usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wataalam wa ulinzi na usalama tutafsirieni kauli hii ya IGP. Je, ameelekeza polisi ama kuwarai?

    Video imejaa na kusheheni taarifa muhimu ambazo raia tunapaswa kufahamu kuhusu utendaji wa polisi, itazame hadi mwisho.... NImekosa mlinganisho wa vifungu vya sheria kwa kauli ya IGP. Neno reasonable force inatafsiriwaje kisheria? Je, polisi anapomkamata mtuhumiwa ambaye hana silaha na...
  2. JamiiForums Tanzania Kuuliza si ujinga, Tanzania tuna Amiri Jeshi wakuu wangapi? Je Chalamira ana mamlaka Kwa Majeshi ya ulinzi na usalama?

    Kuna haja ya CDF kutoka hadharani na kukataa kudharauliwa kiasi hiki kwamba Leo hii mkuu wa mkoa anaweza kumuamuru CDF? hii mliwahi kuona wapi? Jeshi la Misri linajitambuwa, lilikataa Amri kutoka Kwa Amiri Jeshi wao Hosni Mubarak na kusimama na wananchi, leo Tanzania anatoka Mlevi mmoja wa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa v/s Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, ni yapi majukumu yao?

    Mwenye kufahamu utendaji kazi na majukumu yao kati ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Nyongeza ndogo, Je! Kura ya Turufu ni inamaana gani?
  4. JamiiForums Tanzania LATRA yakamata mabasi yanayochezea mifumo ya usalama Mkoani Arusha

    Baadhi ya wahusika wa mabasi ya abiria wanaochezea mifumo ya usalama na mwendo katika mabasi wamenaswa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Arusha. Afisa Mfawidhi wa LATRA Mkoa wa Arusha, Joseph Michael ameongoza zoezi la ukaguzi katika maeneo tofauti katika maegesho ya magari...
  5. JamiiForums Tanzania Katavi: Mabasi ya Wanafunzi yabainika kufungwa mipira kwenye mfumo wa breki

    Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Katavi kimebaini dosari katika mabasi yanayotumiwa kusafirisha Wanafunzi katika Shule za watu binafsi ikiwemo baadhi ya mabasi kukutwa yamefungwa mipira kwenye mfumo wa breki ambayo ni hatari kwa usalama. Dosari hizo zimebainika wakati...
  6. JamiiForums Tanzania DW: Hali ya Usalama Zanzibar Mashakani. Yadaiwa kuna watu wanapora wageni mitaani na kupotea

    Siku chake baada ya Kamishna wa jeshi la polisi Zanzibar kutoa taarifa ya kuimarishwa kwa ulinzi katika kipindi cha Krismas na mwaka mpya katika maeneo yote ya Zanzibar, watu zaidi ya 40 wenye silaha wameripotia kuvamia katika mitaa mbali mbali na kuwajeruhi wananchi na kuwaumiza kabla ya...
  7. JamiiForums Tanzania KASHFA kubwa ya usalama wa Israel hawa Mossad kumbe hamna kitu sinema zimetudanganya sana.

    Wanaukumbi. KASHFA kubwa ya usalama wa Israeli: Mwisraeli aitwaye Roi Yifrah, tapeli, aliyeigiza kama mpiganaji wa IOF kutoka kitengo cha Yamam na aliingia Ukanda wa Gaza. Katika kukaa kwake kwa miezi 1,5, aliiba vifaa vya kupigana, silaha, vifaa n.k. Pia alijifanya kuwa mwanachama wa Shin...
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani SACP Ng'anzi asema "Toeni taarifa za Madereva wasiotii Sheria na Kanuni za Usalama"

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng'anzi amewataka abiria wanaosafiri ndani na nje ya Mkoa Ruvuma kutoa taarifa za baadhi ya madereva wanaokiuka Sheria za Usalama Barabarani. Hayo amesema Desemba 23, 2023 alipotembelea...
  9. JamiiForums Tanzania Abiria watakiwa kupaza sauti kwa Madereva wasiofuata Sheria za Usalama Barabarani

    Abiria wanaosafiri kwenda sehemu mbalimbali ndani na nje ya Mkoa wa Mbeya wametakiwa kupaza sauti kwa madereva wasiofuata sheria za usalama barabarani ili hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yao. Hayo yamesemwa Disemba 21, 2023 na Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani Mkoa wa Mbeya Mrakibu...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi Serikalini wanaongoza kuvunja sheria za usalama barabarani

