Usajili wa Onana kwenye timu yetu, ndo anguko letu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,516
Reaction score
38,524
Onana alipata nafasi ya kuwa captain baada ya Captain wa yetu yetu kuuliwa na wachezaji ma legends ambao wana timu Yao ndani ya timu yetu

Onana kuwa captain tu kila mpira anabutua, amefunga wachezaji wa timu pinzani miguu anataka acheze peke yake, wengine amefungia vyumbani.

Onana ameungana na captain wa zamani na mashabiki wake, Sasa wanahujumu timu yetu na kuiba kila kitu hata mipira, timu yetu haina kitu Kwa sasa

Onana anataka kwenye mechi ya oktoba 29, acheze mwenyewe yaani Referee yeye, coach yeye na shabiki yeye, yaani Kwa kifupi Onana ana force kuwa Captain Kwa mbinu zote

Captain Onana ameacha langonla timu yetu Kwa warabu na wachezaji wahuni, wao kila mara kutufunga mabao

Captain Onana, ameshambulianna kuwafukuza mashabiki wa timu yetu huko Ngorongoro, ona Sasa mashabiki hawana sehemu ya kukaa kiwanjani, wao wanatanga Tanga kutazama mechi kwenye vibanda umiza

Captain Andre Onana, amejaza wachezaji wa timu yake, wachezaji wengine hawapo kwenye Club

Onana amempa timu yetu mtoto wake, michango yetu ndo mtoto ananunulia magari ya kifahari, we fikiria mtoto wa Onana ana gari 1 la billion 100 wakati watoto wetu mashabiki wanakaa chini

Mtoto wa Onana ndo muuza Rasimali zetu,

Onana ameua timu yetu, Sasa tunafungwa magoli ya karibu na Yale ya mbali

Onana Sasa kuelekea mechi ya Oktoba 29, yeye anapakia mashabiki ambao ni watoto wa shule kujaza uwanja. Maana sisi mashabiki wakubwa hatumtaki

Nawaza tu tufanyeje tumvue u captain huyu Onana
 
Ngoja Hersi aone umeandika huu utumbo uone atakachokufanya.
 
Tuliosoma Cuba na kufanya field Israel tumeshakuelewa, mi naona kama vipi nae auliwe tu
 
Onana?? Nahisi wewe hujui kitu kwenye mpira komaa na uzi za mapenzi mpira tuachie
 
Onana alipata nafasi ya kuwa captain baada ya Captain wa yetu yetu kuuliwa na wachezaji ma legends ambao wana timu Yao ndani ya timu yetu

Onana kuwa captain tu kila mpira anabutua, amefunga wachezaji wa timu pinzani miguu anataka acheze peke yake, wengine amefungia vyumbani.

Onana ameungana na captain wa zamani na mashabiki wake, Sasa wanahujumu timu yetu na kuiba kila kitu hata mipira, timu yetu haina kitu Kwa sasa

Onana anataka kwenye mechi ya oktoba 29, acheze mwenyewe yaani Referee yeye, coach yeye na shabiki yeye, yaani Kwa kifupi Onana ana force kuwa Captain Kwa mbinu zote

Captain Onana ameacha langonla timu yetu Kwa warabu na wachezaji wahuni, wao kila mara kutufunga mabao

Captain Onana, ameshambulianna kuwafukuza mashabiki wa timu yetu huko Ngorongoro, ona Sasa mashabiki hawana sehemu ya kukaa kiwanjani, wao wanatanga Tanga kutazama mechi kwenye vibanda umiza

Captain Andre Onana, amejaza wachezaji wa timu yake, wachezaji wengine hawapo kwenye Club

Onana amempa timu yetu mtoto wake, michango yetu ndo mtoto ananunulia magari ya kifahari, we fikiria mtoto wa Onana ana gari 1 la billion 100 wakati watoto wetu mashabiki wanakaa chini

Mtoto wa Onana ndo muuza Rasimali zetu,

Onana ameua timu yetu, Sasa tunafungwa magoli ya karibu na Yale ya mbali

Onana Sasa kuelekea mechi ya Oktoba 29, yeye anapakia mashabiki ambao ni watoto wa shule kujaza uwanja. Maana sisi mashabiki wakubwa hatumtaki

Nawaza tu tufanyeje tumvue u captain huyu Onana
Ifike muda tukubaliane kuwa Man United imechoka, tuache kushangilia, wajipange upya. Kwasasa tusiende uwanjani 29 October. Mabadiliko yakija tuishangilie Arsenal. Arsenal inaweza kuleta tumaini jipya
 
Hakika hii timu umechoka
Sisi mashabiki tumeichoka na tukikosoa, captain Onana anatuuwa jamani
 
Back
Top Bottom