usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mataifa yaliyojianika hovyoo bila usalama kwenye mitandao

    Hii ni orodha ya mataifa yalivyojiandaa kiusalama kwenye masuala ya mitandao, sasa kuna baadhi ambayo yamekaa hovyo yaani wataalam huko wamelala usingizi kwamba udukuaji huko unaweza kufanyika kizembe tu bila kutumia nguvu nyingi, yamejianika na kuachia kila kitu, mataifa yenyewe haya hapa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Tanzania tuliipigia kura Kenya Baraza la Usalama UN. Wametushukuru, nasi tumewaambia hapana ule ni wajibu wetu kama ndugu!

    Prof Kabudi amesema Tanzania iliipigia kampeni na hatimaye kura ndugu zetu Kenya kuwa mjumbe katika baraza la usalama la UN. Kabudi amewataka watanzania kupuuza uzushi wa wapinzani kwamba hatukuiunga m!ono Kenya. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  3. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Boat GPS Tracker iwe suluhu ya uporaji wa injini za boti na usalama wa wavuvi

    Wavuvi na watumiaji wengi wa boti zenye injini wamekuwa wakipata nyakati ngumu za kuporwa injini zao na wengine kujeruhiwa Kesi nyingi za kuibiwa injini za boti ni katika ziwa Victoria, ambapo wavuvi huvamiwa na kuporwa injini za boti. Ni boti chache zenye marine GPS kwa ajili ya uongozaji na...
  4. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Je, Kenya italeta manufaa gani kwa Afrika baada ya kujipatia kiti katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa?

    Kenya imepata kiti muhimu cha uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya kuishinda Djibouti katika awamu ya pili ya kupiga kura Alhamisi. Hii inamaanisha kuwa kuanzia Januari 2021, Kenya itarejesha uwepo wake utakaodumu kwa miaka miwili katika asasi hiyo ya...
  5. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Askari usalama barabarani (Traffic Police) ni halali kupokea rushwa?

    Kwanza nichukue pongezi kuubwa kwa Mheshimiwa Brigedia John Mbungo kuteuliwa kuwa mkuu wa Takukuru baada ya kukaimu nafasi hiyo kwa muda mrefu. Lakini pia kwa kuonyesha kazi nzuri. Pamoja na mafanikio hayo bado rushwa ni tatizo kuubwa ndani ya jeshi la Polisi hasa idara ya usalama barabarani...
  6. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania John Bolton, Mshauri wa zamani wa Usalama wa Taifa nchini Marekani ashtakiwa

    Habari! Serikali ya Marekani chini ya rais Donald Trump imemshitaki mshauri mkuu wa zamani wa usalama wa taifa, John Bolton, ili kuzuia kuchapishwa kwa kitabu chake kipya kinachohusu wakati wake alipokuwa katika ikulu ya White House. John Bolton. Kitabu hicho kilichopewa jina "The Room Where...
  7. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi...

    Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi... Inawezekana pesa zile zimekuwa za mtu binadsi sio mali ya umma. Kwenye mapato ya serikali hazipo
  8. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Baraza la Usalama la Taifa ni Kina nani?

    Nimemsikia mkapa akisema enzi zake za uongozi aliwahi agiza baraza la usalama la Taifa wafanyie vikao vyao dodoma. Sijawahi sikia kitu kinaitwa baraza la usalama la Taifa kwa Tanzania. Nimejiuliza 1. Hilo baraza lina watu wa namna gani 2. Kina nani ni member wa hilo baraza 3. Muundo wa baraza...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Habari Tanzania Vs Usalama wa Taifa

    Kiukweli kabisa kama sekta ya Habari nchini ingetumika kiufasaa kama mataifa mengine yaliyoendelea katika sekta ya habari ingelisaidia taifa katika maswala mazima ya Usalama wa Taifa, mwandishi wa habari aliyekwiva ni zaidi ya Usalama wa Taifa, tuachane na hawa waandishi wa kupokea bahasha kuna...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hili la Rais mstaafu Mkapa kufanyia vikao vya baraza la usalama la taifa mjini Dodoma enzi za utawala wake ni kuwa ikulu ya Magogoni haiaminiki!

