usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mataifa mengi ya Afrika hayajaweka Mikakati thabiti ya Usalama wa Mitandao jambo linalowafanya wawe kwenye hatari ya kushambuliwa

    Mpaka kufikia mwaka 2022 bado mataifa mengi ya Kiafrika yanaonekana kuwa nyuma katika ya kuweka mikakati thabiti itakayowezesha usalama wa mitandao katika nchi zao. Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia wananchi wengi pamoja na serikali za Kiafrika zinatumia vifaa vya kidijitali katika...
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Hili la watu kula supu ya ngozi ya ng'ombe/mbuzi lina usalama kiasi gani?

    Tulizoea bidhaa kama ngozi ya ng'ombe ikitumika katika utengenezaji wa bidhaa mbalimbali kama vile mikanda, Mabegi nk. Nina mwezi mzima na zaidi naweka oda ya ngozi ya ng'ombe kwa ajili ya kumchemshia mbwa nakosa nashindwa kujua kwanini. Basi ikabidi nimuulize huyo muuza bucha kwanini zimekuwa...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Watu hupenda kunikabidhi pesa zao niwatunzie, Naogopa siku nikizipoteza au zikiibiwa, Niwe natunzaje kwa usalama zaidi?

    Kuna baadhi ya watu wakipata hela za vibarua, faida, mishahara midogo midogo, n.k huwa wanakuja kuzitunza pesa zao kwangu. wengi huwa wanasema wao kama wao hawawezi ku manage pesa zao kwa sababu nyingi zikiwemo uraibu. Nimejaribu kuwaelimisha hata mambo ya benki na mpesa hizi lakini wanakomaa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wakati mgumu kwa machawa wa siasa

    Kuna viongozi wengi walikuwa wanategemea mgawanyiko na ugomvi wa Magufuli na upinzani. Hawa ni machawa wa usalama, Polisi na wanasiasa wanaotafuta nafasi. Hawa ni wale watu ambao kiundani hawajali Tanzania bali matumbo yao zaidi. Sasa Rais Samia anaongea na upinzani moja kwa moja bila...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Crown Prince wa Abu Dhabi (UAE) akiri haki ya msingi ya Kremlin kuhakikisha usalama wa taifa la Russia

    Crown Prince wa Abu Dhabi ktk United Arab Emirates, Mohammed bin Zayed Al Nahyan amesema kuwa anaamini kuwa Russia ina haki ya kuhakikisha usalama wa taifa hilo (Russia) hauhatarishwi. Maneno hayo kiongozi huyo ameongea alipokuwa akizungumza kwa simu na rais wa Russia, Putin. Viongozi hao...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Idara za usalama za dunia na majeshi ya mataifa makubwa on High Alert, Pray for World

    Hali imebadilika katika uwanja wa mapambano Euro wamefunga anga lao kwa ndege aina yeyote ya Russia. Marekani anaenda kutangaza jambo zito kwa dunia usiku wa leo. Russia ameviambia vikosi vyake vya silaha za maangamizi kuwa tayari. Wakati hayo yanatangazwa German na Euro wanapeleka vifaa vya...
  7. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Raia wa Ukraine watoroka nchi yao kukimbilia usalama

    Maelfu ya raia wa Ukraine wamevuka mipaka kuingia katika mataifa jirani katika upande wa Magharibi kutafuta usalama, wakati Urusi ikishambulia mji mkuu wa nchi hiyo pamoja na miji mingine kwa mashambulizi ya angani. Wengi wa waliowasili katika mataifa hayo jirani ni wanawake, watoto na wazee...
  8. econonist

    JamiiForums Tanzania Je, baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lina uwezo wa kufanya maamuzi dhidi ya Russia?

    Ni vigumu Umoja wa Mataifa kuichukulia hatua Urusi. Changamoto za Umoja wa Mataifa kupitia baraza kuu la usalama kuichukulia hatua Urusi ni mbili. Kwanza, tatizo linakuja pale ambapo Urusi ni mmoja wa wanachama wakudumu wa baraza la usalama akiwa pamoja na China, UK, France na USA. Hivyo Ni...
  9. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Tanzania nafasi ya pili kwa usalama wa mtandaoni, nafasi ya 6 kwa gharama nafuu Afrika

