ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

    Habari wakuu. Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla? Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake. Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia. Kwa mzigo wa kutoka nje gharama...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wanasiasa wanaotaka kuacha legacy nzuri na ya kudumu

    Wanasiasa, na hata Wanaharakati wengi duniani, wakiwemo wa nchi hii (including the late Magufuli) wanaonekana kupenda sana kuja kukumbukwa baadae hata na vizazi vijavyo, ila hawaelewi wafanye nini waache legacy na hata historia imeshindwa kuwasaidia ni namna gani wanaweza kuacha legacy. In...
  3. JamiiForums Tanzania Intensive discussion; ushauri wa kisera kutatua tatizo la ukosefu wa ajira nchini angalau kwa 90%. Visababishi, mkwamo na jinsi ya kutoka

    Kwenye mjadala huu 'serious' tutajadili kwa kina juu ya vipengele vifuatavyo kuhusu hali ya ajira kwa vijana nchini;- 1.Hali ikoje kwa sasa? 2.Matokeo ya tatizo hili la ukosefu wa ajira ni nini kwa wakati huu? 3.Tatizo hili linasababishwa na nini? 4. Hali hii ikiendelea hivyo hatari yake ni...
  4. JamiiForums Tanzania Nimegundua mchumba wangu kanisaliti baada ya kuona meseji za mapenzi kwenye simu yake

    Habari za asubuhi wakuu. Ni matumaini yangu kwamba hamjambo humu ndani. Wakuu bila kupoteza muda ni kwamba leo asubuhi nikiwa tumelala, mpenzi wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa tano aliniomba nimsaidie kutengeneza simu yake kwa sababu ilikuwa na matatizo katika upande wa WHATSAPP...
  5. JamiiForums Tanzania Chris Lukosi katoa ushauri mzuri jinsi TRA wanavyokosa mapato

    Yeereeeeeh! Chris Lukosi Mfanyabiashara Mtanzania maarufu Uingereza ametoa ushauri mzuri kwa TRA na kusikitika jinsi wanavyokosa mapato mengi kupitia bandarini. Anasema alitoka bandarini huko Uingereza akahesabu magari 250 kwenye meli yaliyokuwa yanaletwa bandari ya Dar na Mombasa. Kati ya...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya biashara ya Uber, Bolt

    Guys natamani sana kuifanya hii biashara ya Tax kwa njia ya mtandao kama vile kupitia Uber na Bolt lakini sijui ijui sana bishara hii, mwenye kufahamu lolote kuihusu hii biashara anipe info’s kidogo. Ninachotaka kukifanya ni kuchukua gari ya mtu na kuifanyia hiyo kazi kwa hesabu au mkataba...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wadau, hili ni tatizo gani?

    Yaani kifua kinaniuma, kilianza kama miti miwili inanichoma kwa muda fulani halafu inaacha! Hospitali wamekuwa wakidai nipige x-ray za kifua nazo zinaonyesha hakuna tatizo! 😥😥😥
  8. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Ndugu zangu naomba ushauri Mimi ni kijana ambaye nina miaka 23 naishi Canada. Kuna kipindi nilikutana na dada fulani FB huyo dada tuliwai kusoma wote shule kabla sijaenda Canada. Sasa tulivyo kutana na huyo mwanamke ilikuwa 2019 tukaanza mahusiano naye tukapendana sana akanipenda sana na mimi...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mdogo wangu: Alioa akiwa na umri wa miaka 23 sasa anamkataa mkewe akidai yeye bado mdogo

    Mdogo wangu umri miaka 23,mwaka jana tu alimuomba mzee na marafiki kumuandalia harusi ili aweze kuaga ukapera. Wazazi na marafiki wakafanya michango na kuandaa harusi kubwa tu na dogo akaoa. Mchumba wake wamesoma naye hadi kidato cha nne shule moja na hivyo wanafahamiana kila kitu. Miezi 6 tu...
  10. JamiiForums Tanzania Tunatoa ujuzi na ushauri mbalimbali kuhusiana na uandishi wa research

    Tunatoa ujuzi na ushauri mbalimbali kuhusiana na uandishi wa research. Ushauri hui utahusiana na: 1.Njia za kuandaa na kutambua "Research Title" 2.Namna ya kuandaa "research proposal" 3.Njia zitakazokusaidia katika kutambua na kuandaa "objectives za research" 4.Njia mbalimbali zinazoweza...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ndege za mkopo na ndege za kununua taslimu, ni zipi zenye kuongoza faida kibiashara? Serikali chukueni ushauri wa wasomi hapa!

