Naombeni ushauri: Mdogo wangu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phs na math pia "C"ya history na kiswahili, yaliyobaki Ana "D"

Ellymsgw

New Member
Apr 1, 2021
2
45

Naombeni ushauri mdogo angu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phy na math pia "C"ya history na kiswahili yaliyobaki Ana "D" Kama Ni kurudia arudie masomo gani? Naombeni ushauri​

Mlenge

Verified Member
Oct 31, 2006
2,137
2,000

Naombeni ushauri mdogo angu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phy na math pia "C"ya history na kiswahili yaliyobaki Ana "D" Kama Ni kurudia arudie masomo gani? Naombeni ushauri​

Asirudie masomo ya kidato cha nne. Akasomee fani anazopenda. VETA/FETA/vyuo NACTE.

Au asomee professional certification ya fani aipendayo.
 
900 Inapendeza zaidi

JF-Expert Member
Nov 19, 2017
3,779
2,000

Naombeni ushauri mdogo angu kamaliza kidato Cha nne na kapata four ya 26 Ana "F" ya phy na math pia "C"ya history na kiswahili yaliyobaki Ana "D" Kama Ni kurudia arudie masomo gani? Naombeni ushauri​

Hakuna haja ya kurudia akirudia atapoteza muda na pia anaweza asiongezee kitu, NACTE anaweza kusoma kozi yoyote isipokuwa engineering na afya ukitoa pharmacy
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom