upotoshaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii tabia ya Lissu kutumia maandiko ya Mwl. Nyerere kuhusu maendeleo ya vitu ni unafiki na upotoshaji

    Sina hakika kama unafiki na upotoshaji wa ukweli kwa wanasiasa ni kitu cha kawaida, lakini inakera zaidi wakati upotoshaji na unafiki huo unapo kithiri na kuvuka mpaka. Iko on record kwamba huko nyumba Tindu Lissu amekuwa ni mkosoaji mkubwa wa Baba wa Taifa kiasi cha kumwita dictator...
  2. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Baada ya Masanja kutumia picha za miradi ya Lesotho kuisifia Serikali ya awamu ya tano, Msemaji wa Serikali naye kaja na upotoshaji huu

    Kisa hiki hapa kachukua picha miradi mikubwa ya mabwawa ya umeme Ehiopia na Lesotho anadanganya kwenye posti zake kuwa ni mradi wa Stiegers Gorge Tanzania.
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamtia hatiani Zitto Kabwe katika kesi yake ya Uchochezi. Atakiwa kutotoa matamshi ya Uchochezi kwa mwaka 1. Asema kukata Rufaa

    Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama. UPDATE Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa wateule wa Rais

    Ni Jambo la kusikitisha na kuhuzunisha sana pia lenye kumjaza mhusika hasira pale anapogundua kuwa aliowaamini kuwa watamsaidia katika kusimamia na kumshauri wameguka kuwa wadhalilishaji wa nafasi walizopewa! Mh. Rais, baadhi ya wateule wako hawakupendi na au hawapendi style yako ya kiuongozi...
  5. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Wanabodi, Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake. Je? Tatizo ni...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji katika hotuba ya Rais Magufuli tokea Chato

    Nilimsikiliza vyema mheshimiwa rais katika hotuba yake kuhusiana na Corona alipokuwa akimwapisha waziri Mwigulu. Waziwazi mheshimiwa rais alipotosha kwa makusudi katika maeneo kadhaa labda kwa maslahi zaidi ya kisiasa. Kwa bahati mbaya gonjwa hili halihitaji propaganda za kisiasa bali ufumbuzi...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbeya waonywa kugeuza pombe dawa ya Corona

    Wakazi mkoani Mbeya wametakiwa kuepuka matumizi ya vilevi vikali kwa kuamini ni dawa inayoweza kupambana na homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila (pichani) alitoa onyo hilo jana alipozungumza na waandishi wa habari juu ya jitihada...
  8. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji uliopo kati ya uhusiano wa teknolojia ya 5G na corona

    Hivi karibuni kumetokea uvumi katika mitandao ya kijamii kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya ugonjwa wa corona na Teknolojia ya 5G.Miongoni mwa hoja zinazotolewa ni kama zifuatazo:- 1. Kuwa karibu na 5G kuna sababisha corona, ndio maana nchi zilizo athirika zaidi ni zile zilizoanza...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bila kuchelewa, Serikali ya Tanzania ijipambanue kupata uchaguzi huru na haki ili kuondoa upotoshaji

    Kwanza naomba Mods, uzi huu usiunganishwe na nyengine. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kauli mbali mbali kuhusu Madai ya tume huru ya uchaguzi Tanzania. Si vyama vya upinzani tu lakini hata wadau wa maendeleo na demokrasia wamesikika wakihimiza kwa serikali kuleta tume huru ya uchaguzi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Afande Mambosasa Umetahadhalisha na upotoshaji wa matumizi ya neno utekaji, kuhusiana na Tito Magoti kuwa hakutekwa; Utekaji ni nini?

    Abduction: NOUN The action or an instance of forcibly taking someone away against his will. eg ‘they organized the abduction of Mr. Tito Magoti on his way to the LHRC offices’ ; ‘abductions by armed men in plain clothes’. Najiuliza, Does the above definition match yesterday's action in...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Balozi Augustine Mahiga akana Tanzania kujitoa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga amekanusha taarifa za Serikali kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) Akifafanua zaidi kuhusu dai hilo, Dkt. Mahiga anasema serikali haijajitoa katika Mahakama hiyo isipokuwa imeiandikia barua Mahakama hiyo kuondoa...
Back
Top Bottom