    Mimi sio mtalaamu wa mambo ya biashara, Ila nachotaka niombe Kwa wachambuzi na wataalamu wa hizi biashara mtuambie na muisaidie Serikali katika hii aviation business. Kwa mjibu wa bwana Assad, yeye analaumu Sana manunuzi ya kununua ndege kwa cash. Tunaomba wataalamu wa mambo ya biashara hasa...
  12. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyoitoa jana Aprili 11, 2021

    Hotuba ya Mhe. Freeman Mbowe Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena. Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Hayati Magufuli kwa NSSF

    Habari wadau. Katika sera za Hayati Magufuli kuelekea uchaguzi wa oct2020 alitoa ushauri kwa NSSF kutowekeza tena kwenye makongo na kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda. Tathmini ndogo tu iliyofanyika ila sijachapa hii report, jengo la mlimani la blue (PPF tower km sijakosea) liligharimu about...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tuwe waangalifu na ushauri unaotolewa na wachumi wetu kuhusu ATCL baada ya report ya CAG kutoka

    Controller and Auditor General ametoa report yake ya mwaka jana juu ya utendaji wa shirika letu la ndege yaani ATCL. Katika report huyo ameaanisha kuwa kwa mwaka wa fedha uliopita shirika limepata hasara ya karibia shilingi Billoni 60!!! Hiyo ni hasara ya mwaka mmoja tu lakini shirika tangu...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali kuhusu elimu ya awali Tanzania

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano Ninao ushauri mdogo kuhusu elimu yetu ya awali nchini. Kwanza niwapongeze sana TIE kwa miongozo sahihi nayakisasa ya namna ya kumfundisha mtoto, hasa baada ya kuleta mtaala mpya unaojenga UMAHIRI/COMPETENCE BASED CURRICULUM Shida iliyosalia nikwamba...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna gari hizi, suzuki escudo old, Rav4 old na spacio new 1490 cc toeni ushauri

    Toeni ushauri inahitajika moja kati ya hizo hasa ubora/ugumu, utumiajiwa mafuta, kuhimili mikiki yeyote kwa jamii zetu za kiafrica
  17. JamiiForums Tanzania USHAURI: Nina Diploma ya Ualimu. Je, naweza soma Degree?

    Habarini WanaJF, Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Ualimu shule za msingi mwaka 2019...nikiwa na GPA ya 4.0 Naombwa kufahamishwa kama inawezekana kwangu kuweza kusoma Bachelor of Education in Science au Bachelor of Science with Education, Ilhali sikusoma Diploma ya Ualimu wa sekondari. Alama...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa biashara ya Pharmacy

    Habari za muda huu wakubwa. Mimi ni kijana wa kiume ambae nimebahatika kupata sehemu yangu ya urithi toka kwa wazee wangu ambapo nimepata milioni 30. Nilikua naomba wazoefu, watu mnaoifanya hii biashara tusaidiane kwenye mambo kadhaa juu ya hii biashara kama eneo, mbinu za kuongeza mauzo, nk...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo. Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais wangu mpendwa: Chunguza na kushughulikia tatizo moja dogo - ufa wa ukabila na ukanda

    Nakusalimia kwa salamu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hongera sana kwa kazi mama yetu, Mama Samia Suluhu Hassan. Watanzania sasa tumekuelewa vizuri na tuko pamoja na wewe. Mabadiliko uliyoyafanya ndani ya muda mfupi yanaonesha kweli ulikuwa karibu na mtangulizi wako na ulielewa alichokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…