usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mahindi ya Tanzania ni salama

    MAHINDI YA TANZANIA NI SALAMA. Tanzania na Kenya Zimalize Mzozo Kidiplomasia - Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe ameitaka Serikali ya Tanzania kukaa mezani na Serikali ya Kenya kumaliza mzozo wa Soko la Mahindi ya Tanzania nchini Kenya. Ndugu Zitto amesema...
  2. Shark

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za kutoka Kenya zina usalama kweli? Kwa kiwango gani?

    Wakuu Kwema, Nimewaza Tanzania tunatumia Bidhaa nyingi sana kutoka Kenya. Za matumizi ya ndani ya Mwili wa Binadamu, mpaka matumizi ya nje ya Mwili wa Binadamu na matumizi mengine. Kuanzia Dawa za Meno, Mafuta ya Kupaka, Dawa za Viatu (KIWI), etc. Nawaza tu hivi vitu vina usalama gani kwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Watoto kwenye vyombo vya usafiri

    Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO) Utumiaji wa viti maalumu vya watoto katika vyombo vya usafiri unaokoa maisha ya mtoto pindi ajali inapotokea kwa asilimia 75% Viti hivi vina nyenzo muhimu kwa ajili ya kulinda Usalama wa Mtoto anapokuwa kwenye gari kwasababu viti kawaida vya magari...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru aukwaa uenyekiti wa Kamati ya Usalama Afrika, hii ni mara tu baada ya kuchukua usukani EAC

    Ikumbukwe pia Kenya imepata uanachama kwenye kamati ya usalama ya Umoja wa Mataifa, ndio maana imebidi kupigiwa simu na rais wa Marekani bwana Biden ili wajadili udhabiti wa Afrika. President Uhuru Kenyatta signs the Finance Bill 2018 at State House, Nairobi. PSCU President Uhuru Kenyatta has...
  5. Superfly

    JamiiForums Tanzania Je, Unaiamini mitandao ya SIMU au taasisi za kutunza pesa kama vile BANK kwa usalama wa pesa zako?

    Nilikuwa nafanya muamala hapa kwa njia ya M-PESA lakini naambiwa "Huduma hii haipatikani kwa sasa" na nipo kwenye situation ambayo bila huu muamala mambo yanakwama. Na hii si mara ya kwanza hali kama hii kutokea. Ikabidi ni-pause kidogo kufikiria plan B nifanyaje, sasa wazo likanijia, "Hivi...
  6. KISHINDO

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu. Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia. Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo. Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Je, niwakati muafaka Marais kupewa elimu ya mambo ya usalama kiulazima?

    Nimekuwa nikifuwatilia kwa ukaribu sana matamko ya Marais na ufuwatiliaji wa mambo nakuja na hii mada kuuliza kama taifa kwanini isitungwe sheria itakayo mlazim Rais akiteuliwa lazima apate ilimu ya mambo yakiusalama ili imsaidie ktk kung'amua mambo. Unajuwa tuache masihara yapo matamko Rais...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa ulinzi na usalama mkoa wa Mbeya unatia mashaka; Matukio makubwa yaliyotokea Mbeya yanaashilia askari hawasimamiwi vema

    Leo naomba tuimulike mbeya. Mkoa wa Chalamila na watu wake. Inakuwaje matukio makubwa yenye misingi ya haki yanatukia mbeya? Mtakumbuka Kuna skendo ya muwekezaji wa mifugo hivi majuzi kajinyonga kutokana na mifugo yake zaidi 50 kukamatwa! Ukitafakari kwa haraka haraka unaweza ona ni tukio la...
  9. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Je, huwa unafikiria kuhusu mifumo ya usalama kwenye gari kabla ya kununua gari?

    Kuna mambo mawili makubwa ambayo yanaamua upate madhara kiasi gani pindi unapopata ajali ya gari. 1. Speed Hili ndio watu wengi wanalifahamu. Kikawaida unapoendesha gari, uwezekano wa kupata majeraha makubwa au kifo huongezeka mara dufu unapovuka 70Km/h. Sitajikita sana katika kueleza hili...
  10. Gama

    JamiiForums Tanzania Usalama wa dunia na usalama wa USA ukoje baada ya Trump kuondoka ikulu na nuclear football?

    Trump amegoma kushiriki hafla ya kumuapisha mfuasi wake. Hafla hiyo, pamoja na Mambo mengi, anatakiwa kukabidhi nuclear football kwa Rais mpya. State imeridhia aondoke nayo kwakuwa itakuwa de activated. Najiuliza; Hivi nchi nyingine hawawezi kuiba hiyo tech kwa kutumia diactivated device, vipi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe mtandao wa Twitter unaweza kuhatarisha usalama endapo utatumika vibaya, ndio maana huwa unafungwa!