    Wanajamvi salaams Naomba kuuliza hivi viongozi wa serikali wao hawapaswi kufata sheria mara watumiapo barabara? Inasikitisha sana unapoona gari la kiongozi linavunja sheria ya usalama barabarani halafu na askari hana jeuri ya kumfanya chochote. Yani wao muda wote wanaharaka hata muda wa...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ni kati ya nchi chache zenye usalama wa uhakika katika Aftica

    Sifa zote ni Kwa CCM. CCM ni chama imara. Tanzania ni Urusi ya Africa. Karibuni k vant kutoka leo mpaka 31 December.
  12. JamiiForums Tanzania Je hili la Tanesco si Shambulio la Kimtandao kwa Nchi? Cyber Attack? Usalama wa Taifa hili jukumu lenu

    Haya mambo watu walikuwa wanadhani ni kwenye movie tu mnaweza jikuta nchi nzima mpo gizani watu washafanya yao. Nchi kama hizi huwa tunajisahau sana. Haya mashambulizi katika hii karne yanakuwepo sana. Sasa sijui ni Chadema wamehusika au sijui wapinzani gani . Ila watafutwe. Leo toka asubuhi...
  13. JamiiForums Tanzania Kukagua vyanzo za utajiri kutawawezesha maafisa wa usalama kupata hela za kutumia christmas

    Serikali ilijenga nyumba Chanika halafu zikawa hazinunuliwi. Magufuli akaenda Chanika,akasema tutapunguza bei ya hizi nyumba ili watu wamudu kuzinunua. Jennister Mhagama ndiye alikuwa waziri mhusika wakati ule. Tatizo ,wanasema,kwa nini nyumba zile zilikuwa hazinunuliwi ni kwamba watu walipokuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mamlaka ziwajibike juu ya usalama wa maeneo hatari kukumbwa Majanga ya Misimu yanayosababisha maafa

    Serikali ichukue hatua madhubuti kupitia viongozi wake katika mazingira mbalimbali waliyopo, tusisubiri maafa yatokee ndio tushtuke kuwa tunapaswa kuchukua hatua, inaumiza sana. Kuwe na mipango mikakati juu ya kuweka usalama katika maeneo yalio na hatari za kukumbwa na mabalaa katika msimu...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku Askari wa Usalama Barabarani kutembea na Silaha za Moto ili kuepusha madhara kwa raia

    Zuio hilo limewekwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Japhet Koome baaada ya kuwepo kwa ongezeko la Malalamiko ya Wananchi kuwa baadhi ya Askari wa Barabarani wamekuwa wakitumia vibaya silaha zao ikiwemo kushambulia raia hata wasioweza kusababisha madhara. Uamuzi huo pia umechangiwa na kauli ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ukimya na Usiri wangu unanifanya nionekane Usalama wa Taifa

    Iko hivi 1. Mimi sinywi pombe, sigara wala siendi club hivyo sina sababu ya kwenda sehemu za starehe kama bar. 2. Sina ushabiki wa mpira, hivyo sina sababu ya kujichanganya kwenye stori za mpira au mabanda ya mpira. 3. Sina account ya mitando ya kijamii kama instagram, Facebook au Twitter, nk...
  17. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sagini amaliza ziara yake Kanda ya Ziwa, apongeza Vyombo vya Usalama

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amemaliza ziara yake ya kikazi kutembelea na kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na Vyombo vilivyopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na kusikiliza na kutatua kero zinazojitokeza lengo likiwa ni kuboresha utendaji kazi...
  18. JamiiForums Tanzania CPJ: Mamlaka za Burkina Faso zihakikishe usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara

    Mamlaka nchini Burkina Faso inapaswa kurejesha agizo la kuwajumuisha kijeshi waandishi wa habari Issaka Lingani na Yacouba Ladji Bama na kuhakikisha usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara, Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari ilisema Jumatano...
  19. JamiiForums Tanzania Sagini aagiza Miradi ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoani Geita kukamilika kwa wakati

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewataka Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na wakandarasi wanaosimamia miradi ya ujenzi Mkoani Geita kukamilisha Ujenzi wa Miradi yote kwa wakati na kuzingatia ubora. Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo Novemba 25, 2023...
  20. JamiiForums Tanzania Snipa White Hacky "SWH" huduma ya kudukua website yako kwaajili ya usalama

    Habari Wana jukwaa snipa white hacky "SWH" ni kikundi Cha vijana kinachojihusisha na kuangalia udhaifu wa website pamoja na system mbalimbali ili kuweza kugundua udhaifu wa system au website na kutoa taarifa kwa mmiliki. Huduma hii itamwezesha mmiliki au wamiliki wa website au system husika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…