    Tanzania imeshika nafasi ya Pili kati ya nchi 43 za Barani Afrika zilizoshiriki kwenye dodoso kuhusu Usalama Mtandaoni, lililoandaliwa na Global Cybersecurity Index (GCI). Pia, kati ya Nchi 155 Ulimwenguni, Tanzania inashika nafasi ya 21 kwa unafuu wa gharama za kununua GB 1. Aidha, Tanzania...
  10. M

    JamiiForums Tanzania TFF hongereni kwa Kumfungia Shaffih Dauda aliyewaambieni Ukweli na Kumuacha Haji Manara aliyehatarisha Usalama wa Taifa na Kuuchafua Mpira

    Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa kuna baadhi yenu mlifaidika mno Kibinafsi na Pesa za GSM.
  11. beth

    JamiiForums Tanzania India yapiga marufuku Apps 54 za Kichina kwa sababu za usalama

    Kutokana na hofu ya Usalama, India imezuia upatikanaji wa 'App' 54 kutokea China. Tangu mvutano wa kisiasa kuibuka kwa mara ya kwanza na China Mwaka 2020, India imepiga marufuku jumla ya 'App' 321 India inaamini Taaarifa za Watumiaji zilikuwa zikitumwa China kupitia Apps, kisha kutumika kwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa ardhi Ngorongoro usiposhughulikiwa vizuri waweza kuwa kitisho cha usalama kwa Taifa

    Mgogoro wa ardhi ya wamasai kule ngorongoro usiposhughulikiwa kwa hekima na busara basi waweza geuka kuwa kitisho kikubwa cha usalama wa Taifa kwa sababu kama nilivyowahi sema hapo zamani kwenye makala yangu jinsi idara zetu za usalama zimejikita na siasa kiasi mataifa yakigeni yanatengeneza...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tarimba apendekeza TANESCO kufumuliwa na kuwepo kampuni 3 kwa ajili ya Uzalishaji, Usafirishaji na Ugawaji umeme

    Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas amehoji ikiwa Serikali haioni ni muda mwafaka wa kulifumua Shirika la Umeme (TANESCO) ili kuwe na Kampuni tatu kwa ajili ya kufanya Generation Uzalishaji, Usafirishaji na Usambazaji kama ilivyo Nchi nyingine. Akimjibu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema...
  14. John Haramba

    JamiiForums Tanzania TMDA yatoa ufafanuzi wa usalama wa dawa katika Vituo vya Afya, Zahanati nchini Tanzania

    TMDA yatoa ufafanuzi wa usalama wa dawa zinazotumika katika vituo vya afya
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kwa nafasi ya Mwenyekiti Kamati ya Ulinzi na Usalama anaweza akaathirika na kauli ya Mhe. Rais kuhusu mauaji ya Polisi Mtwara?

    Taarifa ya kutoonekana kwa mfanyabishara aliyekuja kubainika kuwa ameuawa ilichukua muda mrefu Sana. Ndugu kwa maelezo Yao walifuatilia suala la ndugu yao ngazi tofauti. Zipo kamati mbili ambazo ni muhimu sana kuwa na updates za matukio yanayotokea. Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Mtwara...
  16. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro soma alama za nyakati, jiuzulu

    IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU. Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha CCK mbaroni kwa kujifanya ‘usalama’

    Picha: Renatus Muabhi Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi (53) na mwenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Kwa kosa la kujifanya maofisa usalama huku wakijua kufanya hivyo ni kosa la kisheria. Mbali na Muabhi mwingine ni mfanyabiashara Yusuph...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Luteni Kanali Damiba atoa hotuba ya kwanza kwa taifa, aahidi Jeshi litaimarisha usalama

    Picha: Luteni Kanali Paul-Henri Damiba Luteni Kanali Paul-Henri Damiba aliyeongoza Mapinduzi yaliyomtoa Madarakani Rais Roch Kabore ametoa hotuba yake ya kwanza kwa Taifa hilo na kusema Jeshi litakutana na makundi mbalimbali ya Jamii kujadili mchakato wa kufanya mageuzi. Amesema Burkina Faso...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Usalama vinamhujumu Rais kutokana na matendo maovu kushika kasi

    Matukio ya uovu yamezidi kushika kasi kipindi hiki kwa namna ambayo inaonesha dhahiri kuwa kuna hujuma inafanyika kwa ndugu Rais Samia Suluhu Hassan. Matendo haya ya uovu ubaya zaidi yanafanywa na vyombo vinavyotakiwa kulinda wananchi. Matokeo yake sasa ndo vinahusishwa na kuteka na kuua...
  20. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

    Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan...
Back
Top Bottom