinachoendelea katika kijiji cha Kangagani huko Pemba, baada ya usiku wa kuamkia juzi tarehe 22 Septemba, 2020 , kulitokea tukio la kushambuliwa kwa mapanga waumini msikitini na baadae kujulikana walioshambuliwa kuwa makada wa CCM. Sote bila kujali...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ukimaliza Diploma, unaweza kupata mkopo kwa ngazi ya Degree?

    Kama form four ulisomea shule ya serikali na ukafaulu vizuri ukaingia chuo, ukamaliza kusoma diploma kwa miaka mitatu na ukataka uendelee na degree. Unaweza kupata mkopo kutoka serikalini huko utakapofika kwenye ngazi ya degree?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa East Africa Radio: Ajirini wachambuzi wa michezo wanaolewa michezo, hasa soka

    Sio kwa hawa mlio nao aisee. Nimewafuatilia mara nyingi hawana viwango pia wamekuwa wanatabia ya "kucopy na kupaste". Kwa mfano leo walikuwa na mada ya kwanini ligi yetu inakuwa na magoli machache kuliko ligi nyingine wakaenda mbali kwa kulinganisha ligi yetu na uingereza yaani majibu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kinga ya UKIMWI

    Thread is deleted
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji kwenda chuoni kujiendeleza kimasomo, naomba ushauri wa kozi ya kusoma

    Salamu wakubwa, naomba mnikaribishe kwenye jukwaa pendwa la elimu na JamiiForums kwa ujumla. Niende kwenye Mada, mimi ni mwalimu wa shule ya msingi ngazi ya cheti GPA ya 3.9 Na niko kwenye ajira rasmi. Nahitaji kwenda chuoni kujiendeleza kimasomo. Naomba ushauri wa kozi ya kusoma ambayo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu juu ya seat covers

    Habarini wakubwa kwa wadogo? Heshima zenu. Kama kichwa kinavyosomeka; ninamiliki chombo cha usafiri ( Toyota harrier) model zinazotamba kama tako la nyani. Seat covers zake kwakweli haziendani na gari yenyewe. Ni leather ambayo tayari imepauka. Sasa nina mawili ya kuchagua kati ya kushonea au...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ushauri wa gari Suzuki Jimny

    Suzuki Jimny Wakuu naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa kuhusu hii gari maana binafsi ilichonivutia ni kuwa juu na pia utumiaji wa mafuta sifahamu kuhusu gharama za spare pamoja na uimara wake. Maana mim nahitaji gari ya kuzungukia kwenye shughuli zangu na kwa kuwa ninakofanyia shughuli...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu kwa ndugu yetu huyu

    Kisa kipo hivi, Jamaa walikuwa kwenye mahusiano na mdada miaka sita, huyu dada alikuwa amalize huu Mwaka chuo harakati za ndoa zianze, kuna miezi iliyopita Mdada alipitia kwa jamaa akitokea chuo hivyo wakafanya ya kiutuzima, badae mdada akasema amepata mimba Yake, hivyo wakatambulishana...
  10. JamiiForums Tanzania Mapendekezo na Ushauri kuhusu Online Store

    Habari Wana JF, Natumai mko poa. Wakuu, nataka kuanzisha online store ningelipenda mnishauri na mpendekeze products ambazo online zinauzika. Mimi nimefikiria kuhusu Laptop na Smartphones used and new. Kutokana na gharama za ku set up store na kuiendesha. Ningelipenda mupendekeze niche zenye...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu katika matokeo haya

    Poleni na majukumu. Mpwa wangu amepata matokeo haya. Naomba ushauri wenu Civics- D, Hist-F, Geo-F, Kisw-D, Engl-F, Phy-F, Chem-F, Bio-D, B/Math-F. Ushauri wenu unahitajika sana
  12. JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo lakini akakupa ushauri wenye thamani kuliko pesa uliomuomba

    S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Hivi mnajua, kuna mtu anaweza asikupe pesa kwa sababu hana kwa wakati huo, lakini akakupa ushauri wa maana wenye thamani mara 3 zaidi ya pesa uliomuomba? This is my true story ========= Siku moja nikiwa chuo kikuu...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri Kabla Sijaimalizia Hii Beat

    Wadau wa mziki tupeane ushauri, niongeze nini na nipunguze nini kwenye hii beat?
  14. JamiiForums Tanzania Je, PC yangu itafaa kwajili ya FIFA 2021?

    Mzigo ushatoka wa FIFA 2021 tayari upo sokoni Nina play station ila nimeiacha nyumbani kwajili ya watoto, kwa mwezi ujao nitakuwa na likizo ya kikazi ntasafiri kwenda kijijini (kuna umeme) sitaweza kuja nayo Napenda kucheza game ya mpira ya FIFA so nataka kununua CD ya FIFA 2021 nadhani...
  15. JamiiForums Tanzania IT, ICT, CS students wanaokimbia chuo ili kuwa mabillgates hapa Tanzania hawawi hivyo hata kwa mtaa tu, kwanini?

    Mi nafikiri ni kutopenda kusoma na kutozitambua fursa kijamii, zaidi ya hapo ni kutojua hali ya mtaa kiuhalisia. Je, wewe unasemaje? Tuwasaidie watakao drop baadae😊
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri - CHADEMA iongezee Timu ya kampeni na Lissu aende Majimboni

    Ukiangalia kiundani unaona kwa nini CCM inaweza shinda uchaguzi huu kiurahisi sana. Ni namna walivyojipanga katika Kampeni zao. Kila Mkoa na Wilaya unaona kuna mtu mwenye Ushawishi ndani ya Chama anasaidia kufanya kampeni za wagombea Ubunge au Udiwani. Nimeona Kinana, Kikwete, Ndugai, n.k...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri: Usipende kuweka namba yako ya simu mitandaoni bila sababu. Ni rahisi kumdukua mtu ukiijua namba yake ya simu

    Napenda kuwapa ushauri wana JF wenzangu. Mjitahidi kulinda privacy zenu huko Facebook, Instagram, Twitter n.k. Kuna watu wakiipata tu namba yako wanakudukua kiulaini. Nimewahi kufanya research na kugundua ni rahisi sana kumdukua mtu kwenye mtandao wa kijamii ikiwa tu utaijua namba ya simu...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Ahadi za wanasiasa ziwe supported na 'Indemnity' ili wananchi wawe na uhakika wa utekelezaji wake

    Tumeshuhudia wanasiasa wakituahidi mambo mengi sana kipindi cha kampeni, laiti kama kwa miaka 15 iliyopita, ahadi za wanasiasa (Rais, Wabunge, na Madiwani) zingetekelezwa walau kwa asilimia 50 tu, hii Tanzania ingekuwa ni ya tofauti sana na hii tunayoiona hapa. Mfano ahadi kama ya Milioni 50...
  19. JamiiForums Tanzania Bomu la Ajira litamlipukia Rais Magufuli

    Rais Jakaya Kikwete Pamoja na mapungufu yake mengi ya corrupt system aliyokuwa ameijenga lakini alifanikiwa kutoa Ajira kwa watanzania kila mwaka,kupandishwa madaraja kwa wafanyakazi kila mwaka,kupeleka wafanyakazi kusoma kila mwaka na mengine mengi. Tanzania watu wanaingia kwenye soko Ajira...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Simu gani nzuri ya Samsung kwa bajeti yangu

    Nataka kununua Simu. Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung. Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=. Nazingatia zaidi good camera na muonekano. Update Niliongeza pesa kidogo nikachukua Samsung A 51, nimeipenda ni nzuri. Asanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…