Snipa White Hacky "SWH" huduma ya kudukua website yako kwaajili ya usalama

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,215
1,656
Habari Wana jukwaa

snipa white hacky "SWH" ni kikundi Cha vijana kinachojihusisha na kuangalia udhaifu wa website pamoja na system mbalimbali ili kuweza kugundua udhaifu wa system au website na kutoa taarifa kwa mmiliki.

Huduma hii itamwezesha mmiliki au wamiliki wa website au system husika kuweza kubana mianya ya black hats kuweza kudhibiti udhaifu wa website husika au system.

Huduma hii ni kwa wateja ambao wapo serious na wanahitaji kuziba mianya na kuzuia black hats kufanya vitendo haramu.

N:B
Huduma hii inatolewa kwa wateja serious na wale wenye long terms au short terms, kama uko serious njoo inbox but upfront fee is must once we didn't find a bug in your website we will refund 100% of your upfront fee, na unaweza chagua pia tufanye deface au kukupa taarifa husika about what may happen including database etc.
 
Kama mnaweza niwape pesa TU hack website ya mfumo wa maombi ya ajira ya TAMISEMI tujifanyie wenyewe selection maana tunazeeka umri unaenda tunafikisha umri wa kustaff kabla atujaanza kazi
 
Kiingereza chenyewe tu papatupapatu hiyo hack ndo utaweza masawe...??😂
Punguza mihemko mkuu "HACKY" ni kizaramo sahihi, unataka tufanye kazi njoo PM

HACKY = (of computer programming) not elegant (= simple in a way that shows skill and care), although it may solve a problem effectively:
I just wrote some ugly, hacky code that got the job done.
The programming is kind of hacky, but it works.

Cambridge Dictionary
 
Back
Top Bottom