usawa

Lawndale is a town in Cleveland County, North Carolina, along the First Broad River. The population was 606 at the 2010 census.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke lakini Mume na Mke hakuna usawa

    Salaam shalom!!! Mtu na asikudanganye, Kuna usawa kati ya Mwanaume na Mwanamke, Lakini hakuna usawa kati ya Mke na Mume. Kabla ya NDOA, mtoto wa kike atakuwa chini ya uangalizi wa familia, Baba akiwa kiongozi mkuu Hadi pale atakapokuwa tayari kuingia katika NDOA na kuwa mke wa mtu Mume...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mene Mene Tekeli na Peresi... Kitanga kinaandika kwenye kuta za utawala wa nchi hii. mbele siyo kuzuri

    Tusidanganywe na lugha zenye hadaa nyingi za wabunge wetu wanaojadili miswada ya sheria za Uchaguzi. Hawana nia njema kwa nchi Hawana maono mema kwa nchi Hawana huruma kwa nchi. Kinachojulikana sasa ni kwamba, Serikali na Chama cha Mapinduzi ni wamoja dhidi ya uhalali, haki na wajibu kwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Papa Francis, Lissu, machampioni halisi wa haki, usawa na uhuru duniani

    Tufike mahali tuvunje ukimya: 1. Kuzitambua jitihada za kupigiwa mfano za watu wengine ni jambo la kistaarabu. 2. Vita vya kupigania haki, usawa, uhuru, demokrasia na maendeleo ni vita vya kudumu. 3. Nani asiyeyapenda au kuyahitaji matano hayo? 4. Manne ya mwanzo ni ya msingi zaidi...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi; ushahidi huu hapa

    Serikali hii ya CCM ina mambo ya ajabu sana. Ni aibu kwa serikali inayojinasibu kuzingatia usawa kufanya uhuni wa kiwango hiki. Sijawahi kuona serikali yenye ubaguzi mkubwa kwa wananchi wake hapa ulimwenguni kama serikali ya CCM. Katika uchaguzi wa wanafunzi watakaojiunga kidato cha kwanza...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo kashapotea kwenye ramani ya vyombo vya habari kwa sababu ya siasa zisizotaka usawa

    Kijana huyu nilidhani atafika mbali lakini kwa sasa naamini kazi anazofanya ni zile za kutegemea wanasiasa walipe. Changamoto ya kazi hizi ni kwamba unafanya kazi kubwa ujira kidogo na wakati mwingine mikopo. Alipokuwa neutral kwenye online TV alipata wafuasi na mafanikio yakaonekana. Soon...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwanaidi: Serikali inaendelea kuwekeza na kutekeleza jitihada zinazolenga kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis amesema Serikali inaendelea kuwekeza na kutekeleza jitihada mbalimbali zinazolenga kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia. Mhe. Mwanaidi ameyasema hayo Oktoba 29, 2023 wakati wa maadhimisho ya...
  7. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania UN WOMEN: Ni muhimu kuwa na sheria na sera zinazosimamia na kuondoa ubaguzi wa kijinsia

    Sheria na sera zinazoendeleza usawa wa kijinsia ni msingi wa mabadiliko katika jamii. Nchi zinazoongoza kwa kuwa na sheria zinazolinda haki za wanawake zinapunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya unyanyasaji wa kijinsia. Kwa mfano, nchi zilizo na sheria dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia katika ndoa...
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania UN WOMEN: Bado kuna pengo kubwa la Usawa wa Kijinsia katika nafasi za uongozi

    Katika ulimwengu wa leo, mjadala kuhusu usawa wa kijinsia umekuwa na umuhimu mkubwa zaidi kuliko wakati wowote ule. Wanawake wameonesha uwezo mkubwa katika nyanja zote za maisha, na kwa hivyo, kuna haja kubwa ya kuwapa nafasi sawa katika uongozi wa kisiasa, serikali, na biashara. Ni muhimu...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Dar es Salaam inayothamini usawa wa kijinsia inatangaza ajira kwa wanawake

    Kampuni yenye ofisi zake jijini Dar es Salaam inayothamini usawa wa kijinsia inatafuta wanawake 10 wa kushusha lori 4 za saruji. Yaani kwa siku ni kushusha saruji kwenye malori manne. Hii ajira ni ya kudumu. Changamkieni fursa kina dada.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mwambie Kijana Wako asichanganye Gender Equality (usawa wa kijinsia) kwenye Gender Roles (majukumu ya kijinsia) Katika Utamaduni Usioendana

