Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 976
Waungwana,
Kwa kipindi kirefu wapinzani wamekuwa kwa kujua au kutokujua wanapotosha umma Kuhusu kazi na wajibu wa mihimili mitatu ya dola yaani serikali, bunge na mahakama.
Serikali kazi yake ni kuendesha shughuli za kila siku za nchi, bunge kutunga sheria na kuisimamia serikali wakati mahakama inakazi ya kutafsiri sheria.
Kazi ya kuingia mikataba ni kazi ya serikali na hakuna ulazima wa kulitaarifu bunge wakati wa kuingia mikataba hiyo.
Kama bunge linaona kuna shida kwenye mkataba fulani basi linaitaka serikali kupeleka mkataba huo, kujadili na mwisho kutoa maamuzi. Mbunge binafsi pia ana haki ya kuitisha mkataba wowote ilimradi tuu akidhi matakwa ya kisheria
Waulizwe wapinzani, haya wanayolalamikia kuwa ndege, uwanja wa ndege na mengine kuwa mikataba yake haikupita bungeni, tatizo liko wapi? kwangu mimi ni sahihi na hakuna sheria iliyovunjwa hapo.
Wapinzani wanatumia kigezo cha uvivu wa baadhi ya watanzania kujisomea na kujua mipaka hii na kuwadanganya kwa kiwango kilekile cha kusema hakuna reli Wala treni ya kaliua mpanda, uwanja wa ndege kujaa maji n.k.
Wanaosema kuna makosa, waseme ni makosa gani.
JPM kanyaga twende.
Amani Msumari
Tanga