Airtel wameanza tena kunin'giniza miamala, tulishasahau, sasa yameanza upya

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Nov 29, 2022
1,221
1,268
Nimelipia kifurishi cha zuku through airtel money, ni siku ya mwisho kutakiwa kulipia vinginevyo huduma inasmamishwa, muamala haukukamilika so nikawapigia wahudumu wa airtel na haya ndio majibu yao

"Samahani kwa usumbufu pesa zako hazikuwasilishwa zuku kwahiyo utasubiri masaa 24 ya kazi then hela yako itarudi au italipwa zuku "

Nikamuuliza saa 24 za kazi ni mda gani akanijibu ni siku tatu na nusu.

Nikamuuliza mtanilipa fidia?

Akakata simu.

Sasa nauliza hizi hela kwa mda wa siku tatu na nusu mara wateja milioni moja si ni hela nyingi sana wanaizungushia bila kutulipa faida na huku tukikosa huduma? Au ndio awamu imerudi?

Update
Hatimaye leo saa 11 :37 jioni malipo yamefanyika
Nashkuru sana wana jamii kwa maoni na msukumo wenu pia asante Airtel Tanzania
 
Nitaenda technically zaidi.
1.Call centre wanafanya basic stuff km kuangalia hela imefika au la.
2.kuangalia status ya laini yako.
3.kuangalia km unasalio lakutosha au la.
NB
refund/kurudisha hela nahasa kwenda mitandao tofauti naunaotumia hua inafanywa na watu waliopo juu ya agent wa call centre. ..km umekosea muda ambao siwakazi hio usubiri mpk cku inayofuata tena ya kazi
 
Waliwahi kuniibia hawa mwaka mmoja uliopita na hela haikurudi hadi leo, ila hii ya sasa sitakubali, tena ni kupitia hao hao zuku, sijui wanashirikiana

Huu hapa ushahidi
Hiyo ni mwaka mmoja uliopita
Na juzi wamefanya tena
 
Attachments

  • inbound414162892416240998.jpg
    inbound414162892416240998.jpg
    166.2 KB · Views: 9
Back
Top Bottom