SuperEnthusiasis
Member
- Feb 4, 2023
- 39
- 75
Wadogo zangu wawili wamemaliza form four na wanatarajia kujiunga na diploma mwaka huu, sasa wote wamepata vyuo ambavyo sio machaguo yao, ila mmoja ameridhika kwa kuwa chuo kilichomchagua amepata kozi yenye mkopo HESLB.
Mwingine amechaguliwa chuo (st. John) ambacho kozi aliyopata haina mkopo na ameshasajiliwa automatically, lakini pia amepata chuo kingine ambapo kozi aliyopata ina mkopo, anajaribu kuwapigia st john awaelekeze kuwa anataka kubadili chuo wao wanakataa, na wanagoma kumfutia usajili ili adahiliwe chuo kingine.
Nipo kwenye wakati mgumu nashindwa namna ya kumsaidia