    Mwambie Kijana Wako Asichanganye Gender Equality (Usawa wa kijinsia) Kwenye Gender Roles (majukumu ya kijinsia) ktk Utamaduni Usioendana.. 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms. 0743781910 Wakumbushe vijana wako kuwa definition ya neno "gender" imebeba neno "social and cultural" likiwa na maana...
  11. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kuimarisha usawa wa kijinsia

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUIMARISHA USAWA WA KIJINSIA Utangulizi Usawa wa kijinsia ni moja ya malengo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kuimarisha taifa kwa ujumla. Ili kufanikisha lengo hili, uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu yanayohitajika...
  12. Francis001

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kupambana na Ufisadi: Kichocheo cha Mabadiliko

    Utawala bora ni lengo linalotamaniwa na kila jamii inayotamani maendeleo na ustawi. Ni msingi wa uongozi unaojali haki, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika mchakato wa maamuzi. Kuleta mabadiliko katika nyanja zote za utawala bora ni changamoto kubwa, lakini pia ni fursa adhimu kwa...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Rais Samia ya msaada wa kisheria kuleta usawa nchini

    Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Sarah Mwaipopo ameiwakilisha Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Mama Samia ya Msaada wa Kisheria iliyozinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango mjini Songea yenye kauli Mbiu isemayo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mizani ya usawa

    Takwimu nyingi sana zimefanyika kuonesha idadi ya wasomi wenye sifa za kupata ajira zimeongezeka kwa kasi kubwa sana mwaka hadi mwaka na hii imepelekea awsomi kuwa wengi sana mitaani huku idadi ya wanaopata ajira za kudumu au za muda mfupi katika serikali kuwa ni chache kulingana na idadi ya...
  15. daniel_kasongi_jr

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ubunifu kwa usawa

    Sera ya Taifa ya TEHAMA ya Tanzania (2016) inasasisha mkakati wa serikali wa 2003. Inalenga kuimarisha uongozi na kukuza mtaji wa watu katika nyanja hii, huku ikipanua utoaji wa mtandao wa kutegemewa. Kuanzia mwanzoni mwa 2021, kuna mipango ya kuanzisha shirika la uidhinishaji kwa wataalamu wa...
  16. Anonymous77

    JamiiForums Tanzania SoC03 Usawa wa Jinsia, Haki za Wanawake, Watoto, Vijana, na Wazee Tanzania

    Tanzania ni nchi yenye idadi kubwa ya watu, takriban watu milioni 57. Kati ya idadi hiyo, wanawake wanaunda asilimia 51. Hata hivyo, wanawake nchini Tanzania bado wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwemo: Ukosefu wa usawa wa kijinsia katika elimu, ajira, na siasa. Ukatili wa kijinsia, ikiwa...
  17. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Haki na Uhuru: Changamoto za Kupigania Usawa katika Jamii

    HAKI NA UHURU: CHANGAMOTO ZA KUPIGANIA USAWA KATIKA JAMII Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Katika jamii yoyote ile, haki na uhuru ni mambo muhimu sana katika maendeleo yake. Hata hivyo, kufikia hali hiyo si rahisi kama inavyoonekana. Kumekuwa na changamoto nyingi katika kupigania haki na...
  18. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Usawa Wa Jinsia, Jamii Yenye Nguvu

    USAWA WA JINSIA, JAMII YENYE NGUVU Imeandikwa na: Mwl.RCT HISTORIA YA USAWA WA JINSIA Usawa wa jinsia ni suala ambalo limekuwa likijadiliwa kwa muda mrefu katika historia ya binadamu. Harakati za usawa wa jinsia zilianza kupata umaarufu duniani kote katika karne ya 19 na 20, wakati wanawake...
  19. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mikataba Yenye Usawa: Jinsi ya Kulinda Maslahi ya Nchi

    MIKATABA YENYE USAWA: JINSI YA KULINDA MASLAHI YA NCHI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI: Mikataba ni sehemu muhimu ya uhusiano kati ya nchi na nchi, au kati ya nchi na makampuni. Mikataba inaweza kuwa na athari kubwa kwa uchumi, maendeleo na ustawi wa nchi. Kwa hivyo, ni muhimu kuhakikisha...
  20. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna usawa Ujenzi wa Majengo ya Shule, Kati ya Tanganyika na Zanzibar?

    Majuzi kati hapo nilifika kisiwani Unguja nilishangaa sana kupita huku na huko katika pilika pilika za maisha. MADA; Ukweli Zanzibar pamoja na sensa iliyopita kuonyesha kuwa na watu 1,8mil ambao kwa muktadha wa wingi wa watu na waliopo Tanganyika ni chini ya mkoa wa Manyara yenye watu 1.9mil...
Back
Top Bottom