KASHFA kubwa ya usalama wa Israel hawa Mossad kumbe hamna kitu sinema zimetudanganya sana.

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,977
32,385
Wanaukumbi.

KASHFA kubwa ya usalama wa Israeli:

Mwisraeli aitwaye Roi Yifrah, tapeli, aliyeigiza kama mpiganaji wa IOF kutoka kitengo cha Yamam na aliingia Ukanda wa Gaza.

Katika kukaa kwake kwa miezi 1,5, aliiba vifaa vya kupigana, silaha, vifaa n.k. Pia alijifanya kuwa mwanachama wa Shin Bet. Hata kwa pamoja na Netanyahu, zamani miaka ya nyuma tuliaminishwa kuwa Mossad ni kiboko kwa upelelezi huwezi kufanya chochote ndani ya Israel kumbe hamna kitu huyu tapeli kajifanya mwanajeshi kaenda mpaka Gaza na akapiga picha na Netanyahu.

Jamaa alikuwa anaiba silaha makombora na vifaa vya kijeshi, Israel wanaficha hii kashfa.


View: https://x.com/aryjeay/status/1741509526023446709?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

 
Back
Top Bottom