Wana great thinkers
Kuna ushauri tafadhali unahitajika.
Kwa ufupi kuna mzazi (mwalimu wa sekondari) mkristo alizaa na wanawake wa 2 tofauti Wa kwanza mke wa ndoa watoto wa3, Mwanamke Wa pili aliishi nae watoto wa 2.
Mke wa Kwanza aliendelea kuhudumia watoto wake bila msaada wowote kutoka kwa...
Habari wakuu.
Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla?
Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake.
Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia.
Kwa mzigo wa kutoka nje gharama...
Wanasiasa, na hata Wanaharakati wengi duniani, wakiwemo wa nchi hii (including the late Magufuli) wanaonekana kupenda sana kuja kukumbukwa baadae hata na vizazi vijavyo, ila hawaelewi wafanye nini waache legacy na hata historia imeshindwa kuwasaidia ni namna gani wanaweza kuacha legacy.
In...
Kwenye mjadala huu 'serious' tutajadili kwa kina juu ya vipengele vifuatavyo kuhusu hali ya ajira kwa vijana nchini;-
1.Hali ikoje kwa sasa?
2.Matokeo ya tatizo hili la ukosefu wa ajira ni nini kwa wakati huu?
3.Tatizo hili linasababishwa na nini?
4. Hali hii ikiendelea hivyo hatari yake ni...
Habari za asubuhi wakuu. Ni matumaini yangu kwamba hamjambo humu ndani.
Wakuu bila kupoteza muda ni kwamba leo asubuhi nikiwa tumelala, mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa tano aliniomba nimsaidie kutengeneza simu yake kwa sababu ilikuwa na matatizo katika upande wa WHATSAPP...
Yeereeeeeh!
Chris Lukosi Mfanyabiashara Mtanzania maarufu Uingereza ametoa ushauri mzuri kwa TRA na kusikitika jinsi wanavyokosa mapato mengi kupitia bandarini.
Anasema alitoka bandarini huko Uingereza akahesabu magari 250 kwenye meli yaliyokuwa yanaletwa bandari ya Dar na Mombasa.
Kati ya...
Guys natamani sana kuifanya hii biashara ya Tax kwa njia ya mtandao kama vile kupitia Uber na Bolt lakini sijui ijui sana bishara hii, mwenye kufahamu lolote kuihusu hii biashara anipe info’s kidogo. Ninachotaka kukifanya ni kuchukua gari ya mtu na kuifanyia hiyo kazi kwa hesabu au mkataba...
Yaani kifua kinaniuma, kilianza kama miti miwili inanichoma kwa muda fulani halafu inaacha!
Hospitali wamekuwa wakidai nipige x-ray za kifua nazo zinaonyesha hakuna tatizo!
😥😥😥
Ndugu zangu naomba ushauri
Mimi ni kijana ambaye nina miaka 23 naishi Canada.
Kuna kipindi nilikutana na dada fulani FB huyo dada tuliwai kusoma wote shule kabla sijaenda Canada.
Sasa tulivyo kutana na huyo mwanamke ilikuwa 2019 tukaanza mahusiano naye tukapendana sana akanipenda sana na mimi...
Mdogo wangu umri miaka 23,mwaka jana tu alimuomba mzee na marafiki kumuandalia harusi ili aweze kuaga ukapera.
Wazazi na marafiki wakafanya michango na kuandaa harusi kubwa tu na dogo akaoa.
Mchumba wake wamesoma naye hadi kidato cha nne shule moja na hivyo wanafahamiana kila kitu.
Miezi 6 tu...
Tunatoa ujuzi na ushauri mbalimbali kuhusiana na uandishi wa research. Ushauri hui utahusiana na:
1.Njia za kuandaa na kutambua "Research Title"
2.Namna ya kuandaa "research proposal"
3.Njia zitakazokusaidia katika kutambua na kuandaa "objectives za research"
4.Njia mbalimbali zinazoweza...
Mimi sio mtalaamu wa mambo ya biashara, Ila nachotaka niombe Kwa wachambuzi na wataalamu wa hizi biashara mtuambie na muisaidie Serikali katika hii aviation business.
Kwa mjibu wa bwana Assad, yeye analaumu Sana manunuzi ya kununua ndege kwa cash.
Tunaomba wataalamu wa mambo ya biashara hasa...
Hotuba ya Mhe. Freeman Mbowe
Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena.
Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
Habari wadau.
Katika sera za Hayati Magufuli kuelekea uchaguzi wa oct2020 alitoa ushauri kwa NSSF kutowekeza tena kwenye makongo na kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda.
Tathmini ndogo tu iliyofanyika ila sijachapa hii report, jengo la mlimani la blue (PPF tower km sijakosea) liligharimu about...
Controller and Auditor General ametoa report yake ya mwaka jana juu ya utendaji wa shirika letu la ndege yaani ATCL. Katika report huyo ameaanisha kuwa kwa mwaka wa fedha uliopita shirika limepata hasara ya karibia shilingi Billoni 60!!! Hiyo ni hasara ya mwaka mmoja tu lakini shirika tangu...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano
Ninao ushauri mdogo kuhusu elimu yetu ya awali nchini.
Kwanza niwapongeze sana TIE kwa miongozo sahihi nayakisasa ya namna ya kumfundisha mtoto, hasa baada ya kuleta mtaala mpya unaojenga UMAHIRI/COMPETENCE BASED CURRICULUM
Shida iliyosalia nikwamba...
Habarini WanaJF,
Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Ualimu shule za msingi mwaka 2019...nikiwa na GPA ya 4.0
Naombwa kufahamishwa kama inawezekana kwangu kuweza kusoma Bachelor of Education in Science au Bachelor of Science with Education, Ilhali sikusoma Diploma ya Ualimu wa sekondari.
Alama...
Habari za muda huu wakubwa.
Mimi ni kijana wa kiume ambae nimebahatika kupata sehemu yangu ya urithi toka kwa wazee wangu ambapo nimepata milioni 30.
Nilikua naomba wazoefu, watu mnaoifanya hii biashara tusaidiane kwenye mambo kadhaa juu ya hii biashara kama eneo, mbinu za kuongeza mauzo, nk...
Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo.
Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.