Wasalaam wakuu,
Hapa nchini kwa sasa hali ya kiusalama ni tete sana, kuna baadhi ya mitaa sasa hata mchana ni taharuki,
unatembea na kufanya shughuli za kijamii kwa wasiwasi mkubwa sana.
Usiku ndio usiseme ni hofu tupu. Kwa namna mambo yalivo inabidi kila mtu awe tayari kujilinda awezavyo, ni...
Jumamosi ya tarehe 30 Aprili 2022 kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa kutakuwa na mpambano wa soka wa watani wa jadi baina ya klabu ya Simba na Yanga za Dar es salaam utakaochezwa saa 11 :00 jioni.
Katika kuelekea mchezo huo, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam litahakikisha usalama...
Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21
Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi.
Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema!
Inashangaza kuona...
Picha: Dkt. Willbrod Slaa
Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita.
TAARIFA YA CAG INAPOTOSHWA
“Kuna upotoshwaji kwenye taarifa ya CAG, nadhani Zito Kabwe angelisaidia sana...
===
Anaandika Vicent Kasala Twiter
HALI YA USALAMA TEMEKE NI MBAYA! DC Jokate Mwegelo,
Salam,
Nakuandikia kwa dhamana yako kama Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Temeke. Awali ya yote pole kwa majukumu ya kuwatumikia wananchi.
Mimi ni mwanachi wako katika Wilaya ya Temeke...
Muhimu tubuni mbinu za kuisaidia DRC ikumbutie amani.
======
Burundi's President Evariste Ndayishimiye arrived in Nairobi, Kenya, Thursday for the East African Heads of State meeting on peace and security in the region.
According to a communique released by Burundi's State House (Ntare...
Tumsaidie masuala ya usalama kwenye hiyo nchi yake kubwa maana humo tunakwenda kuwekeza kichwa kichwa.
=======
DR Congo President Félix Tshisekedi arrived in Nairobi late Wednesday evening two weeks after his last trip to the city.
He was last in Nairobi early this month for the signing of...
Huu ni mwaka wa 30 tangu China ilipoanza kupeleka vikosi vya kulinda amani kwa nchi za nje. Ikiwa moja ya nchi kubwa zaidi duniani, katika miaka 30 iliyopita, China imetekeleza kikamilifu wajibu wake wa kimataifa, na kutoa mchango muhimu katika kudumisha amani na utulivu duniani, hasa barani...
Jeshi la Polisi limekamata Watuhumiwa 1,251 wa Makosa ya Usalama barabarani na baadhi yao wamefikishwa Makahamani na wengine kutozwa faini katika oparesheni maalum iliyofanyika kwa wiki tatu.
Makosa mengi katika orodha hiyo ni ‘Kuendesha magari mabavu’ ambayo ni 840, ambapo ilifanyika mikoa ya...
Unyanyasaji huu wa vyombo vya dola haukubaliki.
Kwanini sheria za nchi zilizopo hazifuatwi?
Kwa hakika tuungane kuukataa ubazazi wa namna hii.
---------------------
Ikumbukwe:
Wiki hii kumeanza tena ule usumbufu wa kijinga na wa kila mwaka wa kusimamisha watu barabarani ili kuwakagua sticker za wiki ya nenda kwa usalama barabarani.
Sasa kama ilivyo kawaida yetu hapa jukwaani, pakitokea kero basi tunatoa mawazo walau ya kuondoa au kupunguza kero hiyo. Sasa basi...
Hizi gari ndogo za abiria aina ya Toyota Hiace za njia ya Mwaloni - Shibula kupitia Kiseke PPF ni hatari na zitamaliza watu....mwendo Kasi, madereva na kondakta wote wanakuwa wamelewa kuanzia asubuhi, gari ni mbovu Sana (ni Hiace mbili tu zenye unafuu) njia hii hakuna trafiki hata mmoja...
Mwanzoni Putin alionekana ni tishio zaidi kwa usalama wa nchi za Magharibi na Marekani, ila sasa anaonekana ni tishio pia kwa ustawi wa maisha ya watu katika mataifa haya(kiuchumi na kijamii) kupitia swala la gesi na hili halitomuacha salama.
Hili swala la gesi linaongeza sababu za mataifa...
Raisi Samia nakupa mawazo tu kusaidia nchi yetu. Pamoja na mazuri Mengi aliyofanya Hayati Magufuli **** jambo baya kubwa sana ambalo kwa wengi linafunika mazuri yake mengi. Jambo hili ni kuagiza na kuunda vikosi vya kisiri vya kushughulikia watu ambao yeye binafsi na wapambe wake walikuwa...
Moja kwa moja kwenye mada wanajamvi, nina mke japo hatujafunga ndoa na tuna miaka kama sita tukiwa pamoja japo nikiri muda mwingi tunaishi mbali mbali kwa sababu mbali mbali.
Siku moja nikaona screenshot ya conversion aliyokuwa anachat na mtu(mwanaume), jamaa anamuuliza vitu gani vya kupunguza...
Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu...
Marekani na NATO kumpeleka vifaa na mitambo ya kivita Poland haitapelekea baadaye Urusi kuivamia Poland?
Kama Mrusi ameweza kuizingira Ukraine na kilichobaki ni majeshi kunyoosha mikono tu kisha atangaze wananchi wakimbizi warudi nyumbani maisha yaendelee.
Hatua itakayofuata ni kuivamia Poland...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.