Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,538
- 96,685
Nadhani baada ya kuona namba zinakimbia (zimeshafika PG hivi) ZRA wameona isiwe shida. Tufanye kama wenzetu bara kwa kutumia herufi tatu kwenye usajili wa magari badala ya mbili.
Zoezi ilo limeanza rasmi mwezi huu wa October na litakua endelevu kwa muda utakaotangazwa.
Kwahiyo huko unaweza import gari leo likapewa namba AAA wakati alieimport miaka 5 nyuma likawa namba DDD.
Pia watatenganisha namba za pikipiki, guta na bajaji (MC) kutengana na za magari.