usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona nchini yenye amani na usalama kama Zambia

    Habari zenu wana JF wenzangu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Katika zunguka zunguka yangu yote katika nchi mbali mbali nikianza na nyumbani Tanzania, kwa kweli sijawahi kuona nchi yenye amani na usalama wa hali ya juu kama Zambia. Kwa wale wenzangu waliowahi kuikanyaga nchi...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania WIFI za bure maeneo ya umma (Public areas) zinavyohatarisha usalama wa data zako binafsi

    Katika ulimwengu wetu wa leo matumizi ya Intanet yamekuwa ni miongoni mwa hitaji la msingi kwa kila mtu. Katika mazingira mbalimbali tumejikuta tukiwa katika maeneo ya umma ambapo kuna wifi za bure na kwa namna fulani tumekuwa tukifurahia na kuunganisha vifaa vyetu kwa na mitandao hiyo. Maeneo...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani ipo tayari kuishauri Tanzania kuhusu usalama wa mpaka wake na Msumbiji

    Serikali ya Marekani ipo tayari kutoa ujuzi na ushauri kwa Tanzania katika masuala ya kiusalama ili kuimarisha ulinzi kwenye mpaka wake na nchi ya Msumbiji. Katika mahojiano maalumu na BBC Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald Wright alieleza namna ambavyo Marekani inavyoguswa na tishio la...
  4. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kwa usalama wa nchi yetu, huyu afande anafaa kuwa IGP ajaye

    Habari za asubuhi wana JF wenzangu. Ndugu zang baada ya kufuatilia kwa makini utendaji wa kazi unaofanywa na jeshi la polisi, pamoja na mbinu mbalimbali zinazotumiwa na makanda wa jeshi hilo katika jitihada za kupambana na uhalifu nchini, hasa kwa mkoa wenye uhalifu mwingi kama Dar es...
  5. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Sticker ya "Nenda kwa usalama barabarani" naipata wapi?

    Leo nimepigwa mkono na Traffic (walikua wengi) pale Magufuli Hostel wakidai nimepita taa nyekundu za Kona ya Mawasiliano. Mkubwa wao nikasikia anasema "mwambieni atoe leseni haraka asitupotezee muda aandikiwe faini!" Nikawabishia hasa kuwa "I'm damn sure" nimesimama kwenye taa. Always huwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo watu wa usalama?

    Hivi huyu ni nani wanajamvi, Yupo kwenye matukio mengi kuna saa ana appear kama mwanachama wa ysc Mara yuko na hayati, mara kwenye wamasai kule ubalozi ya kenya, pia watu wanasema masai hawezi andika hivyo huyu ni serikali hata Ngorongoro hapajui Na kwanini anajiachia hadi tunamjua au yeye...
  7. L

    JamiiForums Tanzania China yajitokeza kuhimiza amani na usalama katika pembe ya Afrika

    Fadhili Mpunji Tarehe 20 na 21 Juni Ethiopia ilikuwa mwenyeji wa mkutano wa amani wa Pembe ya Afrika uliofadhiliwa na China. Huu ni mkutano wa kwanza wa namna hii kuzikutanisha Ethiopia, Eritrea, Djibouti, Kenya, Somalia, Sudan na Sudan Kusini, kufanyika kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika...
  8. Saidi gawa

    JamiiForums Tanzania Mabaharia wana umuhimu gani katika uokozi na usalama majini?

    Wakuu habari zenu. Hivi mabaharia wana umuhimu gani katika suala la uokozi na usalama majini?
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Msumbiji yachaguliwa Mwanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeichagua Msumbiji kuwa mwanachama asiye wa kudumu wa Baraza hilo kwa muhula wa miaka miwili kuanzia Januari 2023 Nchi nyingine zilizochaguliwa ni pamoja na Ecuador, Japan, Malta na Uswizi ambapo watachukua nafasi za India, Ireland, Kenya, Mexico na Norway...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Stergomena afungua semina ya Wanawake, asisitiza washirikishwe katika amani na usalama

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amefungua Semina kuhusu Agenda ya Wanawake, Amani na Usalama (Women Peace and Security Agenda) iliyofanyika tarehe 07 Juni, 2022 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. Akihutubia washiriki wa Semina hiyo akiwa...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Juni 07: Siku ya Usalama wa Chakula Duniani (World Food Safety Day)

