usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Baraza la Madaktari Tanzania laongeza muda wa usajili wa madaktari hadi Aprili 30, 2026

    Watoa huduma za afya nchini Tanzania wamepewa nyongeza ya mwezi mmoja kukamilisha usajili wa lazima wa kitaaluma, kufuatia malalamiko mengi kuhusu changamoto za kiufundi katika mfumo wa mtandaoni. Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) hapo awali lilikuwa limeweka tarehe 31 Machi 2026 kama mwisho...
  2. Roving Journalist

    Mamlaka ya usafiri wa Baharini (ZMA): Tumefuta usajili wa Meli iliyokamatwa El Salvador, japo hatujapokea taarifa rasmi kupitia njia za kidiplomasia

    Mamlaka ya usafiri wa Baharini (ZMA) yatoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii zikidai kukamatwa kwa Meli yenye usajili (TZIRS). Katika taarifa hiyo mamlaka imesema kuwa ilipata taarifa kupitia vyombo vya habari na mitandao rasmi za Mamlaka za Jamhuri ya El Salvador...
  3. O

    Usajili Mashinani takes National ID Cards to underserved areas

    The Usajili Mashinani programme is advancing the Government’s inclusion agenda by bringing National ID registration services directly to remote and pastoralist communities. Led by the Ministry of Interior and National Administration, the initiative targets populations that have long faced...
  4. M

    KERO Wanafunzi UDOM tunalipia gharama ya hosteli lakini ukikamilisha usajili unaambiwa vyumba vimejaa, tunalazimika kubebana

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tumelipia gharama za hostel lakini cha ajabu tunaambiwa vyumba / hostels zimejaa ilihali Mwanafunzi umeshalipia gharama za hostel. Kibaya zaidi mfumo wa Chuo (SR2) unakulazimisha ili ukamilishe usajili lazima ulipie accommodation fee (gharama ya hostel)...
  5. Fbn

    Lengo lao la kutaka CCTV camera ziwe na usajili ni nini?

    Turudi nyuma tukio la lissu kupigwa risasi eneo wanapoishi wabunge.CCTv zote ziliondolewa na kulikuwa hakuna usajili. Nilichogundua sehemu zita kazokuwa na CCTv wakifanya utekaji wao wataweza kuzibiti taarifa na kukanusha kama hakuna tukio. Na huu usajili utaweza kujua jirani ,location na wapi...
  6. Fbn

    TISS ilitakiwa kuwa usajili wa wazi ili kuondoa haya mambo yenu maana weledi hakuna

    Yale mambo sijui nyerere aliweza kufanya kwa kificho kuweka usalama wa taifa anaotaka kwa sasa yamepitwa na wakati ndio matekeo ya leo yani hata magaidi yalivyoingia mkuranga wao walikuwa wapo wapo tu. Kinacho waogopesha ni nini hii idara ikawa wazi kila mwenye taalamu anaweza kujiunga na nyie...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kumbe kuna gari zinaruhusiwa herufi “I” kwenye usajili

    Wonders shall never end,
  8. DuaZaMama

    NIDA yatoa kibali maalum kwa marekebisho ya taarifa za usajili wakiwemo waathirika wa vyeti vya kughushi katika ajira za Serikali

    Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, James Kaji, ametangaza kibali maalumu cha mwaka mmoja cha kuruhusu marekebisho ya taarifa za usajili ambazo zilikwama kutokana na kukinzana na taratibu za uthibitishaji, ikiwemo matumizi ya nyaraka za kughushi na taarifa za uongo. Kibali hicho, kilichoanza kutumika...
  9. M

    TEC wafutiwe usajili

    Kama ilivyotoke kwa makanisa ya Gwajima. Wanaangiza taharuki kwa jamii
  10. Mad Max

    Zanzibar wamebadirisha mfumo wa usajili wa magari kutoka Z123AB kwenda Z123ABC!

