Ushauri kwa Rais juu ya uteuzi wa Wakuu wa Mkoa/Wilaya, Wakurugenzi /DED

7 ELEVEN

Member
May 29, 2017
74
138
MH. RAIS ,

Numeona nitumie jukwaa hili kukupa ushauri wangu kuhusu kupanga safu mpya ya wakuu wa Mikoa, wilaya na wakurugenzi ( DED) .
Ili ufanisi uwepo kwa serikali yako yakupasa kuondoa wachumia tumbo wote ( praise team ) ambao walikuwa tayari kujidhalilisha au kufanya maamuzi yeyote yasiyozingatia weledi au sheria ili tu kumfurahisha mwendazake! Mgongoni mwao yupo Chalamila, hapi, kihongosi, sabaya, by then alikuwa pia gambo, makonda na wengineo wa kariba hiyo.

Nakuomba utulie katika hili na wala usiwe na papara nalo, na pia usimshirikishe majaliwa - hapo utaharibu, majaliwa from my heart ni mchumia tumbo na hakufai (Mark my words Madam President), majaliwa atatumia fursa hiyo kukushauri watu ambao watakuwa royal kwake ili kujiimarisha kisiasa mikoani na wilayani kuelekea 2025 National Election! Narudia tena mama Majaliwa pia hakufai, you will remember my words later.

USHAURI:

Katika uchaguzi uliopitia kulikuwa na watumishi wa Umma wengi wenye sifa kutoka taasisi mbali mbali nchini ambao walijitokeza kugombea ubunge, hao ni watumishi tayari na wanacheki namba zao. kwa idadi nadhani hawapungui elfu saba.

Now Mpe kazi kijana wako KMK akuchambulie wenye CV zilizoenda shule na wasomi wasio na mashaka only PhD holders and Master degree holders kutoka kwa hao waliogombea / public servants only ili kutoongeza mzigo Serikalini.

Wachuje/ chekecha kupitia CV na exposure zao kisha wape majukumu. Nakuambia hutojuta Mama President.

I will come later for more advice on this matter.

THANK YOU in advance.
 
Diblo Dibala sijui alipataje upm
Very average afro haired dude from the 70's
 
Katika uchaguzi uliopitia kulikuwa na watumishi wa Umma wengi wenye sifa kutoka taasisi mbali mbali nchini ambao walijitokeza kugombea ubunge, hao ni watumishi tayari na wanacheki namba zao. kwa idadi nadhani hawapungui elfu saba.
Katika hili mkuu nakupinga kabisa, kuweka makada kwenye hizo nafasi ndiyo shida inapoanza. Bora ungeshauri kwamba Katibu mkuu kiongozi apitie CV za wakuu wa idara mbalimbali huko halmashauri ili wapewe U-DED. Pia kwenye NGOs tupo watu wazuri tu aje na huku atukute!😁😁😁😂😂😂😂
 
Kwa hili wazo sishauri kabisa Mama aitumie.
Waliotia nia wote ni wa chama kimoja,safari hii kwa vitisho vilivyokuwepo hakuna mtumishi wa Umma alitia nia kupitia vyama vya upinzani.
Not fair at all!
 
MH. RAIS ,

Numeona nitumie jukwaa hili kukupa ushauri wangu kuhusu kupanga safu mpya ya wakuu wa Mikoa, wilaya na wakurugenzi ( DED) .
Ili ufanisi uwepo kwa serikali yako yakupasa kuondoa wachumia tumbo wote ( praise team ) ambao walikuwa tayari kujidhalilisha au kufanya maamuzi yeyote yasiyozingatia weledi au sheria ili tu kumfurahisha mwendazake!
Mgongoni mwao yupo Chalamila, hapi, kihongosi, sabaya, by then alikuwa pia gambo, makonda na wengineo wa kariba hiyo.

Nakuomba utulie katika hili na wala usiwe na papara nalo, na pia usimshirikishe majaliwa - hapo utaharibu, majaliwa from my heart ni mchumia tumbo na hakufai (Mark my words Madam President), majaliwa atatumia fursa hiyo kukushauri watu ambao watakuwa royal kwake ili kujiimarisha kisiasa mikoani na wilayani kuelekea 2025 National Election! Narudia tena mama Majaliwa pia hakufai, you will remember my words later.

USHAURI:
Katika uchaguzi uliopitia kulikuwa na watumishi wa Umma wengi wenye sifa kutoka taasisi mbali mbali nchini ambao walijitokeza kugombea ubunge, hao ni watumishi tayari na wanacheki namba zao. kwa idadi nadhani hawapungui elfu saba.

