Kilichotokea nchini Mali na nchi mbalimbali duniani kuhusu viongozi madikteta kuondolewa madarakani kinatoa somo kwa maafisa waandamizi wa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa hawaijui kesho yao basi ni vema kutenda haki na usawa kwa watu wote bila kujali vyama vyao vya siasa kwa kufuata katiba...
Hivi karibuni, Marekani imefanya kila iwezalo kwa kisingizio cha “usalama wa taifa” kuidhoofisha kampuni ya teknolojia ya Huawei, hata kuikashifu kuwa “mkiukaji wa haki za binadamu” na kutangaza kuweka vikwazo vya visa dhidi ya wafanyakazi wa Huawei. Lakini je, nani anayetishia zaidi usalama wa...
JOHN Shibuda, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, amesema Rais John Pombe Magufuli, aliumizwa na sintofahamu iliyojitokeza katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa tarehe 24 Novemba 2019.
Shibuda amesema hayo leo Ijumaa tarehe 17 Julai 2020 wakati akizungumza katika warsha ya wadau...
BAadhi ya wabunge wasitaafu wanatumia kiinua mgongo waliachopata hivi majuzi kurubuni wajumbe na hicyo kuondoa keshima ya chama chetu.
Kila kona rushwa. Hii inaondoa usawa kwa wagombea ubunge mwaka huu. Itakuwa vigumu sana wasio na pesa kupata ubunge.
Tunaimba uongozi wa chama chetu ccm uwe...
Itakuwa ni kichekesho cha mwaka kama mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe atashindwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho.
Mbowe alipaswa kujiuzulu kwa muda uenyekiti ili kupisha mchakato wa kumpata mtu atakayepeperusha bendera ya Chadema kwa nafasi ya Rais katika uchaguzi mkuu.
Kwa hali...
Hii nchi haina usawa. Hii nchi haijapata kiongozi wa kuleta usawa ingalau kwa nusu tu miongoni mwa wananchi....
Tumesikia wimbo huu wa kinafiki kuwa, Rais John Pombe Magufuli ni Rais na kiongozi wa wanyonge, wananchi wa hali ya chini wa nchi hii....
Si kweli, ni uongo mtupu na ni propaganda za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.