Bodaboda kuingia jijini, hao vijana wamevamia sehemu ya Ferry pale Magogoni karibu na Ikulu

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
8,928
2,000
Baada ya Makonda "mtoto wa Baba" kutumia mtaji wa kisiaasa kuruhusu Bodaboda kuingia jijini, hao vijana wamevamia sehemu ya Ferry pale Magogoni karibu na Ikulu.

Bodaboda hao, hupita njia ya mwendokasi lakini service road ambayo indact ni ya waenda kwa miguu.

Bodaboda , wamekuwa wakikwapua fedhana pochi za kinamama, pia wamekuwa waki-waffanyia ukatili wa kingono wanafunzi wa IFM, CBE, DIT, MAGOGONI-UHAZILI, MZUMBE na uhasibu ambao wanakaa hosteli kwa malipo ya kubebwa bure.

Bodaboda hawa, wamekuwa kero kwa jamii, na wamekuwa ndio wabakaji, vitendo hivi vinafanyika pembezoni mwa bahari, jirani na kiytuo cha polisi "marine" opposite na Mahakama kuu ya Tanzania.

Bodaboda, wao wamekuwa kero hasa kwa waenda miguu, unakuta mtu anataka kuvuka barabara , yeye anakuwa kama anaenda haendi, kumbe anasaka abiria, ukivuka unakuta kishakugonga.

Wamekuwa na nauli zao katikakati ya jiji ni elfu tano(5000) na nje ya jiji elfu kumi, hawa wanapata fedha nyingi ila hawalipi kodi huku wenzao wa TAXI hawapati kitu na wanalipa kodi.

Serikali na mapungufu yake mengi, naomba ianze kuangalia hili jambo, tutakuwa na wasomi hovyo kabisa walio tolewa bikra na bodaboda wa ferry.

Wazazi wa watoto toka vyuo tajwa, jueni watoto wenu wanatobolewa na hao bodaboda.

BAJAJI:
Hii tenda walipewa walemavu tu, ili wache kuomba na wafanye kazi,
Hawa wapo wa aina mbili, wapo wenye bajaji ya watu 3 na watu 8 .
Ya watu 8 nauli ni 500 toka mnazi mmoja mpaka Ferry.
ya watu 4 ni 1000 mnazi-Ferry.
Hawa watu wamekuwa wakibeba abiria mara mbili ya uwezo wa chombo na wamekuwa chanzo cha ajali pale mnazi mmoja na pia wamekuwa kero pale Fery hawa kwa watumiaji wengine wa barabara.
Hakuna chombo kinachosiamamia upangaji wa nauli zao, kila muda na kulingana na idadi ya abiria wanajiamulia watakavyo.
SUMATRA, JESHI LA USALAMA BARABARANI, nendeni mkakague, je wana leseni, fire extingisher, bima, wamevaa viatu ,ec, lakini pia tunaomba bodaboda wote na bajaji wavae sare na namba zao za vituo ziandikwe mgongon
 

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,651
2,000
Ulikuwa una mada nzuri ila ndani umejaza chuki na ujinga mtupu.

Inaonekana kuna bodaboda amekulambia demu wako ndio maana unakazana kuandika ujinga eti bikra za wanachuo zinatolewa na bodaboda, umeambiwa wanaingiza pikipiki mule?
 

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
8,928
2,000
Mwanafunzi wa chuo (lazima yuko above 18) aliyeamua kutoa uchi ili apande bodaboda bure ndio unasema anafanyiwa ukatili wa kingono??


Wabunge lazma wawe above 18, kutoa uchi wapate viti maalum mbona PCCB inawahoji akina Mbowe?
tena kwa tuhuma za kuzusha ili kuwachafua?

Yule mwalimu wa UDOM ashtakiwa kwa kumkicha mwanafunzi wa chuo tena uhujumu uchumu, huyo mwanafunzi si yupo above 18?
 

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
53,949
2,000
wabunge lazma wawe above 18, kutoa uchi wapate viti maalum mbona PCCB inawahoji akina Mbowe?
tena kwa tuhuma za kuzusha ili kuwachafua?

Yule mwalimu wa UDOM ashtakiwa kwa kumkicha mwanafunzi wa chuo tena uhujumu uchumu, huyo mwanafunzi si yupo above 18?
Hapo tunasema ni matumizi mabaya ya ofisi, sehemu ambayo ilitakiwa utoe bure wewe unataka ulipwe. Hao akina Mbowe hata kama wangepewa pesa wangehojiwa. Bodaboda anafanya biashara na anapokea malipo kulingana na uwezo wa mteja wake, badala ya pesa hao watoto wenu wanaamua kutoa papuchi, osa la bodaboda liko wapi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom