usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Armenia - Azerbaijan Military and Political Turmoil: Wizara ya Mambo ya Nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio katika nchi hizo?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Wizara ya mambo ya nje inatoa tamko gani juu ya usalama wa watanzania waishio Armenia pamoja na Azerbaijan? Kuna mapigano makubwa ya kijeshi yanaendelea kwa siku ya 3 mfululizo leo baina ya nchi hizo mbili...
  2. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hiki ndio kipindi cha kufanya shughuli za siasa. Usilaumu Vyombo vya Usalama kwa kukuwekea vizuizi unapotaka kufanya haya kwenye muda ambao sio

    Mwezi mmoja baada ya muda wa kampeni kuanza rasmi Tanzania na uki wauliza wengi, wata kwambia "Mambo bado, Bado asubuhi, Kujaza uwanja mzima haimaanishi kwamba uta shinda". Uki tizama kwa haraka haraka, na uki tumia kigezo cha watu kufurika kwenye mikutano unaweza kusema kwamba Mhe John Joseph...
  3. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na Mgombea Urais wa Tanzania Tundu Lissu, wahakikishieni watumishi wa Umma usalama wa ajira zao

    Wana JF; 1. Jana nilitupia uzi humu nikichambua mikakati ya CCM ya kujipatia ushindi haramu ktk uchaguzi mkuu huu nje ya ballot box kwa kuwatumia watumishi wa umma; walimu, manesi, madaktari wetu, polisi, TISS, DEDs, DCs na maRCs. 2. Mpaka sasa mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli anaamini...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Askari wa Usalama Barabarani wanaichafua Serikali kwa uonevu wanaofanya kwa wamiliki wa magari

    Trafiki wamekuwa kero hasa kipindi hiki cha Uchaguzi ambacho viongozi wote wa serikali wamekimbilia kwenye majukwaa ya siasa. Wamefanya mradi kwa daladala, kila ukipita umwachie 1000 au 2000 bila hivyo anakuandikia elfu 30000. Zipo video na picha zinazoonyesha namna wanavyokusanya mapato...
  5. Mr faru john

    JamiiForums Tanzania Usalama ni nini? kuna aina ngapi za usalama

    Usalama ni usalama,Hali ya utulivu katika mazingira ya mzukukayo mwanadamu Kwahiyo mtu kuielewa taasisi hii yenye dhamana ya kuhakikisha hàli ya utulivu ndani ya mazingira yetu si kazi rahisi Kuna Aina ngapi za usalama? Mtu anaweza fikiria Kwa haraka haraka na kuwaza Aina nyingi za...
  6. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu yangu; Mtanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama wa taifa usifurahie wala kuchekelea. Hiyo sio sifa njema hata kidogo. Unaweza ukadhurika au kuuwawa kwa bahati mbaya (Mistaken Identity); Huko mtaani mnapoishi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania CCM inaanikwa Zanzibar -Wakuu wa Jeshi, polisi na vyombo vingine vya usalama kuweni nayo makini Itawazamisha

    Kwa sasa sio siri hakuna mpango wowote wa CCM kwa upande wa Zanzibar usio julikana kuhusiana na mipango ya kuchezea daftari la wapiga kura. Mitandanoni kumejaa ushahidi uliowazi na wa kuaminika kabisa kuwa waajiriwa wa vyombo husika hapo juu wanapangwa kutumiwa ili kuiletea ushindi CCM,mambo...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
  9. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Kwanini wagombea wa CCM hulindwa na Usalama wa taifa wakati wa kampeni

    Wagombea wa CCM wa nafasi ya urais huwa wanalindwa na Usalama wa taifa.Nazungumzia mgombea mpya sio yule ambaye tayari ni raisi anaegombea kwa awamu ya pili.Mfano jiwe kwenye kampeni 2015 alikuwa tayari ana kampani ya Usalama wa taifa.Je CCM huwa wanajua kwamba Mgombea wao ni lazima atashinda...
  10. Rahma Salum

    JamiiForums Tanzania Mshindi wa tuzo ya amani Denis Mukwege atishiwa kuuawa, Umoja wa Mataifa wamuhakikishia usalama

    Umoja wa Mataifa umeagiza kikosi maalumu kwa ajili ya kuhakikisha usalama kwa mshindi wa tuzo ya amani Denis Mukwege baada ya kupokea vitisho kutokana hatua alizochukua kudai haki kwa uhalifu unao tendeka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Jitihada za kutokomeza unyanyasaji wa kijinsia kama...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya utapeli wa ardhi/mashamba ya miti wilayani Mufindi. Wenye mashamba yao watakiwa kuhakikisha usalama

