Mdogo wangu kapata four ya 26, naomba ushauri tufanyeje

Ellymsgw

New Member
Apr 1, 2021
2
2
Mdogo wangu kapafa four ya 26 Ana "F" ya Phy na Math pia Ana "C" ya history na Kiswahili, masomo matano yaliyobaki naomba ushauri tufanyeje.

Naombeni ushauri.
 
Mpeleke chuo cha ardhi Morogoro akasome Urban and Regional Planning, URP
 
Mdogo angu kapafa four ya 26 Ana "F" ya Phy na Math pia Ana "C" ya history na Kiswahili, masomo matano yaliyobaki naomba ushauri tufanyeje.

Naombeni ushauri.

Ilboru kuna division two moja zilizobaki zote ni division one
Mdogo wako bado anapata four na mserereko wa awamu ya tano kwenye shule za serikali
Huyo elimu haimfai atafute mambo mengine ya kufanya
Samahani lakini
 
Mdogo angu kapafa four ya 26 Ana "F" ya Phy na Math pia Ana "C" ya history na Kiswahili, masomo matano yaliyobaki naomba ushauri tufanyeje.

Naombeni ushauri.
Ni jinsia gani? Kufeli mitihani sio kufeli maisha bado ana nafasi ya kusonga mbele.. Mtafutie vyuo vya ufundi akasomee hobby yake....Atapasua
 
Inawezekana ni mzuri kwa kazi za mikono, shughuli za kutumia ubongo si za kila mtu. Binafsi nimegundua ni mzuri kwa kazi za mikono. Ninashona magauni ya linen na kudarizi kwa mikono maua ninayopenda. Ofisini wanaomba niwapeleke kwa fundi wangu.

Ningefahamu hii talanta mapema nisingepoteza muda sana kwenye academic life.
 
Back
Top Bottom