ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri, nina wivu uliopitiliza

    Wana JF nimekuwa muhanga wa kuwa na wivu uliopitiliza katika mahusiano , sijui ni mimi tu au kuna wengne wana wivu kama mimi hii imekaaje wanaume wenzangu. 1. Siihitaji mpenzi wangu awe na mazoea na wanaume bila sababu ya msingi. 2.Napenda sana kufatilia simu yake muda mwingi huwa nampokonya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wasanii na wote mliojaliwa mali

    Wasanii wabongo wasipofungua akili wataishia kwenda mahakamani kuvunja ndoa nakugawa riziki kidogo waliyojaaliwa Nimemwona Ben Pol, nakumbuka kisa Cha Kiba, Hawa ni baadhi ya watu walioa kabla yakufungua macho kuona Nini Tafsiri ya ndoa Naomba wasanii msikurupuke kuoa, wanawake wanawaza...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais juu ya uteuzi wa Wakuu wa Mkoa/Wilaya, Wakurugenzi /DED

    MH. RAIS , Numeona nitumie jukwaa hili kukupa ushauri wangu kuhusu kupanga safu mpya ya wakuu wa Mikoa, wilaya na wakurugenzi ( DED) . Ili ufanisi uwepo kwa serikali yako yakupasa kuondoa wachumia tumbo wote ( praise team ) ambao walikuwa tayari kujidhalilisha au kufanya maamuzi yeyote...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

    Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu. Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu. Rais Samia...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Nyimbo za Maombolezo wakati wa Misiba Mikubwa

    Ndugu zangu, Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu, nimegundua kwamba kila ukitokea msiba mkubwa wa kiongozi au mtu mwenye ushawishi mkubwa katika jamii, kumekuwa na wimbi la nyimbo nyingi zinazotungwa ili kuomboleza na kumkumbuka mwendazake. Kwa kweli wasanii huwa wanajituma sana kipindi kama...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Network marketing

    Habari wakuu Moja kwa moja kwenye mada, nina mpango wa kuingia katika biashara ya mtandao(Network Marketing), asilimia 80% ya maoni niliyoyapata kwa watu wa karibu ni negative; yaani wanaamini huko nitaenda kutapeliwa. Ninaombq wana JF wale ambao mna ufahamu wa kutosha na huenda mlio kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania USHAURI: Serikali ianzishe utaratibu wa lazima kwa kila raia kijana kujitolea Jeshini

    Habari wadau..! Leo nilikuwa na ushauri kwa serikali yetu na jeshi letu maana naona wanajipendelea sana,yani jeshi ndio linajipa peke yake jukumu la kulinda nchi wakati jukumu hilo ni la kila raia ,lakini raia tutawezaji kujilinda na kulinda Taifa siku za usoni wakati hatuna mbinu za kijeshi...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri kununua kiwanja Kaole, Bagamoyo

    Habari zenu wadau.Kuna kiwanja nataka kukinunua Bagamoyo Kaole naombeni ushauri wenu.Sqm 1000 sh million 12 ni karibu na beach (500metres from the beach). Plan yangu ni baadae kujenga vi apartments hata vinne vidogo kwa ajili ya watalii wanaokuja kuvipangisha.Lakini pia nina option ya Kiromo...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri: Ili kulinda heshima yako Mataragio usikubali huo uteuzi wako, kataa waachie cheo chao

    Hii ni kwa sababu Mamlaka ya Uteuzi haikuamini tena na ndio maana nafasi yako akapewa mtu mwingine , Kilichotokea ni kwamba huyo aliyepewa nafasi yako ameonekana kituko , duni na hatoshi na ndio maana ametenguliwa ukarudishwa tena , hii haimaanishi wewe unafaa , jiongeze mwenyewe ndugu. Wewe...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Nafasi za uteuzi wa Ma DED na wakuu wa taasisi amwachie Dkt. Mpango huku yeye akibaki na Ma DC, RC, Mabalozi nk

    Habari zenu Wana wa JF siasa. Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii. Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk...
  11. JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Mradi wa ujenzi wa mji serikali (Mtumba - Dodoma): Ushauri wangu kwa CS Hussein Katanga na VP Dkt. Phillip Mpango

    Habarini wakuu, Leo napenda nami pia kupongeza uteuzi wa Mh. MPANGO na Mh. KATANGA kwa nafasi ambazo wameaminiwa na Mheshimiwa Rais na taifa kutumikia. Nijielekeze ktk mchango wangu wa mawazo juu ya mradi muhimu wa ujenzi wa mji wa serikali, nikichagizwa na furaha ya kuhakikishiwa na Rais wetu...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Wizara ya Teknolojia ya Mawasiliano na Habari

    Habari 👋 Naomba siku ya leo nitoe ushauri na mapendekezo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kuhusu wizara hii ya teknolojia, mawasiliano na habari. Sifahamu Dr. Faustine Ndugulile kipi kimemtatiza katika hii wizara. Sina shaka na utendaji wake lakini nadhani...
  14. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Mdogo wangu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phs na math pia "C"ya history na kiswahili, yaliyobaki Ana "D"

    Naombeni ushauri mdogo angu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phy na math pia "C"ya history na kiswahili yaliyobaki Ana "D" Kama Ni kurudia arudie masomo gani? Naombeni ushauri
  15. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kapata four ya 26, naomba ushauri tufanyeje

    Mdogo wangu kapafa four ya 26 Ana "F" ya Phy na Math pia Ana "C" ya history na Kiswahili, masomo matano yaliyobaki naomba ushauri tufanyeje. Naombeni ushauri.
  16. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwa aina hii ya mbwa

    Jamanii kwa anae jua mbwa naomben msaada uyu n aina gani ya mbwa
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaoingia kwenye mahusiano

    Kabla haujaingia kwenye mahusiano jaribu kuupima moyo wako kwa "KUBET KWA PESA YA KODI" (mpe arsenal ushindi, mpe yanga afunge goli 3, mpe man u ushindi at home ground, bayern munich aongoze halafu achomolewe na afungwe kipindi cha pili, muue simba goli 4 hapo kwa mkapa) Ukiweza hapa, ingia...
  18. JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Katika nchi yetu kuna sheria za ajabu sana, mojawapo ni hii ya kumlinda Rais Mstaafu kutokana na makosa aliyoyafanya akiwa Rais. Habari juu ya Ufisadi uliofanyika katika awamu ya tatu ya Uongozi wa nchi yetu ni dira tosha ya kutufanya tufikirie upya juu ya Kinga ya Rais Mstaafu ya kutoshitakiwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampa onyo Waziri wa OR-TAMISEMI, Selemani Jafo

    Mh. Rais amesema Wizara ya Tamisemi ina matumizi ya ovyo ya pesa za Serikali, yenyewe haikusanyi ni mwendo wa matumizi kwa kwenda mbele hivyo kamwagiza Waziri Jafo afuatilie vizuri matumizi ya wizara yake na kama akishindwa Basi asaidiwe(atumbuliwe) Ushauri. Mh Seleman Jafo jipange...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TFF, bodi ya ligi na ligi kuu Tanzania

    Habari 👋 Siku ya leo nimeona vyema nizikumbushe mamlaka za soka nchini Tanzania katika masuala kadhaa, nitumaini langu baada ya ushauri huu utekelezaji utaanza na msimu mpya 2021/2022 tutashuhudia makubwa na yaliyokuwa bora. Nimekuwa mfuatiliaji wa masuala mbalimbali lakini mpira wa miguu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…