  12. D

    JamiiForums Tanzania Usalama tafteni utaratibu mzuri ili msitukwaze watumia barabara wengine tunaosafiri kwa kutugandisha kusubiri msafara wa kampeni

    JamiiForums tusaidieni kufikisha Ujumbe! Wagombea wa siasa hususani Mgombea wetu wa CCM, jaribuni kumuomba asitugandishe mda mrefu sana watumiaji wengine wa barabara ili kupisha misafara yake. Yamkini hata yeye hajui Kama tunakalishwa mda mrefu, Watu wa usalama (sweepas) hii ni kero kubwa...
  13. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Somo zuri kwa vyombo vya Usalama na Uchaguzi Mkuu kupitia wimbo "Innocent" wa Don Nalimison

    NOTES TO: POLICE FORCE,FBI,CIA,INTERPOL,TISS and ALL GOVERNMENTS SYSTEM all over the World. "INNOCENT" special Video song to Police Officers, FBI,CIA,TISS and Governments Systems. Watch this animated song to change Police forces from Don Nalimison
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dondoo za Usalama unapotumia Mitandao ya Kijamii

    Ndugu mwanaJamiiForums kila unachoweka mtandaoni ni uamuzi na uhuru wako lakini maamuzi ya watu wengine wafanye nini taarifa uliyoiweka hilo haliko kwenye mikono na uamuzi wako Chukua muda wako na ujifunze kuhusu dondoo za usalama uwapo kwenye mitandao ya kijamii. Pitia na urekebishe mipangilio...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Wakuu wote wa Mikoa wakabidhi mchango wa msikiti wa Chamwino

    Vyombo vya ulinzi na usalama vikiwakilishwa na mkuu wa Majeshi General Mabeyo na wakuu wa mikoa wakiwakilishwa na RC Ndikilo wa Pwani wamekabidhi mchango wao wa ujenzi wa msikiti kwa shehe wa wilaya ya Chamwino shehe Matitu. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wamechangia jumla ya sh 30...
  16. Mtukudzi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dhana ya kushinda Uchaguzi bila Kupingwa ni hatari kwa Usalama wetu

    Kushinda uchaguzi bila kuchaguliwa kwa kisingizio cha kupita bila kupingwa ni jipu ambalo yafaa litumbuliwe haraka ili kuleta usawa na kushamirisha amani ya Nchi yetu. Haiingii akilini kuwa mtu anaweza kutumia mbinu wazi au fiche kudhibiti washindani wenzake na kisha aonekane kuwa ni chaguo la...
  17. Titicomb

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali Amkeni: Taarifa lukuki za kutekwa wagombea wa chama kimoja tu cha siasa zisizo na uthibitisho ni hatari kwa usalama wa taifa

    Kuna taarifa mpya ya kutekwa mgombea wa CHADEMA kwa ngazi ya UDIWANI na UBUNGE kila baada ya dakika chache ndani ya siku 5 za mwisho kuelekea siku ya leo tarehe 25/08/2020 ya kupitishwa majina ya wagombea na NEC. Nyingi ya hizi taarifa hazina uthibitisho kiasi kwamba zinaleta hofu kuna watu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze mambo muhimu ya kuzingatia katika usalama wa barua pepe (Email)

    Maana ya Usalama wa Barua Pepe (Email Security) Usalama wa Barua pepe ni hatua zote muhimu ambazo zinatumia kulinda mawasiliano na taarifa zinazokuja au kutumwa kutoka kwa Mtu mmoja hadi mwingine. Ulinzi huu unahakikisha hakuna Mtu asiyemlengwa au kuhusika / mdukuzi anayepata fursa au nafasi ya...
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Bodaboda kuingia jijini, hao vijana wamevamia sehemu ya Ferry pale Magogoni karibu na Ikulu

    Baada ya Makonda "mtoto wa Baba" kutumia mtaji wa kisiaasa kuruhusu Bodaboda kuingia jijini, hao vijana wamevamia sehemu ya Ferry pale Magogoni karibu na Ikulu. Bodaboda hao, hupita njia ya mwendokasi lakini service road ambayo indact ni ya waenda kwa miguu. Bodaboda , wamekuwa wakikwapua...
  20. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa vyema Usalama wa Taifa wenye umri wa 20-35,wakachomekwa kama wanafunzi wa primary na sec kuzuia viboko na uchomaji wa shule...

    Kwakuwa Usalama wa Taifa ni kama kinyonga wanafiti popote,basi wangevaa uniform za shule ya msingi na sekondari na kuingia madarasani kama wanafunzi ilimradi tu wawe wanajulikana na walimu ili wasichapwe kuzuia matukio ya walimu wanaochapa ovyo kwa kuripoti mapema kwa maafisa elimu na kukaa...
Back
Top Bottom