Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,921
- 35,548
Yale mambo sijui nyerere aliweza kufanya kwa kificho kuweka usalama wa taifa anaotaka kwa sasa yamepitwa na wakati ndio matekeo ya leo yani hata magaidi yalivyoingia mkuranga wao walikuwa wapo wapo tu.
Kinacho waogopesha ni nini hii idara ikawa wazi kila mwenye taalamu anaweza kujiunga na nyie mkaweza kujua history yake alipotokea na sifa zake.
Kinacho waogopesha ni nini hii idara ikawa wazi kila mwenye taalamu anaweza kujiunga na nyie mkaweza kujua history yake alipotokea na sifa zake.