    Nadhani baada ya kuona namba zinakimbia (zimeshafika PG hivi) ZRA wameona isiwe shida. Tufanye kama wenzetu bara kwa kutumia herufi tatu kwenye usajili wa magari badala ya mbili. Zoezi ilo limeanza rasmi mwezi huu wa October na litakua endelevu kwa muda utakaotangazwa. Kwahiyo huko unaweza...
  11. L

    Usajili taasisi ya mikopo

    Kwa wale wanaohitaji kusajiri Taasisi za kutoa huduma ndogo za kifedha (Microfinance / Microcredit ) karibu tufanye kazi uweze kupata leseni ya Mammlaka husika BOT Pia kama unahitaji kusajiri kampuni karibu tukuhudumie Mawasiliano 0652659775 Normal call & Whatsapp
  12. Halidi Mtumbuka

    Sowah, usajili bora Ligi Kuu kwa vilabu vyote 16 kwenye dirisha hili!

    Namba huwa hazidanganyi. Jonathan Sowah ni mshambuliaji wa kati bora. Akiwa katika Ligi ya Ghana mwaka 2023, alicheza mechi 28 na kufunga mabao 16 na kutoa assisti moja (1). Nchini Ghana alikua akicheza katika klabu ya Medeama. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika alicheza mechi nane na kufunga mabao...
  13. A

    KERO NBAA angalieni taratibu zenu za usajili wa Accounting firm zinatukwamisha

    Naandika kwa masikitiko makubwa juu ya utaratibu wa kusajili kampuni ndogo za kutoa huduma ya Uhasibu kwa Umma hususani kwa watoa huduma wadogo (Small firms). Pamoja na viambatisho vingi vinavyotakiwa kuwasilishwa NBAA muombaji anatakiwa pia kuwasilisha cheti cha usajili kodi ya ongezeko la...
  14. ngara23

    Usajili wa Onana kwenye timu yetu, ndo anguko letu

    Onana alipata nafasi ya kuwa captain baada ya Captain wa yetu yetu kuuliwa na wachezaji ma legends ambao wana timu Yao ndani ya timu yetu Onana kuwa captain tu kila mpira anabutua, amefunga wachezaji wa timu pinzani miguu anataka acheze peke yake, wengine amefungia vyumbani. Onana ameungana na...
  15. SuperEnthusiasis

    Utaratibu wa vyuo vya kati (diploma )kuwasajili wanafunzi automatically na kugoma kufuta usajili unawaumiza watoto hawa

    Wadogo zangu wawili wamemaliza form four na wanatarajia kujiunga na diploma mwaka huu, sasa wote wamepata vyuo ambavyo sio machaguo yao, ila mmoja ameridhika kwa kuwa chuo kilichomchagua amepata kozi yenye mkopo HESLB. Mwingine amechaguliwa chuo (st. John) ambacho kozi aliyopata haina mkopo na...
  16. DuaZaMama

    Simba vs Yanga, Nani Amekamata Usajili Dirisha Hili?

    Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kuanza rasmi kwa kipute cha Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, mjadala mkubwa unaoendelea miongoni mwa wadau wa soka ni juu ya nani ametisha zaidi katika dirisha hili la usajili kati ya vigogo wawili wa soka la Bongo, Simba SC na Yanga SC. Chini ni mtazamo...
  17. Camilo Cienfuegos

    Gari mbili zenye usajili wa kufanana

    Gari mbili zikiwa na usajili wa kufanana, T 246 EHV, Hii imekaaje kitaalam?
  18. GENTAMYCINE

    Technically hadi muda huu Usajili wa Simba SC haujanishawishi kukiamini Kikosi changu na naomba niwe wa Kwanza kusema tutaendelea kuwa Wasindikizaji

    Naona ni kama vile tu Simba SC yangu imewekeza zaidi katika kufanya Propaganda na siyo kuwa serious kujenga Timu.
  19. K

    Usajili: Maajabu ya Thamani ya Mzize na Dau la Usajili wake

    Salaam Wanajukwaa, Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya Tanzania 'Wonderkid' Walid/Clement Mzize hasa juu ya Thamani yake ambapo kwa mujibu wa Maelezo ya Klabu yake na mashabiki wa Young African SC ni kuwa Thamani ya Mzize ni zaidi ya US dollar Milioni Moja ($1,000,000). Hapo hapo kutokana na...
  20. 1Africa54

    Kwa huu usajili wa the red devil ubingwa lazima

    Msimu utakua wa moto maniue akichukua ndooo UCL na upuuzi mwingine
Back
Top Bottom