usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania CPJ: Mamlaka za Burkina Faso zihakikishe usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara

    Mamlaka nchini Burkina Faso inapaswa kurejesha agizo la kuwajumuisha kijeshi waandishi wa habari Issaka Lingani na Yacouba Ladji Bama na kuhakikisha usalama wa mwandishi wa habari Boureima Ouedraogo kutokana na vitisho vya kutekwa nyara, Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari ilisema Jumatano...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Sagini aagiza Miradi ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama Mkoani Geita kukamilika kwa wakati

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewataka Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na wakandarasi wanaosimamia miradi ya ujenzi Mkoani Geita kukamilisha Ujenzi wa Miradi yote kwa wakati na kuzingatia ubora. Mhe. Sagini ametoa maagizo hayo Novemba 25, 2023...
  3. snipa

    JamiiForums Tanzania Snipa White Hacky "SWH" huduma ya kudukua website yako kwaajili ya usalama

    Habari Wana jukwaa snipa white hacky "SWH" ni kikundi Cha vijana kinachojihusisha na kuangalia udhaifu wa website pamoja na system mbalimbali ili kuweza kugundua udhaifu wa system au website na kutoa taarifa kwa mmiliki. Huduma hii itamwezesha mmiliki au wamiliki wa website au system husika...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

    "Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mshauri wa Usalama wa Taifa wa Obama, Stuart Seldowitz anaonesha ubaguzi wa wazi kwa Wapestina

    Wanaukumbi. Islamophobia and blatant discrimination is widespread in many Western countries. This is supposedly a video of Stuart Seldowitz, a former advisor to President Obama threatening a food vendor. This systematic prejudice against Muslims is sadly found on both sides of the aisle...
  6. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Madereva/waongoza gari - dondoo muhimu za usalama wako unapokuwa barabarani

    Matumizi ya vileo - hii sio rocket science, inajulikana ulevi unapunguza umakini barabarani. Matumizi ya simu za mkononi hasa ya mara kwa mara - mtu anaendesha huku anachat WhatsApp na kujibu watu s'time kwa text. Hii sio salama kwako na watumizi wengine wa barabara. Kuendesha kwa mazoea -...
  7. runtown

    JamiiForums Tanzania Uonevu wa Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani wilayani Rombo

    Askari polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Kilimanjaro wilayani Rombo wanaonea madereva wa daladala kwa kuwaandikia faini wakiwakuta wakiwa wanapakia sehemu zenye parking na kibao kinaruhusu kupakia na kushusha. Mimi ni mhanga wa hili tukio nitashusha screenshot ya faini.
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Marekani zatoa tahadhari mpya ya usalama kuhusu Uganda

    Ubalozi wa Uingereza umetoa angalizo la kiusalama kuwa kuna uwezekano wa kutokea kwa shambulio la ugaidi Nchini Uganda, huku raia wa kigeni wakiwa walengwa, ikiwa ni Saa chache baada ya Ubalozi wa Marekani nao kutoa angalizo linalofanana na hilo. Balozi hizo pia zimewapa angalizo raia wake...
  9. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

    Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania. Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo. Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa. Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua...
  10. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani mtatuua kwa presha

    Salam wanajukwaa, Ninyi askari wa barabarani, hivi hii tabia ya kuongeza honi, kubadili sauti ya pikipiki kwenye bomba la moshi na kulifanya linapiga kelele kama limepasuka au kama imepiga bastola hamuoni kero hiyo? Kufumbia macho mnataka kusemaje ni haki kisheria au ni uvivu ktk utendaji...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Tanzania ya 4 kwa usalama wa anga Afrika

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imefanikiwa kushika nafasi ya nne barani Afrika kwenye masuala ya usalama wa anga kwa kupata alama 86.7 ikitanguliwa na Nigeria, Kenya na Ivory Coast katika ukaguzi uliofanyika Mei, 2023. “Kwenye ukaguzi mwingine wa uwezo wa nchi kiusalama uliofanywa...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Netanyahu akimbia nyumbani kwake. Ahamia kwa rafiki yake kwenye handaki la nyuklia kuhofia usalama wake

    Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na mke wake Sara wamehama kutoka makazi yao na kuhamia kwa rafiki yake na bilionea wa kimarekani, Simon Falic ambaye nyumbani kwake kuna handaki la kujilinda na nyuklia. Maamuzi hayo ameyafanya kuhofia wananchi wake wenye hasira kwa jinsi...
  13. 5

    JamiiForums Tanzania Kyiv nako si shwari, Askari wa Jeshi la Urusi watishiwa usalama wao

    Wadau naona kipindi hiki tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali katika jeshi la Urusi. Wanajeshi wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa kwa kutotii amri na hata...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Serikali wapeni nguvu Usalama wa Taifa wazuie uovu NIDA na wimbi la wahamiaji haramu

    Nchi hii hasa serikali na mamlaka zake Mungu anawaona, naandika nikiwa na hasira sio NIDA wala Uhamiaji, au Polisi kote kumeoza. Wahamiaji haramu wametapakaa sio kwenye bar, shambani, kwa house girls, vibarua wa kufuga mbuzi, nguruwe, kuku ambao wako nchini kwenye maeneo mbalimbali wasio na...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Takasa na safisha vitu na mambo yako kwa usalama wako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Vita ya Maisha ni baina ya makundi hasimu mawili. Nuru na Giza, Juu na chini, Uchafu na usafi, Wema na Ubaya, Inuko na anguko, Mng'ao na mfubao. Kwa watu makini wanajua wazi kabisa kuwa ili mambo yako yaende lazima yasafishwe, yatakaswe, na ili mambo yako...
  16. dump

    JamiiForums Tanzania Leo napenda kuvipongeza vyombo vyetu vya usalama na wakuu wa inchi na sisi raia

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, nimekaa Congo drc nimeona mengi kuhusu usalama. Inchi ya Congo usalama ni ziro kabisa, Wanajeshi na police ni majambazi, wanatembea mtaani na bunduki za kivita kabisa mpaka baa wanaingia na siraha. Ni kama hakuna serikali kabisa,kila siku...
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Agenda ya Mohamed Said ina ukakasi

    Huyu mzee wangu wa gerezani aangaliwe vizuri. Nakubali ni msomi mzuri hapa nchini, nakubali ana busara ila anatumia akili zake kucheza na akili za watu. Sijawahi kusikia popote duniani mtu anajiita mwana historia kwa kubobea kwenye kata moja tu. Mohamed Said anajiita mwanahistoria lakini...
  18. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Kununua Vitu Mtandaoni (Online Trade Assurance) Tanzania

    Habari wanajamvi, Natumaini wote tunaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada... Nimekuwa mdau wa kununua vitu mtandaoni kwa muda mrefu. Imenilazimu sana kumtuma mtu endapo nafanya biashara na "mgeni" nisiyemfahamu. Kwa mfano, mwaka jana nilinunua laptop kwa mdau mmoja Mwenge, DSM. Ilinibidi...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Hamas wameweza Comfortably kujipenyeza Israel yenye Usalama wa Taifa Bora, vipi nchi zingine Afrika zinazojisifu kuwa na Usalama wa Taifa tishio?

    Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha...
  20. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Sticker za usalama barabarani ni nini?

    Wadau naomba kuuliza jambo hapa,ivi kazi ya sticker za usalama barabarani huwa ni nini? Na ni utaratibu gani unatakiwa ufuatwe ili kuzipata hizi? Maana sielewi na ninachokiona huku mtaani,kumekua na wimbi la vijana wanaosimama sehemu mbali mbali wakiwa wamevalia reflector jacket wengine za...
Back
Top Bottom