Now Mpe kazi kijana wako KMK akuchambulie wenye CV zilizoenda shule na wasomi wasio na mashaka only PhD holders and Master degree holders kutoka kwa hao waliogombea / public servants only ili kutoongeza mzigo Serikalini.

Wachuje/ chekecha kupitia CV na exposure zao kisha wape majukumu. Nakuambia hutojuta Mama President.

I will come later for more advice on this matter.

THANK YOU in advance.
Acha chuki wewe...
 
Vetting nzuri ifanyike kwa watendaji zaidi.
Waanzie hapa....
-Body ya Wahaandisi
-Body ya wasanifu na wakadiliaji majenzi.
-Tume /chama cha Walimu
-Taasisi ya Wahandisi
-Chuo cha Utumishi wa Umma
-Body /Taasisi ya wahasibu
-TLS
-Taasisi ya sekta binafsi zinazo/zilizojiendesha vizuri.
-Vyuo vikuu vya umma na binafsi.
-Vyombo vya Ulinzi /Majeshi yetu.
-Vyama vya Ushirika
-Majukwaa ya wanawake na Walemavu.
-Wanahabari mahili na hodari.
-Wasanii /wanamichezo wenye uwezo na elimu/weledi usio tia shaka.
-Wastaafu walio na nguvu ya kuamua na kutenda.
-Watumishi wa umma wenye record nzuri za utumishi.
-Wajasiliamali wadogo wenye elimu /uwezo wa kutatua matatizo na wabunifu.
-Skauti.
nk
 
MH. RAIS ,

Numeona nitumie jukwaa hili kukupa ushauri wangu kuhusu kupanga safu mpya ya wakuu wa Mikoa, wilaya na wakurugenzi ( DED) .
Ili ufanisi uwepo kwa serikali yako yakupasa kuondoa wachumia tumbo wote ( praise team ) ambao walikuwa tayari kujidhalilisha au kufanya maamuzi yeyote yasiyozingatia weledi au sheria ili tu kumfurahisha mwendazake!
Mgongoni mwao yupo Chalamila, hapi, kihongosi, sabaya, by then alikuwa pia gambo, makonda na wengineo wa kariba hiyo.

Nakuomba utulie katika hili na wala usiwe na papara nalo, na pia usimshirikishe majaliwa - hapo utaharibu, majaliwa from my heart ni mchumia tumbo na hakufai (Mark my words Madam President), majaliwa atatumia fursa hiyo kukushauri watu ambao watakuwa royal kwake ili kujiimarisha kisiasa mikoani na wilayani kuelekea 2025 National Election! Narudia tena mama Majaliwa pia hakufai, you will remember my words later.

USHAURI:
Katika uchaguzi uliopitia kulikuwa na watumishi wa Umma wengi wenye sifa kutoka taasisi mbali mbali nchini ambao walijitokeza kugombea ubunge, hao ni watumishi tayari na wanacheki namba zao. kwa idadi nadhani hawapungui elfu saba.

Now Mpe kazi kijana wako KMK akuchambulie wenye CV zilizoenda shule na wasomi wasio na mashaka only PhD holders and Master degree holders kutoka kwa hao waliogombea / public servants only ili kutoongeza mzigo Serikalini.

Wachuje/ chekecha kupitia CV na exposure zao kisha wape majukumu. Nakuambia hutojuta Mama President.

I will come later for more advice on this matter.

THANK YOU in advance.
Don't attack mtu.....
Toa mapendekezo nini kifanyike tupate viongozi wazuri.
Mh. Waziri Mkuu unamkosea heshima na adabu.
Acha au ficha ujinga wako sio lazima kupost chuki binafsi na kupiga ramli chonganishi hadharani...
This is not fair....
 
Hv kweli inamaana Wasomi pekee wenye Shahada za Uzamili na Uzamivu ndio pekee wanasifa za kuwa Ma DC, Ma DED n.k?
Kama hicho ndio Kigezo kikuu kwanini Wasomi hao ndio wametufikisha hapa tulipo tofauti na hapo awali Nchi ilipokuwa inaongozwa na hao ambao leo mnawaona sio Wasomi?
Hebu acheni Ubaguzi na sisi wa Darasa la NNE, SABA NA NANE la Mkoloni tunaweza kuwa Viongozi na kuleta tashuwishi njema kwa Nchi yetu!
 
Back
Top Bottom