Nadhani baada ya kuona namba zinakimbia (zimeshafika PG hivi) ZRA wameona isiwe shida. Tufanye kama wenzetu bara kwa kutumia herufi tatu kwenye usajili wa magari badala ya mbili.
Zoezi ilo limeanza rasmi mwezi huu wa October na litakua endelevu kwa muda utakaotangazwa.
Kwahiyo huko unaweza...
Kwa wale wanaohitaji kusajiri Taasisi za kutoa huduma ndogo za kifedha (Microfinance / Microcredit ) karibu tufanye kazi uweze kupata leseni ya Mammlaka husika BOT
Pia kama unahitaji kusajiri kampuni karibu tukuhudumie
Mawasiliano 0652659775 Normal call & Whatsapp
Namba huwa hazidanganyi. Jonathan Sowah ni mshambuliaji wa kati bora. Akiwa katika Ligi ya Ghana mwaka 2023, alicheza mechi 28 na kufunga mabao 16 na kutoa assisti moja (1).
Nchini Ghana alikua akicheza katika klabu ya Medeama. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika alicheza mechi nane na kufunga mabao...
Naandika kwa masikitiko makubwa juu ya utaratibu wa kusajili kampuni ndogo za kutoa huduma ya Uhasibu kwa Umma hususani kwa watoa huduma wadogo (Small firms).
Pamoja na viambatisho vingi vinavyotakiwa kuwasilishwa NBAA muombaji anatakiwa pia kuwasilisha cheti cha usajili kodi ya ongezeko la...
Onana alipata nafasi ya kuwa captain baada ya Captain wa yetu yetu kuuliwa na wachezaji ma legends ambao wana timu Yao ndani ya timu yetu
Onana kuwa captain tu kila mpira anabutua, amefunga wachezaji wa timu pinzani miguu anataka acheze peke yake, wengine amefungia vyumbani.
Onana ameungana na...
Wadogo zangu wawili wamemaliza form four na wanatarajia kujiunga na diploma mwaka huu, sasa wote wamepata vyuo ambavyo sio machaguo yao, ila mmoja ameridhika kwa kuwa chuo kilichomchagua amepata kozi yenye mkopo HESLB.
Mwingine amechaguliwa chuo (st. John) ambacho kozi aliyopata haina mkopo na...
Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kuanza rasmi kwa kipute cha Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, mjadala mkubwa unaoendelea miongoni mwa wadau wa soka ni juu ya nani ametisha zaidi katika dirisha hili la usajili kati ya vigogo wawili wa soka la Bongo, Simba SC na Yanga SC.
Chini ni mtazamo...
Salaam Wanajukwaa,
Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya Tanzania 'Wonderkid' Walid/Clement Mzize hasa juu ya Thamani yake ambapo kwa mujibu wa Maelezo ya Klabu yake na mashabiki wa Young African SC ni kuwa Thamani ya Mzize ni zaidi ya US dollar Milioni Moja ($1,000,000).
Hapo hapo kutokana na...
Kuelekea Msimu wa 2025/26 utabiri wangu unaweza kuwa hivi
List yangu…
1. Man U
2. Liverpool
3. Man City
Itakayoshuka daraja Arsenal
Listi yangu ya Bongo
1. Simba
2. Yanga
3. Azam FC
Itakayoshuka daraja Singida
Klabu ya simba imekamilisha usajili wa nyota wa kimataifa wa Senegal Alassane Kante anayehudumu nafasi ya kiungo wa ulinzi, akichukua nafasi ya fabice Ngoma ambaye ametangazwa kutokuwa sehemu ya kikosi Cha simba msimu ujao, je unafikiri kwa sajili hizi ambazo simba inaendelea kuzifanya zitaweza...
Liverpool mabingwa wa msimu 2024-2025 wa ligi ya uingereza nawapa chapuo ya kuchukua tena ubingwa wa msimu ujao.
Hii timu bwana imekamilika kila idara licha ya kuondoka baadhi ya nyota wake pia wamefanya maboresho ya kikosi kwa kusajiri wachezaji kama:-
Frimpong
Kerkez
Wirtz
Ekitike
Msimu...
Unapofikiria kuanzisha biashara, hatua ya kwanza muhimu zaidi ni kusajili rasmi biashara yako. Sababu ni rahisi: bila usajili, biashara yako haina kinga ya kisheria, haiaminiki machoni pa wateja na wawekezaji, na inakuwa rahisi sana kuibiwa jina lako la biashara.
A. Usajili wa Jina la Biashara...
Sijaitaja sasa Wewe shoboka kuwa unaijua kwa kujifanya upo Akilini mwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Malaika wa Kizanaki (Mara Tanzania), Kiyao (Mtwara Tanzania) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) sawa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.