Maana ya Usalama wa Barua Pepe (Email Security)
Usalama wa Barua pepe ni hatua zote muhimu ambazo zinatumia kulinda mawasiliano na taarifa zinazokuja au kutumwa kutoka kwa Mtu mmoja hadi mwingine. Ulinzi huu unahakikisha hakuna Mtu asiyemlengwa au kuhusika / mdukuzi anayepata fursa au nafasi ya...
Baada ya Makonda "mtoto wa Baba" kutumia mtaji wa kisiaasa kuruhusu Bodaboda kuingia jijini, hao vijana wamevamia sehemu ya Ferry pale Magogoni karibu na Ikulu.
Bodaboda hao, hupita njia ya mwendokasi lakini service road ambayo indact ni ya waenda kwa miguu.
Bodaboda , wamekuwa wakikwapua...
Kwakuwa Usalama wa Taifa ni kama kinyonga wanafiti popote,basi wangevaa uniform za shule ya msingi na sekondari na kuingia madarasani kama wanafunzi ilimradi tu wawe wanajulikana na walimu ili wasichapwe kuzuia matukio ya walimu wanaochapa ovyo kwa kuripoti mapema kwa maafisa elimu na kukaa...
Soma pia>>> Do African political activists actually fight for democratic change or they simply keep alive a well-known old saying that "It's Our Turn to Eat"?
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God...
The UNRSF and GRSF Announce Partnership to Improve Road Safety Delivery in World Bank Funded Projects in Tanzania
The Global Road Safety Facility (GRSF), hosted by the World Bank, and the United Nations Road Safety Fund (UNRSF) will jointly support a comprehensive evaluation of the first global...
Leo nilikuwa Mwanza kwa shughuli binafsi. Bahati nzuri nikakutana na msafara wa Tundu Lissu maeneo ya Nyegezi ukitokea Shinyanga.
Kwa ambao hawaielewi Mwanza, ni kuwa Nyegezi ni eneo lililo nje kidogo takribani 20km kusini magharibi kutoka katikati ya jiji la Mwanza.
Hapa Nyegezi ndipo...
Nimefurahi kusoma taarifa nyingi humu kuhusu "convoy" ya Tundu Lissu inavyoendelea katika mikoa 10 kuzifuata saini za wadhamini ili wampe uhalali wa kuteuliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA....
Safari ilianzia Dodoma mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kuomba uteuzi wa ugombea Urais wa...
Huyu dogo ni Graduate wa Chuo Kikuu. Ndoto zake siku zote imekuwa ni kufanya kazi Usalama wa TAIFA.
Jana walikuwa kwenye msiba mtaani Mimi nilikuwa nje ya mji. Dogo anasema mahali walipo kuwa wamekaa Kuna Jamaa mmoja aliniponda Sana Mimi. Kwamba naringa Sana. Najisikia Sana kwa sababu nna...
Msemaji wa jeshi la polisi nchini amemtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni na kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje; kama si kuonyesha nchi yetu hakuna amani.
Source East Africa Radio!
Maendeleo hayana vyama!
1054 31ST ST. NW, STE 110 WASHINGTON, D.C. 20007
+1 202 301 8811
OPEN LETTER
TUNDU LISSU’S RETURN TO TANZANIA:
GOVERNMENT CONDUCT TO BE CLOSELY MONITORED AND
DOCUMENTED; POTENTIAL ACTS OF HARASSMENT,
INTERFERENCE, OR VIOLENCE WILL RESULT IN CONSEQUENCES...
Tundu Lissu ameripotiwa kuwa ameaga rasmi huko Ubelgiji na ataunganisha ndege jijini Dubai kabla ya kutua JNIA.
Maofisa wa Uhamiaji pamoja na wale wa Usalama (wapya) waliopo JNIA wapo wanaendelea na shughuli zao.
Kuna mawili matatu hivi kutoka kwa maofisa Uhamiaji na Usalama.
1. Mgeni huyu...
Kamati ya haki za binadamu (IPU) imezitaka mamlaka husika nchini Tanzania kuhakikisha usalama wa kiongozi huyo pindi atakaporejea nchini. Aidha, kamati hiyo inadai kuwa tangu Tundu Lissu atangaze nia ya kurejea nchini hivi karibuni imekuwa ikilifuatilia suala hilo kwa ukaribu.
Mh. Tundu Lissu...
Lissu alikuwa analalamika kuna gari la usalama wa taifa linamfuata. Hizi ni pesa za wananchi zilikuwa zinachomwa bila sababu ya msingi kwa kusaidia watu binafsi kisiasa.
Huu ni zaidi ya ufisadi! Kama kuna tatizo kwa mtu yeyeote hasa kisiasa kuna mahakama zipo na sio kuajiri mtu ambaye...
Nawaza nje ya Box naipenda Tanzania na ipenda amani yetu na penda taifa langu na viongoz wake.
Kipenda kimepulizwa na tume ya uchaguzi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi amesha sema sasa ruhusa watu kujinadi.
Ila nawaza ikiwa idara zetu zimejiandaaje kwa uchaguz wa mwaka huu ambao utakuwa tofauti...
Ndugu wa heshimiwa wana usalama najuwa mpo katika mtihani mzito sana jinsi ya mapokez ya Lissu na kuepusha lawama kwa serikali juu ya huyu jamaa.
Mimi nataka kuwaambia Lissu anajuwa kile anakifanya naana akili sana haji kwa aman anakuja kwa shari ila nilazima kwa mara ya kwanza katika historia...
Yaani hii tabia ya vijana hasa wenye umri mdogo walinzi wa viongozi ya kutishia kuwapiga watu na risasi si ya haki kabisa.
Mchana huu hapa maeneo ya Ihumwa Dodoma karibu na makazi ya mkubwa mmoja mstaafu bwana mdogo mmoja akiwa na ndani ya v8 nyeusi yenye vioo vya giza amemtishia msukuma toroli...
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni takriban zaidi ya mwaka moja tangu ndugu yetu mtanzania mwenzetu kusema anataka kurejea nyumbani.
Lakini mhusika Mara nyingi kasema anahitaji ahakikishiwe ulinzi pindi atakapokanyaga ardhi yetu hi ambayo Kuna wahalifu...
Yah! Barabara ya External-Maji Chumvi-Kwa Mkuwa-Korogwe
Kichwa cha habari cha husika. Kwa masikitiko makubwa sana, naleta kwenu ombi la kuweka vibao vya spidi ya vyimbo vya moto.
Barabara hii imekuwa na Ajali nyingi zinazotokana hasa na spidi, ingawa kutoka Korogwe-kwa Mkuwa- Maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.