ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Ushauri biashara ya kuosha Magari na pikipiki

    Naombeni ushauri nataka kuacha kazi ya kuajiriwa maana naona wanazingua now nataka niingie kwenye biashara ya kuosha pikipiki na magari. Jetwasher nzuri na original zinauzwaje iwe used au mpya Ni sehemu gani nzuri za kukaa ili kufanya biashara hii Je, ina mabaya gani au shida yake Mtaji wake...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Tangu niachane naye nishapita na mahusiano na watu watatu lakini bado sijapata nitakako

    Wadau natumai mko poa. Nazama moja kwa moja kwenye mada. Miezi takribani 5 iliyopita nilileta mada humu 90% ya mawazo ya wadau niliyatumia na yalinisaidia sana. Najifeel zaidi ya hom humu. Nilikuwa na mahusiano na binti ambaye nilitegemea mwaka huu kumuoa baada ya kumaliza masomo kwa bahati...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba SC: Kamwe msiingize kikosi cha kwanza katika mechi yenu na Yanga SC

    Timu ya Simba pokeeni ushauri huu. Kwa kuwa mna kikosi kipana na kizuri, tumieni kikosi cha pili kucheza na Yanga. Kwa nini? 1. Katika kipindi hichi ambacho mmepata mafanikio timu ya Yanga itakamia mechi ili kuonyesha kuwa na wao ni bora. 2. Ikiwa mechi hii ikamiwa hivyo inaweza kuwaacha na...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Minyukano CCM: Ushauri wa bure kwa Bashiru na wenzako kokote kule mliko

    Mabibi na mabwana kwa yanayotokea huko CCM kwa wengine kina sisi, hayo ni mambo ya Ngoswe. Hata hivyo kama binadamu ambapo wengine huwa hawana huruma, wengine tumeumbiwa na roho za huruma. Ashukuriwe mola muweza wa yote. Ni ukweli ulio wazi kuwa mh. Dr. Bashiru, Pole pole na vigogo wengine...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa CHADEMA

    Katika soko la ushindani huwa mzalishaji anaangalia nini mlaji anataka na huyo mzalishaji uzingatia hicho na kukileta sokoni na hapo huwa anapata kitu kinaitwa supa au abnomal profiti, yaani faida ya juu. Haya ni tofauti na chama cha Chadema kumlisha mlaji, wenyewe hawapendi, wanapenda kumlisha...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wazo la biashara, nifanye biashara gani ninaishi jijini Dodoma nina mtaji wa 380000/=naombeni ushauri

    Habar wana JF Mimi ni graduator wa chuo kimojawapo jijini Mbeya mwaka wa jana, kutokana na tatizo la ajira niliamua kutafuta mtaji kwa kufanya kazi vibarua na nimefanikiwa kukusanya kiasi cha tshs 380000. Hivyo naombeni ushauri nifanye biashara gani ambayo itanipa...
  7. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Madereva wa private cars tembeeni usiku kama unafanya Safari ndefu

    Imekuwa desturi na mazoea kwa madereva wengi wanaoendesha magari yao binafsi kufanya safari zao ndefu muda wa mchana ingawa ni jambo jema ila kwa mtazamo wangu mimi naona ni shida na usumbufu mwingi njiani. Naongea hivyo kwasababu ndani ya mwezi Machi nilifanya safari ndefu ya kwenda Mwanza na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Katibu Mkuu Wa CCM

    Katibu Mkuu Wa CCM nakupongeza kwa kuteuliwa kwako. Naomba nichukue fursa hii kukushauri mambo yafuatayo. 1. Pambana na kinachoitwa JK, Sukuma Gan nk ndani ya chama. Walete pamoja wanaccm kwani utulivu ndani ya CCM ni utulivu wa dola na ni utulivu wa serikali. 2. Epuka kutumia approach za...
  9. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika: Mabati ya plastic

    Wachina wameleta mapinduzi ya uezekaji kwa aina mpya ya bati za plastic na sifa kedekede kama kupoza nyumba, kurecycle yakichakaa, uimara, kutovuja kupitia misumari, bei ndogo, kutunza hewa safi na kutokuwa na kutu. Warranty ya miaka 30. Tena wanatengenezea hapa nchini, hili jukwaa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kati ya kozi ya Public Health na Health System Management

    Habar ya kazi wakuu, nahitaji kusoma masters. Naomba mwenye uelewa wa hizi kozi ipi ni nzuri zaidi na ni Vyuo gani hutoa hizi kozi. Asanteni
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Michongo Live

    Wakuu nisiwe mchoyo wa michongo mjini na vijijini. Leo nimewafungulia Uzi huu wa Michongo Live uzi huu nitatoa michongo mjini na vijijini ili wadau wapate kufaidika. Mchongo wa Leo Je, pengine umesoma mambo ya biashara au stationery, au pengine una uzoefu na mambo hayo? Basi fanya hivi. Fungua...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali na Ajira

    Muda/umri wa kustaafu Serikalini ikiwemo sekta binafsi. Wafanyakazi wote wapunguziwe umri wa kustaafu na kuwa walau miaka 55 badala ya 60, siku hizi life span ya mwanadamu imekuwa ndogo, hii itasaidia watoke na walipwe stahiki zao mapema na kuzifurahia wakiwa na nguvu angali wako hai. Pia hii...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Zingatia yafuatayo unapoomba ushauri

    Kuwa makini unapochagua mtu wa kumuomba ushauri. Zingatia uzoefu wa huyo mtu kwenye jambo husika na ukaribu mlionao Kuwa wazi juu ya unachotaka kushauriwa, elezea vizuri chanzo cha tatizo lako Ikiwezekana jaribu kutatua tatizo mwenyewe kwanza, kisha umweleze mtu unayemuomba ushauri mahali...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaotaka kufunga na kufungisha ndoa

    Wadau habari ya muda huu. Nimetafakari sana juu ya madhara ya watu wanaotaka kuona kwa kupimwa HIV_muda kidogotu nakupewa kibali cha kufungishwa ndoa Kwangu naona jambo hili halijakaa sawa. Bado mtu anaweza akamuambukiza mwenza wake kutokana na kupimwa HIV kwa mwendo waharaka. Pia madaktari...
  15. cha1509

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kufungua biashara ya stationery

    Habari wanaJF, Natumai hamjambo nyote Mimi nipo Singida Manyoni nina kamtaji kangu, wazo lililonijia ni kufungua biashara ya vitu vya stationery, ila changamoto yangu sijui navipata wapi kwa bei nzuri, nataka niwe nauza jumla na reja reja pia, hivyo naomba mwenye kujua anijuze napata wapi...
  16. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa diaspora wenzangu na wale wanaokwenda kutafuta maisha nje ya Tanzania

    Habari zenu wakuu, Ama baada ya salam napenda nijikite kwenye mada ili nisiwachoshe wasomaji. Ndugu zangu unapokuwa nje ya nchi kwa lengo fulani la kutafuta maisha, ili ufanikiwe unatakiwa ufanye haya ninayoyataja hapa chini, lkn pia kama kuna mengine ambayo sikuyaandika hapa ktk list yang basi...
  17. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza Kamari (Betting)

    Karibu rafiki yangu mpendwa kwenye makala hii ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kupiga hatua na kufanikiwa kwenye maisha. Kwenye makala hii tunakwenda kujifunza jinsi ya kuondoka kwenye uraibu wa kucheza kamari au kama ilivyo maarufu kwa jina la betting. Hii ni changamoto ambayo imekuwa...
  18. Guard Clever

    JamiiForums Tanzania Nimeng’oa jino siku nne zilizopita lakini bado halijapona

    Nimengoa jino,leo ni siku ya nne ,lakini bado sioni dalili ya kupona na dawa zimeisha
  19. Aisatu

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nataka nimuache na kumsahau huyu Mwanamke

    Habar wadau, Ni hivi nimekuwa na mahusiano na demu taklibani miez 3, sasa analeta mambo ambayo hata hayaeleweki mim nilimuomba mahusiano ya kimapenzi, sasa tumezoeana sana, mara nyingine tunatukanana hadi tunataka kuachana kila tukitaka kuachana yeye ndo anaanzisha mada ya kuachana lakini...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mgogoro wa familia kuhusu huduma na malezi ya watoto

    Wana great thinkers Kuna ushauri tafadhali unahitajika. Kwa ufupi kuna mzazi (mwalimu wa sekondari) mkristo alizaa na wanawake wa 2 tofauti Wa kwanza mke wa ndoa watoto wa3, Mwanamke Wa pili aliishi nae watoto wa 2. Mke wa Kwanza aliendelea kuhudumia watoto wake bila msaada wowote kutoka kwa...
Back
Top Bottom