"Mkishindwana achaneni kwa usalama" kauli ya kitoto na ya kinafiki sana hii

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,551
86,147
Kuna binadamu ni wanafiki sana na wanapenda kufanya maigizo Kila kunapokua na issues za Wapenzi na mapenzi ambazo zimepelekea vifo.

Ninaamini waumini wa statement hii "mkichokana achaneni kwa Amani" ni wale ambao wako na Wapenzi ambao hawajawahi kuwapenda, kujitoa, kuwalea, kuwasitiri n.k.

Kwa mtu yoyote awe wa kike au wa kiume, ambaye anajitoa haswa kujenga family yake au kumtunza "Mpenzi" wake hawezi kuvumilia such nonsense KAMWE na kama yupo basi ni 1/100.

Tuacheni unafiki kwenye mambo ambayo hayajawahi kukuteni.
 

Attachments

  • 20220531_081753.jpg
    20220531_081753.jpg
    31.2 KB · Views: 30
Kuna binadamu ni wanafiki sana na wanapenda kufanya maigizo Kila kunapokua na issues za Wapenzi na mapenzi ambazo zimepelekea vifo.

Ninaamini waumini wa statement hii "mkichokana achaneni kwa Amani" ni wale ambao wako na Wapenzi ambao hawajawahi kuwapenda, kujitoa,
We inakuuma nini
 
Mario tu ndio anaweza kuvumilia ujinga
 

Attachments

  • VID-20220531-WA0000.mp4
    5.1 MB
Kwa hiyo wewe unataka ushauriwe uue mkishashindwana? Hiyo asilimia moja mbona ameweza, sasa wewe kwa nini hutaki hiyo asilimia iongezeke kupitia kushauriwa?
 
Kwa hiyo wewe unataka ushauriwe uue mkishashindwana? Hiyo asilimia moja mbona ameweza, sasa wewe kwa nini hutaki hiyo asilimia iongezeke kupitia kushauriwa?
Kuna mahali nimeandika kuwa "muue"? Hebu soma kwa utulivu
 
wacha fikra potofu wewe....kama uko kamili....kifikra na kimtazamo........mnaachana vema kabisa.....yes kuna mmoja ATABWEKA.....but inawezekana KABISA......na mkatunza watoto.........aidha kwa kukubaliana au kwa KUTOKUKUBALIANA.....maisha ni mafupi sana...na matamu sana..........USIYAFUPISHE.....kwa upuuzi.....
 
Sheria za ndoa zibadirike isiwe hizi zamkoloni ziaze ndoa za mikataba miaka miwili ikiisha tukiamua kurenew tunafanya tukiamua kuvunja tunavunja
 
Back
Top Bottom