    Hapa Tanzania Huduma ya twitter haipatikani kwa uhakika hasa baada ya uchaguzi, inawezekana ni kwa sababu za kiusalama. Rais Uhuru Kenyatta alifunga akaunti yake ya twitter kwa madai kuwa mambo yaliyojaa huko ni kejeli na kuvunjiana heshima na yeye hana muda na mambo kama hayo. Nchini Marekani...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Zara Kay akabiliwa na mashtaka ya kuwa na uraia pacha nchini Tanzania. Hati yake ya kusafiria yachukuliwa na Vyombo vya Usalama

    Mwanamke wa Australia amekamatwa na kushtakiwa nchini Tanzania muda mfupi baada ya kukosoa jinsi Rais wa Tanzania anavyoshughulikia janga la COVID-19 katika chapisho la mitandao ya kijamii. Zara Kay, raia wa Australia ambaye alizaliwa nchini Tanzania, aliambiwa afike kituo cha polisi katika...
  13. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Faida hasara na unyanyasaji raia wa kitochi cha usalama barabarani

    Sheria ya usalama barabarani licha ya lengo lake kutakiwa kusababisha usalama wa usafiri barabarani imekua ikitumika vibaya na wasimamizi wake wote kuwapatia ulaji. Ndivyo ilivyo pia kwa uanzishaji wa tochi au kamera za kudhibiti mwendo barabarani. Wakati raia wakitarajia kupungua ajali askari...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Elimu ya Uvumilivu hasa wa Kimapenzi (Kimahusiano) kwa Majeshi ya Ulinzi na Usalama iwe ni lazima

    Jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, linamshikilia Askari Polisi Keneth Mkwela, kwa kosa la kumjeruhi mwanaume mwenzake kwa kitu chenye ncha kali anayejulikana kwa jina la Andrew Milanzi, baada ya kumfumania akiwa na mwenza wake kwenye nyumba ya kulala wageni. Kutoka: Habari Star TV Tanzania
  15. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Doria usiku, walinda amani na usalama au wahalifu?

    Ni saa 5 na nusu usiku jana natoka kwenye Restaurant moja Masaki na rafiki yangu Muhindi, nampeleka Upanga mini nirudi nyumbani... Mtaa tuliokiwa ni very busy area na magar yamepaki nje, mbele yangu naona gari ya Polisi.. PT Noah, imenikaribia naona anapunguza mwendo, nikajua nimeblock njia...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ukiona au kuhisi Idara nyeti ya Usalama unapambana na watu ndani basi anza kulia

    Leo nitaongea Jambo moja la ajabu kidogo. Nahili Jambo naliongea sio Kwa Nia mbaya Ila Kuwa fungua macho nakuitahadharisha serikali ikiwa kuna ukweli basi wajuwe kule tunaenda watatuumiza na watafanya watanzania wasifurahie utanzania wao na Taifa Lao. Mbinu za kiusalama ambazo naziona Kwa sasa...
  17. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Kwa Kamanda wa Polisi (RPC) - Tabora: Hali ya ulinzi na Usalama mali na raia manispaa ya Tabora ni mbaya!

    Sielewi polisi wa mkoa wa Tabora na hususani Manispaa ya Tabora chini ya RPC wenu mnakwama wapi. Tabora manispaa ya hatari ya miaka ya 1990s na kidogo 2000s iliyokuwa imejaa uhalifu na ujambazi ni kama inarudi taratibu. Miaka hiyo majambazi hawakuwa na urafiki na taa za barabarani. Kila...
  18. Mystery

    JamiiForums Tanzania Serikali isiishie tu kukanusha madai ya wapinzani kuwa maisha yao yapo hatarini, bali iwahakikishie usalama wao

    Kumekuwa na madai mengi ya wapinzani kuwa maisha yao yapo hatarini kwa kuwa wanatishiwa maisha na "watu wasiojulikana" Imefikia hatua ya viongozi wetu wa upinzani, hususani wa Chadema, kuikimbia nchi hii na kwenda kutafuta hifadhi ya kisiasa nje ya nchi. Miongoni ya viongozi waliopata Hifadhi...
  19. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Mashamba ya Mkonge Katika Manispaa ya Morogoro Usalama Umezingatiwa?

    Wanabodi, Hili bandiko la ulizo kuhusu usalama wa maisha ya wakazi wa manispaa ya Morogoro kwa kuwepo mashamba makubwa ya mkonge mali ya magereza huku idadi ya wakazi wake kuzidi kuongezeka na mahitaji ya ardhi kuwa makubwa. Eneo kuanzia Mkambarani hadi Kingolwira kuna mashamaba makubwa kando...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa katika suala la Utawala Bora na Usalama

    RIPOTI ya kwanza ya mwaka 2019 ya Mpango wa Afrika wa Kujitathmini Kiutawala bora APRM umebaini Tanzania kufanya vizuri kwenye suala la ulinzi na usalama mambo ambayo yametajwa na ripoti hiyo kuwa yamekuwepo tangu kupata uhuru. Ripoti hiyo imeipongeza Tanzania katika kusimamia misingi ya haki...
Back
Top Bottom