Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya kutokuwa na sheria inayolinda taarifa binafsi za watu jambo ambalo linaiweka pia nchi kwenye hali...
Kampuni za #Meta (Facebook), #AppleInc na #Microsoft zimeandikiwa barua ya kutakiwa kushiriki mikakati ya kukomesha unyanyasaji wa watoto kwenye majukwaa yao vinginevyo yatapigwa faini.
Idara ya Usalama wa Kielektroniki imesema kwa mujibu wa sheria mpya za Mitandao zilizoanza kutumika Januari...
Hata kama CCM hawataleta Latina mpya au wanahitaji utitiri wa vyeo ili waweze kutoa fadhila na zawadi, Ni muhimu kupitia muundo wa utawala ili kuboresha kazi, kuondoa urasimu. na kuongeza Tina na kukwepa lawama.
Leo, DCs wanalaumiwa masuala ya mapato lakini kiuhalisia DCs hawahusiki kabisa. DCs...
Ushirikishwaji wa vijana katika kilimo imekuwa mada kuu hivi karibuni na imeibuka katika ajenda ya maendeleo, kwani kuna wasiwasi unaokua ulimwenguni kwamba vijana wamekata tamaa na kilimo.
Huku vijana wengi - karibu 85% - wanaishi katika nchi zinazoendelea, ambapo kilimo kinaweza kutoa chanzo...
Tarehe 12/08/2022 RAYMOND NJOFU BWIRE (28) Mkazi wa Kamguluki Mkoa wa Mara alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kutuma ujumbe mfupi kwenye simu ya mkononi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mlele Mkoani Katavi anayejulikana kwa jina la TERESIA IRAFY.
BWIRE alimtaka Mkurugenzi IRAFY...
Kuwapa Watoto Mwongozo wanapotumia Majukwaa la Kidijitali ni njia mojawapo ya kudhibiti hatari za mtandaoni zinazoweza kusababishia madhara
Kwa mujibu wa Shirika la UNICEF. inakadiriwa Mtoto Mmoja kati ya Watatu ni Mtumiaji wa Intaneti. Aidha, Mtumiaji wa Intaneti Mmoja kati wa Watatu ni Mtoto...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ninaomba usalama wa Taifa kuanzia ngazi ya wilaya, mkoa na Taifa mpeni Rais taarifa sahihi ili afanye maamuzi sahihi.
Kama nyinyi mnampa taarifa sahihi ila yeye hachukui hatua? hilo ni swala jingine.
Kwenye hili swala la sensa na makazi ya mwaka...
Mwaka mmoja baada ya Maafisa wa Idara ya Usalama kuondolewa kwenye makazi ya aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto na nafasi yake kuchukuliwa na Maafisa wa Polisi wa Utawala, leo wamerejeshwa rasmi.
Kwa mujibu wa sheria ya ulinzi wa viongozi, Rais Mteule William Ruto anapewa ulinzi wa maafisa 200...
Wanajeshi 49 wa Ivory Coast waliokuwa wamezuiliwa kwa zaidi ya mwezi mmoja nchini #Mali baada ya kushutumiwa kuwa mamluki, wamefunguliwa mashtaka ya kujaribu kuharibu usalama wa taifa na kuwekwa rumande.
Ivory Coast imekanusha shtaka la shughuli za mamluki na imekuwa ikitoa wito wa kuachiliwa...
Naam Bugga Buggati limefanikisha kuhamishia matatizo yake kwenye taasisi, baada ya Barbara kukataa ujinga wake huo haswa pale aliposema mashabiki wa yanga wasiingie kwenye mechi za kimataifa za simba na uongozi wa Barbara ukatoa press release kusikitishwa na matamko yake hayo na ya kuyakana
Kwa...
Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala...
Tarehe 1 Agosti ni Siku ya Kuanzishwa kwa Jeshi la Ukombozi la Watu wa China. Katika miaka mingi iliyopita, jeshi hilo limeshiriki katika masuala ya usalama ya Afrika kwa hatua madhubuti, na kuchangia amani na usalama barani humo.
China ni nchi ya pili duniani kwa mchango wa fedha kwa ajili ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia kwa vitendo maarifa waliyoyapata katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam.
Dkt. Mwinyi ameyasema hayo...
"Data is the new Oil", Goodman alihoji katika kitabu chake, future crime (2015), ambapo alionyesha jinsi data inavyo tumika kutengeneza mabilioni ya dola kwa makampuni yanayo kusanya data kwa kutoa huduma mbalimbali za kidijikali. Alicho sema Goodman ni sawa na kile alichoandika O'Connor (2004)...
Kongamano la pili la Amani na Usalama kati ya China na Afrika limefanyika hivi karibuni kwa njia ya mtandao. Katika barua yake ya pongezi kwa kongamano hilo, Rais Xi Jinping wa China ameeleza kwamba anatilia maanani sana ushirikiano wa amani na usalama kati ya China na Afrika, na kupendekeza...
Mnamo Aprili 2021, UN ilipitisha Julai 25 kuwa Siku ya Kuzuia Kuzama Maji Duniani inayolenga kuangazia athari za Ajali hizo na kuweka mikakati ya kuzizuia
Kuzama kunatajwa kuwa tatizo kubwa la Afya ya Umma duniani, na inakadiriwa watu wapatao 236,000 huzama kila mwaka. Inaelezwa kuwa, Nchi za...
Siku moja baada ya Rais Ranil Wickremesinghe kusema hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wanaoandamana, Vikosi vya Usalama vimevamia kambi ya Waandamanaji katika Mji Mkuu wa Colombo, na kuwafukuza waliokuwa nje ya Ofisi ya Rais.
Mara baada ya kuapishwa, Rais Wickremesinghe aliweka wazi kuwa...
Samahani kwa wale huenda mtaendeshwa na hisia za kichama na ushabiki pasipo kuwa na uwelewa wa miundo ya vyombo vya ulinzi na mienendo yake.
Kwanza nianze kwa kusema vyombo vya ulinzi na usalama ndio dola na dola ndio nguvu ya walio shika serikali.
Kwa uzowefu wangu na uwelewa wangu na hata...
Rais Volodymyr Zelenskyy ametoa amri za kuwafuta kazi, Mkuu wa Idara ya Usalama Ivan Bakanov, na Mwendesha Mashtaka Mkuu, Iryna Venediktova na kumteua Naibu wake Oleksiy Symonenko kama Mwendesha Mashtaka Mkuu mpya
Amesema hatua hiyo kufuatia tuhuma za maafisa wao kushirikiana na Urusi, huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.