Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Wakati wa JPM tuliona mikeka mingi ya kupandisha vyeo Watumishi wa umma ila Siyo kupanga safu ya vyombo vya dola. Ilifika wakati ikaandaliwa makala kuhusu gap lilolopo kwenye jeshi la Polisi hasa nafasi za makamishna waandamizi, na wasaidizi waandamizi ikielezwa kwamba Hali hii IPO SAWA Kwa vyombo vyote vya ulinzi chini ya mambo ya ndani. Makala hiyo ilirushwa mitaaoni na Malisa if I'm not mistaken. But hakuna mkeka uliotoka.
Je, ni waliopewa vyombo hivi ndio wanawabania walio chini Yao kupanda kuziba nafasi zilizoachwa wazi na wastaafu au walioteuliwa nafasi nyingine au ni mteuaji ameamua kuacha ombwe la uongozi katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama?
Zamani wakati wa Mwalimu, Mwinyi, Mkapa na Hata JK ilikuwa nadra cheo flani Cha kijeshi kukosa MTU , akistaafu faster anateuliwa Mwingine lakini Sasa hivi ni kawaida kuona Kanda maalumu kushikwa na junior officer for years huku akipewa majukumu ya kamishna Kanda maalumu. Je gharama za kukaimu hizi nafasi Siyo kubwa sana ? Kama wanaweza kukaimu Kwanini wasipandishwe?
May be wakipandishwa vyeo itasaidia kupunguza kamata kamata isiyo na tija, labda Kuna sehemu uongozi haujakamilika na hivyo wakuu wa vyombo wanakosa wasaidizi sahihi