Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,320
- 24,189
Kwa makusudi kabisa tena bila kujali, sasa hivi magari ya JWTZ hawaheshimu sheria za usalama barabarani.
Na tunawaona kila siku jijini Dar.
Picha hii ni leo Mwenge DSM.
Hii kwa jeshi ni dalili moja ya indisciple katika jeshi, kwa kuonyesha kuwa nani atanifanya nini.
Picha ya close-in kuna polisi traffic lakini hawana la kufanya mjeda akikatiza red light.
Wabunge wetu muulizeni Waziri wa Ulinzi: Hii nini?