usafi

The United States Armed Forces Institute (USAFI) was an educational organization that was part of the United States Armed Forces. It was founded in April 1942, as the Army Institute.Between 1942 and 1974, the USAFI provided education opportunities which included the GED, general examinations at the college level and USAFI Courses to service members in the continental United States, Caribbean, Europe, Hawaii and Japan.The headquarters of the USAFI was in Madison, Wisconsin, at 102 North Hamilton Street.

View More On Wikipedia.org
  1. Njia ipi unatumia kukata kucha?

    Unapenda kutumia njia ipi kati ya hizi kukata kucha zako na ni njia ipi ni SALAMA? 😆
  2. R

    DOKEZO Vyoo kama hivi kwenye Mabasi ya Luxury ni kinyaa na hujuma kubwa

    Wakuu, Mtu analipia basi luxury kupata huduma extra, nzuri na bora, asafiri akiwa anajisikia huru. Inakuaje unalipia kusafiri basi luxury halafu unakutana na choo kama hiki? Choo hiki ni kwa huduma ya haja ndogo pekee na hauruhusiwi kuingiza tishu/toilet paper na haiwekwi kabisa chooni lakini...
  3. Jamii za wafugaji wapewe elimu maalumu kuhusu usafi, mapenzi na kuvaa nguo za ndani

    Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani. Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake...
  4. M

    Weka wazo lako la kuishauri serikali kuhusu kuboresha usafi wa mazingira

    Habari ya jioni wanaJF, Mimi kama mkazi wa DSM nimeona niweke hii thread hapa ili tuwe tunaishauri serikali jinsi ya kuboresha usafi wa mazingira tunayoishi. Ushauri serikali ifanye haya. 1. Kuongeza kodi maradufu kwenye nepi za watoto wanaoziita baby diapers... Hizi zimekuwa uchafu maeneo...
  5. SoC03 Kuimarisha Huduma za Usafi

    Utangulizi: Sekta ya huduma za usafi ni muhimu sana katika kukuza afya na ustawi wa jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, kuna changamoto nyingi linapokuja suala la kupata huduma bora za usafi. Kuna hitaji la kuwa na jukwaa la kisasa na lenye ufanisi ambalo litawawezesha wateja kuwasiliana na...
  6. Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye Katiba?

    Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye katiba? Nimekuwa nikitatizika sana na usafi wa mitaa yetu. Hakuna jitihada zozote zinazoongelewa kuhusu usafi wa mazingira yetu. Inasikitisha sana kwamba tupo na ngazi za uongozi kutoka kwenye mitaa lakini hakuna utashi wa kuhimiza watu...
  7. Mdada wa kuuza duka na usafi anahitajika Kibamba Chama

    Majukumu yako Kuuza bidhaa dukani Usafi wa ofisi wakati wote Kuendelea na Mpesa na Tigo Pesa Mshahara 200,000 kwa mwezi Ofisi itatoa Mlo wa mchana Ofisi itatoa malazi (sehemu ya kuishi) kwa anaetokea Mkoani Wakati wote atakapokuwa mfanyakazi. ELIMU Uwe umefika Chuo chochote Usikie na kuelewa...
  8. Barabara ya Madale haifanyiwi usafi, imejaa michanga na kusababisha utelezi

    Mdau wa Jamii Forums amelalamika kuwa kuna kero huku Madale, Barabara ya Wazo Madale tangu iwekwe lami haifanyiwi usafi kiasi cha mchanga na udongo kujaa na kufunika sehemu kubwa ya Barabara, hali hiyo inasababisha utelezi hasa wakati wa mvua. Viongozi wa Serikali za Mtaani kama wamelala...
  9. Mkandarasi wa Usafi Kata ya Mbuyuni - Morogoro haonekani, hali ya uchafu ni mbaya mtaani

    Hali ya usafi wa mazingira ilivyo Mkoani Morogoro katika Kata ya Mbuyuni, Mtaa wa Msikiti wa Masai karibu na Muslim University of Morogoro. Mkandarasi wa usafi anaitwa Kajenjere lakini inadaiwa zaidi ya mwezi hajafika eneo husika kukusanya taka, hivyo kusababisha hali kuwa mbaya hadi taka...
  10. Je mtaani kwenu kuna dampo? Kama hamna mnafanyaje kudumisha usafi wa mazingira?

