usafi

The United States Armed Forces Institute (USAFI) was an educational organization that was part of the United States Armed Forces. It was founded in April 1942, as the Army Institute.Between 1942 and 1974, the USAFI provided education opportunities which included the GED, general examinations at the college level and USAFI Courses to service members in the continental United States, Caribbean, Europe, Hawaii and Japan.The headquarters of the USAFI was in Madison, Wisconsin, at 102 North Hamilton Street.

View More On Wikipedia.org
  1. Nasibunduki

    JamiiForums Tanzania Vigezo kupata tender ya usafi mgodini

    Habari wanajamvi naomba mnisaidie kujua vigezo gani vinaangaliwa ili kupata tenda ya usafi mgodini Mimi n mjasiriamali mdogo lengo langu ni kupata takataka za chuma km drill bit nk yan skrepa natakiwa niwe na vigezo gani? Naomba msaada wenu wanajamvi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kupenga makamasi kwa kutumia kitambaa na hajaa kubwa kwa kutumia tissue na kupiga chafya kwa kutumia kiganja,ni usafi na ndio kustaarabika?

    Kwa wengi tuliokulia mijini, bila shaka tumeshiriki katika kuyafanya haya na huenda bado tunaendelea kutekeleza huu utamaduni wa kimagharabiki ambao tunauona ni sahihi na ndio kustaarabika. Tusione aibu na tujadiliane hapa kama kweli hii tabia ya kupenga makamasi na kisha kuweka kitambaa cha...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Amb. Kijazi Interchange, Mchina arudi kufanya usafi na ulinzi? Tz tumeshindwa?

    Kuna usemi wa Kijaluo kwamba "Solution to One Problem Carries the Seeds for the Next Problem" yaani "ufumbuzi wa tatizo moja hubeba mbegu za kuotesha tatizo jingine, tafsiri isiyo rasmi" Daraja-kavu la Amb. Kijazi Interchange katika Manispaa ya Ubungo jiji Dar es Salaam ambalo mwanzoni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania DC Jokate: Hatulazimishi watu kufanya usafi, bali litakuwa zoezi shirikishi

    DC JOKATE: HATULAZIMISHI WATU KUFANYA USAFI, BALI LITAKUWA ZOEZI SHIRIKISHI Mkuu wa wilaya ya Temeke Mheshimiwa Jokate Mwegelo amezindua kampeni ya "Pendezesha,safisha Dar es salaam" yenye lengo la kusafisha mkoa wa Dar es salaam. Akizungumza katika eneo la Zakhem Mbagala, ambapo kampeni hiyo...
  5. luangalila

    JamiiForums Tanzania Mazingira: jiji la DSM haliitaji kampeni za usafi bali sheria ndogo ndogo zisimamiwe

    USAFI ktk Jiji la DSM limekuwa Donda Sugu, Kila RC akiteuliwa ana kuja na KAMPENI yake ya usaf lkn impact ya izo kampeni ni kitu ambacho hakidumu hata miezi 3. Kwa haraka haraka zilikuwepo kampeni kama shika fagio, izi zilijikita ktk usafi was maeneo ya katikati ya Jiji maeneo ya fukwe...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hata wamachinga sasa wanasifia usafi wa mitaa

    Kwa mara ya kwanza leo nimemsikia kwa masikio yangu mfanyabiashara aliyeondolewa kando ya barabara akisifia usafi ulioaza kujitokeza kandokando ya barabara zetu. Nilikuwa na rafiki yangu aliyekuwa anauza matikiti ya kukata vipande pale Banana Ukonga jirani na taasisi ya Hali ya Hewa akisifia...
  7. ndenga

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya Usafi wa Dar iendane na hili

    Niendelee kumpongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar kwa kusimamia maamuzi mbalimbali ya kuhakikisha Dar inasimama katika usafi na mpangilio wa biashara katika maeneo mengi. Katika hili kuna haja ya kuhakikisha Dar inakuwa katika hali ya usafi na mpangilio wa biashara katika hili kuna haja ya kusimamia...
  8. Cash Generating Unit

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

    Ndugu zangu Wanaume Wapambanaji, huu uzi ni kwaajili yetu sote. Hivi wale wanawake au wadada ambao walikua akija gheto anafanya usafi wa maana yaani atafua nguo zote, atapika, ataosha vyombo, atasafisha viatu, atapanga vitu gheto vizuri, atakunyooshea nguo zote atapanga vizuri kabatini. Atatoka...
  9. jagular

    JamiiForums Tanzania Arusha imekuwa safi baada ya vibanda kuondolewa barabarani

    Arusha kweli tulikuwa tunateseka vibanda vilikuwa kila kona mpaka wapita miguu tunapata shida lakini sasa hivi jiji limekuwa safi, tunashukuru vibanda vimeondoka vilivyokuwa pembezoni mwa barabara na kuzuia shughuli za kibianadamu na miundo mbinu. Hongera jiji la Arusha kwa kazi nzuri chini ya...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Deputy ERM at Plan International