    Chakula salama ni miongoni mwa vichocheo muhimu vya Afya njema. Vyakula visivyo salama ni chanzo cha magonjwa mengi. Kila mmoja wetu wajibu katika kuhakikisha usalama wa Chakula katika hatua zote za mnyororo wa thamani, kuanzia kinapozalishwa hadi kinapomfikia mlaji wa mwisho Mbali na madhara...
  12. Determinantor

    JamiiForums Tanzania "Mkishindwana achaneni kwa usalama" kauli ya kitoto na ya kinafiki sana hii

    Kuna binadamu ni wanafiki sana na wanapenda kufanya maigizo Kila kunapokua na issues za Wapenzi na mapenzi ambazo zimepelekea vifo. Ninaamini waumini wa statement hii "mkichokana achaneni kwa Amani" ni wale ambao wako na Wapenzi ambao hawajawahi kuwapenda, kujitoa, kuwalea, kuwasitiri n.k. Kwa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mataifa Manne hatari kwa usalama wa dunia

    Mataifa manne ambayo ni hatari kwa usalama wa dunia. Uwenda hujuwi ila nataka ujuwe nje ya nguvu za kijeshi kwa taifa kubwa kama marekani nyuma ya pazia kuna kitisho kikubwa cha usalama wa dunia na amani kutoka tawala nne ktk mataifa ma nne duniani. Waiati sisi tuna vaa magunia nakuowa ndoa za...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mwandishi mashuhuri nchini Ghana azindua kituo cha Usalama wa Wanahabari Afrika

    Mwanahabari mpelelezi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas amezindua "Whistleblowers and Journalists’ Safety International Centre’ (Kituo cha Kimataifa cha Usalama cha Watoa taarifa na Wanahabari) ili kutoa ulinzi, nyumba salama, huduma za kisheria na utetezi kwa wanahabari na watoa taarifa barani...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa China atoa mwito wa kuboresha hali ya usalama na kibinadamu nchini Somalia

    Mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Bw. Dai Bing jana alitoa mwito kwa jumuiya ya kimataifa kuunga mkono juhudi za kuimarisha hali ya usalama na kibinadamu nchini Somalia wakati nchi hiyo ikifanikisha uchaguzi wa rais na wabunge. Bw. Dai Bing amesema China inatarajia kuwa Somalia...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Baada ya Shaka kulazimisha msifie chochote juu ya rais Samia naona sasa watu wanaropoka hovyo tu. Huko nyuma watalii walikuja kulikuwa hakuna usalama?

    Mtu akiteuliwa kwa kubebwa haya ndio madhara yake sasa. 👇
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Magari ya Jeshi kwa makusudi hawaheshimu Sheria za Usalama barabarani

    Kwa makusudi kabisa tena bila kujali, sasa hivi magari ya JWTZ hawaheshimu sheria za usalama barabarani. Na tunawaona kila siku jijini Dar. Picha hii ni leo Mwenge DSM. Hii kwa jeshi ni dalili moja ya indisciple katika jeshi, kwa kuonyesha kuwa nani atanifanya nini. Picha ya close-in kuna...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini awamu ya Tano na sita haziwapandishi vyeo viongozi waandamizi wa vyombo vya ULINZI na usalama?

    Wakati wa JPM tuliona mikeka mingi ya kupandisha vyeo Watumishi wa umma ila Siyo kupanga safu ya vyombo vya dola. Ilifika wakati ikaandaliwa makala kuhusu gap lilolopo kwenye jeshi la Polisi hasa nafasi za makamishna waandamizi, na wasaidizi waandamizi ikielezwa kwamba Hali hii IPO SAWA Kwa...
  19. Faana

    JamiiForums Tanzania Usalama Kwanza: Tuwapo Barabarani Tuwe Makini

  20. D

    JamiiForums Tanzania Kamati ya ulinzi na usalama DSM naomba ipitishe huu utaratibu kwa dharula kuondoa panya road

    Juzi nilihoji humu juu ya sintofahamu kuhusu Sera ya ulinzi shirikishi! Nilisema ulinzi shirikishi mijini kinadhalia inawezekana lakini kivitendo haiwezekani! (Niliainisha sababu ikiwemo upigaji wa michango ya ulinzi na ukubwa wa maeneo) Panya road ni vikundi vinavyoratibiwa na watu kwa...
Back
Top Bottom