    Miongoni mwa kauli nzito aliyotoa Rais mstaafu wa awamu ya tatu mzee Benjamin Mkapa ni kuwa enzi za utawala wake vikao vyote vya baraza la usalama la taifa vilifanyikia mjini Dodoma. Tafsiri yake ni kuwa kikao hiki kilikuwa kinajadili mambo ya siri za usalama wa nchi (Labda ikiwemo upotezaji)...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Mwanza ichunguzwe kwa kushindwa kutoa ulinzi na kwa kumsusa ndugu Waitara, Naibu Waziri

    Habari kubwa mitandaoni ni Naibu Waziri ndugu Waitara kukoswakoswa na kipondo cha haja kutoka kwa wananchi. Naibu Waziri alionekana akizongwazongwa na akiwa na hofu kubwa, hakuwa na ulinzi wa mgambo wala Polisi wakati akisakamwa na wananchi hao Hakuwepo Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa WIlaya, RPC wala...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Magereza yote kuwekwa vifaa vya upekuzi, CCTV

    JESHI la Magereza linakusudia kuongeza vifaa vya upekuzi magerezani na kufunga kamera za usalama za CCTV, ili kubaini vitendo viovu vinavyofanyika ndani ya magereza hayo. Hayo yalisemwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakati ikijibu swali la Mbunge Viti Maalumu, Rukia Kassim Ahmed (CUF)...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi yakamata magari 6, ofisa usalama ‘feki’

    JESHI la Polisi mkoa wa Dodoma linamshikilia Shaban Wisandala (32), mkazi wa Medeli jijini Dodoma, kwa kujifanya ofisa usalama wa taifa, pamoja na magari sita yaliyokamatwa kutokana na kusadikiwa kuwa ni ya wizi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Dodoma...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Taifa hili linatisha sana katika nyanja ya usalama

    Hili taifa ni moja ya mataifa duniani yenye complex securty system. Kiasi huwezi mjuwa kiurahisi nani ni nani. Ni taifa pekee ninavyo amini hata Wazungu walipatwa na shock vile tunafanya kazi. Ndio maana kuna mahali ktk mtandao au kitabu jamaa waliambiana wasituamini sana. Kenya ni heaven ya...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya Tano mambo ya kujifunza na kurekebishwa kwa usalama wa Taifa

    Serikali ni ya wananchi na sio yamtawala hivyo madaraka yapo kwa wananchi hivyo lazima uwasikilize sana wapiga kura.. Pili ndani ya katiba kuna ufa mkubwa hivyo ili kuleta umoja wa kitaifa na taifa lenye kuendeshwa ktk misingi ya sheria na kuheshim miimili mitatu lazima katiba tuifanyie kazi...
  16. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

    “[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema...
  17. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

    Tuliona wenyewe Rais Magufuli akiwaita wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, wengi wakitoka jijini Dar na wengine wakitokea Dodoma, umbali mrefu wa kilometa maelfu, kuongelea ugonjwa wa corona, ambao unatikisa dunia nzima hivi sasa, ikiwemo Tanzania. Nimekuwa nikijiuliza hivi si yeye...
  18. covid 19

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Watanzania tunaitaji kusikia zaidi ya hotuba yako kwa vyombo vya ulinzi na usalama

    Mhe. rais km mpambanaji namba 1 kwenye taifa letu la tanzania lenye kila aina ya maliasili tulizobarikiwa na mungu. tunahitaji kusikia kitu kutoka kwako tunahitaji kufahamu hapa tulipo tuna fanyaje na huko mbele tunaendaje. Katika kipindi hiki kigumu mno kwa dunia na sisi tukiwemo janga hili...
  19. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Je, hakuna kosa la kiufundi kidiplomasia lilifanyika kwenye 'briefing'?

    Ombi: Naomba nitangulize ombi la kusamehewa kama nitakuwa nimewakwaza watu katika mchango huu wa mawazo. Nitatoa maoni kwa mtindo wa kuuliza swali ili tupate mawazo ya watu wengi, huenda tuna nguli wengi wa kidiplomasia humu JF. Mawazo Yangu: Lile angalizo alilotoa kiongozi mkuu kuhusu kuwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Kirusi kinaweza kusafiri umbali wa futi 13 hivyo kwenye mikusanyiko tukae umbali wa mita 4 kwa usalama wetu

    Nimeikuta hii kwenye makala moja ya kitabibu kwamba kirusi cha corona kinachosababisha ugonjwa wa Covid 19 kina uwezo wa kusafiri umbali wa futi 13. Hivyo wataalamu hao wanashauri kàtika mkusanyiko wowote umbali kati ya mtu na mtu kwa kila upande ili kujilinda na maambukizi ni lazima uwe mita 4...
Back
Top Bottom