Viongozi wa Afrika wameelezea ukosefu wa usawa katika usambazaji wa chanjo za Covid-19, wakati walipohutubia kikao cha 76 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, mjini New York.
Katika hotuba yake ya kwanza kwa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ukosefu wa...