    Deputy ERM Posted Date: 27-Oct-2021 Location: Kibondo, Tanzania Company: Plan International The Organisation Plan International is an independent development and humanitarian organisation that advances children’s rights and equality for girls. We believe in the power and potential of...
  11. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Kongole Usingizi wa Magufuli Terminal mnajitahidi kwa usafi

    Licha ya kwamba stand hii haijakamilika vzuri mnajitahidi sana katika suala la usafi...Hii pia imechagizwa na kuwaondoa wale wamachinga ambao walishaanza kujenga vibanda ndani ya stand hii ya kimataifa. Usafi unaridhisha kuanzia vyooni hadi mazingira ya nje. Kuna dustbin kila mahala na abiria...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Afisa Masoko wa kampuni ya Usafi na viuwa wadudu

    Flydream Company Ltd ni kampuni iliyosajiliwa na BRELA kwaajili yakutoa huduma mbalimbali kupitia biashara zilizo chini yake. Kwasasa inawatangazia watu wote wenye sifa za kuomba nafasi zifuatazo kupitia kampuni tanzu ya Real Vision Cleaning & Fumigation services yenye ofisi zako Mabibo, jijini...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Zingatia usafi wa barakoa wakati wa kujikunga na Covid-19

    Uvaaji wa barakoa ni miongoni mwa tahadhari muhimu inayosisitizwa katika kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona. Wataalamu wa Afya wanahimiza usafi wa mara kwa mara katika barakoa inayotumika kujikinga dhidi ya maambukizi ya Corona. Inaeleza kuwa barakoa huweza kuchafuka kutokana...
  14. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Usafi ufanyike bila ubaguzi wa jinsia

    Usafi ni kitendo cha kuondoa uchafu,vumbi na vitu visivyohitajika tena ilikuweka mazingira katika hali ya usafi na kujikinga na bacteria hatari na vijidudu . Uchafu ni mkusanyiko wavitu mbalimbali visivyohitajika tena kwa matumizi kama vile mabaki ya chakula ,maji machafu , makaratasi ...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya usafi Musoma, tupeni update!

    Mkuu wa mkoa wa Mara alitangaza kuwa leo ni siku ya usafi. Wanaodai katiba mpya nao wakakubali kushiriki usafi na baada ya hapo kongamano liendelee. Tupeni kinachojiri huko!!! ========== Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi mapema leo asubuhi amewaongoza wananchi wa Mkoa huo na watumishi wa kada...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bavicha kushiriki Kampeni ya usafi iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara tarehe 4/9/2021

    Baada ya kusikia Bavicha wanafanya kongamano la Katiba mpya mkoani Mara , Mkuu wa Mkoa huo ameleta siasa za kishamba za kutangaza kuwa kesho ni siku ya usafi mkoani humo , na kwamba usafi huo utafanywa na vyombo vya ulinzi na usalama . Hata hivyo Bavicha imetangaza kuunga mkono juhudi za usafi...
  17. Genius jack

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unapokula Pweza na Ngisi njiani

    Leo muda wa jioni nilikuwa maeneo ya Mbezi ya Kimara nilikuwa nimesimama namsubiri rafiki yangu pembeni kwa mbele kulikuwa na mtu anauza supu ya pweza na vipande vyake na ngisi na kachori.Nikiwa pale walikuja watu kadhaa kununua nilichokiona. Mteja alikuwa anachukua kijiti cha kuchomea anatoboa...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania RC Makala: Tukiweza kuwadhibiti biashara holela, ajenda ya usafi itawezekana Dar es Salaam

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anaongelea mambo mbalimbali kuhusu mkoa wa Dar. Miongoni ni suala la wamachinga na kupoa kwa Serikali baada ya kutoa tangazo la kuwaondoa. RC Makala amesema kwasasa wameweka kipaumbele kwenye kutoa elimu na anaamini hawatafika kwenye kutumia nguvu. RC Makala: Ili...
  19. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi 10 bora kwa usafi barani Afrika

    Usafi ni jambo muhimu, linalotazamwa kuanzia kwa mtu binafsi, nyumbani, ofisini, jamii ama taifa. Na watu wanaoishi kwenye eneo safi kwa mujibu wa wataalamu wanatajwa kuwa na maisha marefu zaidi kuliko wale wanaoishi kwenye mazingira machafu. Maji safi, hewa safi, utunzaji mzuri wa taka na...
  20. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Mama Tumaini Kakuyu Mlewa, Mpambanaji hodari, mwasisi wa shughuli za usafi maofisini na upambaji wa kumbi za mikutano, sherehe nk

    Tumaini Kakuyu Mlewa alikuwa ndiye mtu wa Kwanza kuwa na kampuni professional ya usafi akichukua tenda kwenye ofisi za makampuni mbalimbali, mahospitali viwanda nk kupitia kampuni yake ya Fame Consolidated Services LTD. Pia aliasisi shughuli za upambaji wa kumbi za starehe, mikutano etc. Huyu...
Back
Top Bottom