Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,360
- 68,452
Gari mbili zikiwa na usajili wa kufanana, T 246 EHV, Hii imekaaje kitaalam?
Kuwachanganya maaduiGari mbili zikiwa na usajili wa kufanana, T 246 EHV, Hii imekaaje kitaalam?View attachment 3445932
Tengeneza na wewe utuleteeAI Hiyo
Hiyo nimetengeneza mimi dadaTengeneza na wewe utuletee
Mimi naona hii haiko sawa kiusalama, ni rahisi watu waovu kutumia huu mwanya wa watu wengi kukarirri kwamba ukiona hivi hao ni usalama.Gari mbili zikiwa na usajili wa kufanana, T 246 EHV, Hii imekaaje kitaalam?View attachment 3445932
Umetengeneza kwa matackle?Hiyo nimetengeneza mimi dada