    Hebu tuelezane ukweli ili tuweze kuyafanya mazingira yetu safi na salama.
  11. Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya uislamu na usafi hasa kwa wanawake waislam

    Hello JF, 👇👇👇 Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi. Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji...
  12. A

    Mfanya usafi ofisini

    Wakuu, Kuna nafasi ya kazi kwa mwanamke(temporary)ya kufanya usafi ofisini. Ofisi ipo Victoria/Regent Estate mtaa wa Migombani karibu na NEMC au Kairuki hospital. Muda wa kazi ni kuanzia saa moja na nusu asubuhi na kutoka ni saa 5asubuhi. Mshahara ni 150,000 kwa mwezi. Kwa anayehitaji naomba...
  13. Usafi wa mwili

    Huwa unatumia dakika ngapi kupiga mswaki? Na unapiga mara ngapi kwa siku? Unatumia dakika ngapi kuoga kila siku na una oga mara ngapi kwa siku? Wabongo mtaongopa hapa
  14. Suala la Usafi na Uchafu lipo hivi

    Mtu Msafi anapoona Uchafu katika Mwili wake, Gheto au nyumba barabarani nk anapata Hasira na kero katika moyo wake. Na kwa mtu mchafu Uchafu kwake sio tatizo mfano kwa Mtu msafi hawezi kulala na Malaya au kuingia kwenye magheto ya mademu wa kimboka Mula ndani pachafu pananuka lakini Mtu anazama...
  15. Ulinzi na usalama wa Kimtandao

    Ulinzi wa kimtandao humaanisha tabia anuwai na tahadhari za kujilinda anazofuata mtu wakati anatumia mtandao katika kuhakikisha kuwa habari nyeti za kibinafsi na za vifaa anavyotumia mtandaoni vinabaki kuwa salama. Husaidia kupunguza uwezekano wa kushambuliwa au kupunguza madhara ya shambulio...
  16. A

    DOKEZO Malalamiko yanayotoka ndani ya DAWASA

    Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, DAWASA ni Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam pamoja na baadhi ya maeneo ya Pwani. Nianze kwa kupongea juhudi inafsi zinazofanywa na serikali yetu ya kumtua mama ndoo kichwani, na juhudi za kuhakikisha kua...
  17. T

    AIBU: Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam walipeni wafanya usafi wa Soko la Ilala, hali ya soko ni mbaya

    Habari zenu wakuu! Siku ya jana nilifanikiwa kupita mitaa ya Soko la ILALA, jijini Dar-es -salaam,maarufu kwa uuzaji wa mbogamboga na matunda. Nilikuta hali ya usafi wa soko hilo ni mbaya kabisa kiasi kuhatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa bidhaa za matunda na mboga mboga. Yapata miezi...
  18. EWURA yazitaka mamlaka za maji nchini kutoa taarifa sahihi za huduma ya maji na usafi wa mazingira

    MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA) Mhandisi Modestus Lumato,akizungumza wakati wa kikao kazi cha Watendaji wa Mamlaka za Maji za Mikoa na Miradi ya Kitaifa kilicholenga kuhakiki taarifa za utendaji wa Mamlaka hizo kwa mwaka 2021/22 kilichofanyika leo...
  19. Watuhumiwa waiomba Mahakama kuwapangia Gereza la Keko wakidai ni zuri na safi

    Washitakiwa wawili wanaotuhumiwa kukutwa na vipande tisa vya meno ya ndovu yenye thamani ya dola za Marekani 30,000, wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iwapangie Gereza la Keko kwa kuwa ni pazuri na pana usafi. Washtakiwa hao ni Hassan Sangari (22), mkazi wa Kingula mkoani Dodoma na...
  20. Urusi wakiri kupokea kichapo Kharkiv, huku wananchi wa Ukraine wakijitokeza kufanya usafi

    Wizara ya ulinzi ya Urusi imekiri kuondoa wanajeshi wake Balakliya na Izyum, hii ni kutokana na mapigo wanayopokea kutoka kwa wazalendo wa Ukraine na huu ushindi umewapa mzuka mpya raia wa Ukraine ambao wengi wamejitokeza kufanya usafi....... ========================== CHUHUIV, Ukraine — After...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…